masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,382
- 19,289
Usingizi wa Usiku au Mchana??
hii mada ilikua ya jana mishale kama hii
Usingizi wa Usiku au Mchana??
Alaa zinc anafahamu hii kitu
kaka yangu angalia usitegeke kwenye kandoano ka kuvua tudagaa
ohooo.....................
my lovely brodah..............wala usisumbue akili yakoasante sista, sijasoma comments zote naona uzi umeishaenda mbali kweli, vipi ni magumashi nini?
sijaelewa embu conect dots
maana zinc alikuja na maswala ya mimba sasa hii ni kitu ingine kabisa
niambie my sugar!
At least wale mashabibi wa uzi wa Man Utd watapumua jamani.
Maana wale magwiji wa MMU walihamia kwenye ule uzi tokea mwishoni mwa msimu iliyopita.
Majanga yamehamia kutoma MU kwenda MMU.
my lovely brodah..............wala usisumbue akili yako
ni sawa na umbo lichorwalo kwa bikari waweza kulipatia engo wewe?
Nipo nilikupm na Id yangu nyingine,
At least wale mashabibi wa uzi wa Man Utd watapumua jamani.
Maana wale magwiji wa MMU walihamia kwenye ule uzi tokea mwishoni mwa msimu iliyopita.
Majanga yamehamia kutoma MU kwenda MMU.
hahahaha af eti ni mtu mzima
lkn angalia usije ukajikuta umeingia kwenye mtego wa kumuhurumia mtu manake bandiko 503 can tel you unadeal na mtu wa aina gani.
mambo! afu siku nyingi natakaga nikwambie napenda jina lako! lol..:A S 101:
em nitumie namba yako ya M-pesa fasta nikusemelee kitu..