Stories za wachumba wa Jamiiforums

Stories za wachumba wa Jamiiforums

Status
Not open for further replies.
yaani mie nimefurah tuu kupata wakukesha nao
haya ya dalaber ni uongo mtupu mtu aje na ma id yake mengi mengi af ajidai sijui kimefanyika wapi nawapi?
cc tumboo

Mie mwenyewe siamin watu wakutane humu wakatoleane ad mahar......kivyangu siwez hata kudate na mtu wa hm
 
Last edited by a moderator:
yaani nimecheka sana kuhusu hii post yako
uwiii kumbe nyie wote mlikuwa humu bila objectives?

Objective yangu ni kujua yaliyomo, ila nilivyokuona tu nikasema nikomae na wewe mguu kwa mguu. Ukitoa mguu mi nipo kuangalia umegundua nini.

Ukishaona hujajiandaa pepa na uko jirani na kipanga sio mbaya kuchungulia, ukizidiwa unamwambia afunue kidogo uone kaandika nini labda utapata wazo.
 
raha ya stori kuwajua wahusika

I will come back kuisoma vizuri maana nilikua sielewi which is which

ushukuriwe ulienipa mwangaza
 
Objective yangu ni kujua yaliyomo, ila nilivyokuona tu nikasema nikomae na wewe mguu kwa mguu. Ukitoa mguu mi nipo kuangalia umegundua nini.

Ukishaona hujajiandaa pepa na uko jirani na kipanga sio mbaya kuchungulia, ukizidiwa unamwambia afunue kidogo uone kaandika nini labda utapata wazo.
umepata mtafu sasa?
yataka moyo ujue kumpa mwenzio aigilizie??
 
Hili sakata limenitoa chali kabisa, kila nikiunganisha wapi! Saa hizi nimesubiri tu liwalo na liwe.
af wewe uschoelewa kitu gani sasa?
unaniudhi ujue.............
eb jiongeze kidogo bhanaaa
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
af wewe uschoelewa kitu gani sasa?
unaniudhi ujue.............
eb jiongeze kidogo bhanaaa

Unajua hii na ile mi naona ni tofauti kabisa, hazilink. Hii hapa naielewa elewa kwa mbali ila mwenye 44 sijawa na uhakika ni nani, na huyu mpya ndo kimyaa. Sasa sijui huyu mpya ndo yule kulee!

Kuna mtu alikurupuka lakini amepotea tena, tena we ndo umemshtua akakimbia, maana alikuwa amekuja na style ya kuzitaja ID za huyu hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom