Mimi sio mgeni hapa JF ila nimeamua kuja na ID nyingine coz mhusika wa story hii anajua ID yangu nyingine.
Maisha yangu mie ni monotonous kazi - home - kazi - church- kazi - safari ya kikazi and all that, no social life at all, niko mbali sana na home and jinsi nilivyolelewa sikufundishwa kwenda kwenda kwa watu hovyo hovyo yani umetoka kazini hodi jirani blah blah, hodi hapa yidi yada yidi, no, nilivyolelewa mimi routine ilikuwa home - shule - home - church/ mafundisho etc.
Pole inawezekana tumeshakutana sasa kwenye threads kupitia hiyo ID nyingine. U
kweli huwa unauma, so sorry kama nitakuumiza. Watu wengi hasa sisi Watanzania huwa tunaogopa kusema ukweli kwa sababu eti tutawaumiza wahusika. Lakini ikiwa hatuambiani ukweli hatuwezi kupata kile ambacho tunatarajia. Huwa naamini mtu jasiri sio yule anayesema ukweli bali ni yule anayekubali ukweli japokuwa unauma.
Tatizo liko siyo kwa huyo mchumba "feki" wa JF uliyekutana nae, bali kwako wewe mwenyewe. Nasema hivi kwa sababu kama utaendelea kufocus kuwa mwenye tatizo ni huyo mwanaume, then kuna uwezekano usikutane na right people. You seems to have a big problem in yourself and you need to get rid of it as soon as you can. Watu wataunga sana dots kutaka kumjua huyo mwanaume ni nani, lakini haya yote hayatakusaidia. Unatakiwa utatue tatizo ulilonalo wewe na siyo matatizo ya wale wanaoweka matangazo feki ya uchumba hapa.
You seems to be lonely which has probably been caused by you not being social. Mara nyingi watu ambao siyo social or anti-social ndo wanakumbana na haya majanga. Open your hands for other people, otherwise you will open them to wrong people for the sake of avoiding being lonely.
Halafu kuwa social haina maana kuwa you should go there and sleep with as many people you can. You just need to let it go and be yourself in front of other people. Stop being shy, insecure au kujisikia embarrassed. Punguza kujikita tuu kwenye kazi na kuacha kusocialise. In fact, you can socialise whilst at work. Ulishawahi kuona matangazo ya kazi wanataka mwombaji awe na sense of humour? socialization inakusadia kuwajua watu au kumjua mtu kupitia watu wengine wanaomjua.
Inaonekena labda wewe ni mdada ambaye una a lot of positive qualities in yourself, lakini kutokana na kupenda kuishi maisha ya upweke, there are no people around you to congratulate for what you have achieved. Badala yake unajikita in your own insecurities despite the fact that you have achieved a lot in your life.
You should stop comparing yourself to others especially hao unaosema kuwa ukiwaona barabarani wanatembea na watoto wao unafikiria kutaka kuolewa. Unasema unaogopa kumtongoza mwanaume uliyempenda, but if you send the right signals atajua you are interested. Asiporespond signals zako lala mbele.
Kama ulikuwa hujui wanawake ndiyo wanaofanya the first approach kwa wanaume by sending out the right signals. But you won't know all these kama hu-socialise. Wengine wanaunganishwa kupitia marafiki. Tena this is more safe than than ku-respond matangazo ya uchumba humu. So, get over your fears of rejection and start interacting with others around you.
Always smile as much as you can and make sure that your body language is welcoming. Siyo unauchuna as if umelazimishwa kuwa hapo ulipo. Kuna sehemu umesema kuwa ukitoka out, you would be very very boring kwa sababu utakuwa mkimya sana then utaanza kuwaghasi you friends it's getting late, tuondoke, tuondoke, so your solution is stay at home, only that your home is empty. The best way wa kuepuka kuwa boring ni kuuliza maswali. Find out what they like talking about then waulize. There are plenty of people out there want to be heard lakini hakuna wa kuwasilikiliza.
Kama unaona kutoka out kunabore, then why don't you invite your friends in for a drink? Hata kama hunywi wao watakunywa. Be open minded bana. Ukiwa invited kwao nenda pia. You must stop locking yourself nyumbani kwako.
Ila the most important thing ambacho watu wengi wanakosea. Acha kabisa kutenganisha your work life from your social life. Ukifanikiwa hili hutakuwa unarudi home na mastress ya kazi. Na kazi utaipenda.
Nimeshawahi kupost hii kwenye uzi mmoja.
Huwa wanasema wanadamu need to "box" other people, that gives them the comfort knowing "who they are dealing with." Many smart people (ex: polymaths) are not easily "box"able – increasing the difficulty to being social.