NANDERA
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,023
- 2,492
Hivi teacher bado unaichukulia JF ya sasa kama ile ya kwetu?
mh! hivi kumbe ee? Nilikuwa mtaa x kukadoda nikasema nije huku. Ngoja nijaribu kubadilisha hobi!
Hivi teacher bado unaichukulia JF ya sasa kama ile ya kwetu?
mweeeh................nataman sasa nikuite chemba lol!
Mashame na rombo
Hivi watu kama hawa huwa wanakuwa wako serious na wanachopost au wanapost kwa vile wana computer/simu na internet?
chemba huko niko mimi na Heaven Sent tunajishauri nani amfunge paka kengele lol
mweeeh................nataman sasa nikuite chemba lol!
wooi nkwe? N kisha ma. Arwa kusha nkunde wakwa. Miso yanshiwawa lo nkunde ilala pfo ndesa shikunde urere!
mweeeh................nataman sasa nikuite chemba lol!
huyu mdada nimemuonea huruma kweli, daah!
Nizibue masikio basi jameni dah!!
yaaani hii story imefanya usingiz wangu wotee umekatika
uhusiano si NDOA jamani ni kuridhiana usiseme i will learn to love..you deserve to love b4 the journey
weka key point zako kama mtu hana MUACHE MARA MOJA
kutamkiwa ndoa si kigezo jamani ndoa ni sherehe tu ili kiridhisha watu maana wengi hulenga harusi issue ni nyie wawil ndani
alafu hivi unawezaje kumueka mwanaume ndani unamlisha?????MAMA AISEE UKIMPATA anaekupenda na ukampenda utadumu kwenye ndoa maana moyo unao
aiseeeeeeeee nishapata pakuanzia lol