snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,325
Wamekwenda wapi?,au sijukuelewa hapa?
Sent from my iPhone using JamiiForums app
sabkheri laaziz!
u hali gani nawe?
hapo ndo kwenye swali, Raha ya Jf waliowengi wanatumia Id (fake names) lakini unashangaa hata fake name inatengenezewa fake name nyingine. so funny
Nimejaribu kujibu post moja moja naona sitazimaliza zote, ni nyingi sana. Hivyo shukrani sana kwa wote walionipa ushauri, ushauri wenu ni wa busara sana, naahidi kuzingatia na kufanyia kazi.
Hata walionibeza nawashukuru pia, tupo katika kujifunza hapa so hamna ubaya,
Zipo comments zilizonichekesha sana pia, thanks a lot guys, you made me laugh out aloud, humu jf kuna utajiri sana wa vipaji.
Kuna maswali ambayo nimeulizwa believe hata mimi nimejiuliza na bado najiuliza maswali mengi sana tu, majibu yake naacha iwe homework kwetu sote na kila jibu ni sahihi kulingana na mtazamo wako.
Naamini wengi wamejifunza na bado watajifunza kupitia uzi huu. Bado nawashauri my sisters, hata kina kaka pia muwe makini sana na matangazo ya wachumba humu, inawezekana wapo ambao wanatafuta wachumba kiukweli ila hawa marioos na matapeli wanawaharibia sana.
Walio appreciate uandishi asanteni sana, sikujua kama uandishi wangu ungekuwa na mvuto, niliandika nikiwa nina hisia kali sana, mmenifungua macho.
Tuko pamoja
hahahahahahahahahhahahaha meno unayoooo?
hehehhehehehe haaapa tu ndo napokulavu!Nipo hapa mwalimu...
Sema neno moja kikojoleo changu kisimame...:third:
Nipo tayari kukufuta machozi.sina mtoto nina masters,sio Mario,Nina hofu ya Mungu.
Ukikaa kwenye foleni asubuhi kuwahi majukumu Halafu unaingia jf unakuta kuna kidume kinatazama series mwezi Mzima majukumu yote kwa mkewe lazima ujiulize if you are not missing somethin
hahahahahahahahahhahahaha meno unayoooo?
leo nimeamua kudevote muda wangu kwenye hizi nyuzi mbiliUkikaa kwenye foleni asubuhi kuwahi majukumu Halafu unaingia jf unakuta kuna kidume kinatazama series mwezi Mzima majukumu yote kwa mkewe lazima ujiulize if you are not missing somethin
Mi baba mizimaaa mda mwingine inakuomba vocha bila hayaaa au nipigie we si vocha unawekewa kazini! Nyoooooo!
Wow....
Pole dada, yaani desperate times zimekufanya uwe na desperate measures...
I believe kwamba hakuna mapenzi ya kweli yanayoweza kupatikana kwenye fake world, JF is one of the fake world heaven, tuna fake ID, fake personalities, fake address etc.
Jichanganye kitaa utakutana nao, na pia funguka, pata bata na wadau nk
Pole zaidi kwa kulea jibaba la zaidi ya decades 4 nyumbani
Last!!! mwandiko wako mbona naufahamu aisee?
leo nimeamua kudevote muda wangu kwenye hizi nyuzi mbili
ukichunguza wachangiaji kuna ambao wana collide sijui ni makusudi ama ni bahati mbaya
lkn pia wachangiaji kwenye kusapoti uzi wa dalaber na wa zinc ni walewale na wakosaji ni walewale af kuna id 7 ambazo hizo kwa dalaber zimenanga sana na kw a@zinc zimesapoti sana na hizi zimekuwa common
haihitaj kwenda darasahn kujua kwamba hawa wameamua kutufanyia sherehe tuu