Stories za wachumba wa Jamiiforums

Stories za wachumba wa Jamiiforums

Status
Not open for further replies.
yaaani hii story imefanya usingiz wangu wotee umekatika

uhusiano si NDOA jamani ni kuridhiana usiseme i will learn to love..you deserve to love b4 the journey

weka key point zako kama mtu hana MUACHE MARA MOJA
kutamkiwa ndoa si kigezo jamani ndoa ni sherehe tu ili kiridhisha watu maana wengi hulenga harusi issue ni nyie wawil ndani

alafu hivi unawezaje kumueka mwanaume ndani unamlisha?????MAMA AISEE UKIMPATA anaekupenda na ukampenda utadumu kwenye ndoa maana moyo unao
hapo kwenye red, utakuja kumbuka umri ushaenda. utatamani kurudisha muda nyuma uwakubalie lakin itakuwa ushachelewa., yaan nakuonaga wife material lakin leo masai dada nimekuzidisha na sifuri (masai dada X 0 = 0)
 
Last edited by a moderator:
Duuh huu uzi umenijengea fikra zingine tofauti ambazo sikuwahi kuzifikiria kabla.

Kwa wale tuliomo humu tangu kitambo walau miaka 2 au 3, mengi tushayasikia humu ila bahati mbaya wengine hujifanya vichwa ngumu sijui ndo huo uzuri/urembo wenu unawadanganya....LOL (ebu nicheke mie as if ni mazuri)

Nakumbuka kuna nyuzi nyingi tu za kuonya zishaandikwa ikiwemo ya yule dada aliyenusurika kuambukizwa ukimwi.

Jamani chukueni tahadhali!!! Jf ni zaidi ya uijuavyo!
 
hapo kwenye red, utakuja kumbuka umri ushaenda. utatamani kurudisha muda nyuma uwakubalie lakin itakuwa ushachelewa., yaan nakuonaga wife material lakin leo masai dada nimekuzidisha na sifuri (masai dada X 0 = 0)

hahahaah sikiliza mkuu hivi unazani huuu uzi unavyoudhi umelala usiku ukashtuka ukasema uchek jf ndo unakutana na uzi kam huu ungecoment nini???

jana nilishikwa hasira sana
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa kuuguza kwanza..malaika wetu augue pole. Ticha inabidi nikutengenezee chai kwa kupinda mgongo kusimamia kazi kwa uadilifu

thanks my dear, namshukuru sana Mungu anaendelea vizuri.
mie leo silali hadi kieleweke kuna saga jingine huko sijui zinc kapewa libolibo mweeehhhh yaani leo nakamatia hadi nione mwisho wake
 
Last edited by a moderator:
Chai tu teacher......??

Mimi nilidhani unataka tukutane kwenye viti virefu kukaribisha week end...

babu siku hzi sipendi viti virefu
ila napenda zaid vijiwe vya kahawa na popcorn
wallah nimekuwa mgonjwa wa haya makitu
eb njoo kwanza nikupelekemo unywe capuchino af uone stori itavoshuka
 
Mwanaume jf ni just spend naye a night na ukiamua pima hiv huko huko room vinginevyo tia condom.
Na mkikutana humu kama vile hamjuani.

Wanaume hata kwenye daladala utapata wa maana zaidi ya hawa wa humu.

........... Halloooo!!!!!!!
 
Ushamjua au bado?
babu siku hzi sipendi viti virefu
ila napenda zaid vijiwe vya kahawa na popcorn
wallah nimekuwa mgonjwa wa haya makitu
eb njoo kwanza nikupelekemo unywe capuchino af uone stori itavoshuka
 
hahahaah sikiliza mkuu hivi unazani huuu uzi unavyoudhi umelala usiku ukashtuka ukasema uchek jf ndo unakutana na uzi kam huu ungecoment nini???

jana nilishikwa hasira sana
ok, basi punguza hasira, jamaa kweli anaudhi. huwez kulelewa jibaba zima 44yrs alaf bado unaleta gubu.
 
This is part of experience dear dada, don't give up, utajuaje kuendesha baiskeli hata kovu moja huna? Hata huyu utampa teke atakuja mwingine atakukuta ushabobea mtatuliaje na hilo penzi moja kwa moja hadi kwa shekh au mchungaji na gauni lako jeupe mtamwaga wino kwenye social contract.
 
ivi usharud ama bhado??
sina vocha af nina dela la maana sana nataka tuongee mimi na wewe ni kazi nyeti na italipa sana
 
Mwanaume jf ni just spend naye a night na ukiamua pima hiv huko huko room vinginevyo tia condom.
Na mkikutana humu kama vile hamjuani.

Wanaume hata kwenye daladala utapata wa maana zaidi ya hawa wa humu.

........... Halloooo!!!!!!!

Kwani hao hawapo jf
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom