snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,325
mekumithiiiiiMi mzima wa afya mupenzi wa roho yange ...
Wewe je?

dah kweli we kiboko, yaan huwez mfanyia mpenz wako jambo dogo namna hiyo!!!, we hufai kuwa mke kabisa. imagine, nakupa kila ukitakacho, kodi ya nyumba, hela ya salun kila wiki unapata, mizawazi kibao, shoping za kila mara, kweli nimekwama sehemu nakuomba vocha tu unakataa!!!!,free p alafu unaombwa tena hela looooh kuna watu wana moyo
yaani mimi mvulana anaiambie tu nipunguzie vocha nipo sehem siwez kupata nitamuuliza maswali hatorudia
ila hili ni tatizo la kuingia kwenye uhusiano na mtu asiekua na muelekeo
leo nimeamua kudevote muda wangu kwenye hizi nyuzi mbili
ukichunguza wachangiaji kuna ambao wana collide sijui ni makusudi ama ni bahati mbaya
lkn pia wachangiaji kwenye kusapoti uzi wa dalaber na wa zinc ni walewale na wakosaji ni walewale af kuna id 7 ambazo hizo kwa dalaber zimenanga sana na kw a@zinc zimesapoti sana na hizi zimekuwa common
haihitaj kwenda darasahn kujua kwamba hawa wameamua kutufanyia sherehe tuu
dah kweli we kiboko, yaan huwez mfanyia mpenz wako jambo dogo namna hiyo!!!, we hufai kuwa mke kabisa. imagine, nakupa kila ukitakacho, kodi ya nyumba, hela ya salun kila wiki unapata, mizawazi kibao, shoping za kila mara, kweli nimekwama sehemu nakuomba vocha tu unakataa!!!!,
hakiyamama mie kama we mpenz wangu nakutema siku hiyo hiyo.., maana huwez kuwa mama bora. utawalaza njaa watoto una hela kwenye pochi, eti kisa mchele umeisha na baba hajanunua.
Hivi teacher bado unaichukulia JF ya sasa kama ile ya kwetu?
Jf ni zaidi ya uijuavyo
hebu nifupishie hii habari si unajua memory imepungua!leo nimeamua kudevote muda wangu kwenye hizi nyuzi mbili
ukichunguza wachangiaji kuna ambao wana collide sijui ni makusudi ama ni bahati mbaya
lkn pia wachangiaji kwenye kusapoti uzi wa dalaber na wa zinc ni walewale na wakosaji ni walewale af kuna id 7 ambazo hizo kwa dalaber zimenanga sana na kw a@zinc zimesapoti sana na hizi zimekuwa common
haihitaj kwenda darasahn kujua kwamba hawa wameamua kutufanyia sherehe tuu
leo nimeamua kudevote muda wangu kwenye hizi nyuzi mbili
ukichunguza wachangiaji kuna ambao wana collide sijui ni makusudi ama ni bahati mbaya
lkn pia wachangiaji kwenye kusapoti uzi wa dalaber na wa zinc ni walewale na wakosaji ni walewale af kuna id 7 ambazo hizo kwa dalaber zimenanga sana na kw a@zinc zimesapoti sana na hizi zimekuwa common
haihitaj kwenda darasahn kujua kwamba hawa wameamua kutufanyia sherehe tuu
Hivi teacher bado unaichukulia JF ya sasa kama ile ya kwetu?
mwali ngoja nikutoe tongotongoaseee sijui hata cha kuandika gfsonwin ni nin kinaendelea!
hiz threads una maslahi nazo mwal?
chaaa!
n kiiki?
Hivi teacher bado unaichukulia JF ya sasa kama ile ya kwetu?
Babu ....
Siku hizi huku nakuja kwa machale sana ....
Jukwaa limekuwa la ajabu sana hili!!
Upo makini!
hahhahhha zamani nilikuwa nikikosa jf kwa masaa naumwa!
sa hiz naeza nisahau kuingia hata wiki mbili!
nashangaa kolig bado ana nguvu ya kukusanya mawazo kiasi hiki!
hivi babu unajua kuacha kazi ili ufanye kazi ndo nilichokifanya leo...........
yaani nianika hapa nilichokipata kwenye uchunguzi wangu watu watanichapa bureee
ngoja nikae kimya tuu ila leo nimecheka sana
af cha ajabu zaid watu wamejilenga wenyewe mtegoni chezeya akili ya ticha weewe

Safi sana teacher...nitakutafuta unipe muhtasari!
Hahahaaaaa .....
Hebu ninong'oneze banaaaaaa!!
af nilivyogundua ni zaid ya hiki nilichokiandika
weka oda ya chai asbh kantini nikupe udaku wote ED nimemaliza leo.