Stori ya kusisimua - Taxi

Stori ya kusisimua - Taxi

Series gani taja na jina kabisa, kwa huku bongo ni pa hovyo sana ma director sijui wakwama wapi, unakuta movie eti majambazi wanaenda kuvamia sehemu wakifika mlangoni wanavua viatu, mtu ana ect jini halafu limejipqmba lip stick Kama zote yaani sisi bora tusome hizi riwaya tu kwenye bongo movie hakuna kitu
Inaitwa vagabond ni one of the best a lot of twist ni ya ujasusi na terrorism. Na baadhi ya viongozi wanahusika. Ni nzuri kwa kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom