Stori ya kusisimua - Taxi

Stori ya kusisimua - Taxi

Haha! Inaonekana unamfahamu sana, na pengine ndo huwa unamnunulia bando...
Ahsante sana mkuu, nilikua sijaifuatilia hii simulizi. Ndo nimeimalizia leo, hakika Mungu kakupendelea kipaji cha kipekee, barikiwa sana mkuu
 
Ahsante sana mkuu, nilikua sijaifuatilia hii simulizi. Ndo nimeimalizia leo, hakika Mungu kakupendelea kipaji cha kipekee, barikiwa sana mkuu
Amina... Sasa huyo Tunu anaibukia kwenye harakati za Jason. Ni hatari...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom