Stori ya kusisimua - Taxi

Stori ya kusisimua - Taxi

Kwa Tax hii asante
2002714.jpeg
 
kwa wake wanaoikandiaga bongo movie nafikiri mmejifunza kitu, huyu Bishop ni script writer wa siku nyingi sana na huwa ana story nzuri sana shida inakuwa ni bajeti,kuan watu wanajitahidi ku shoot na ku edit ila kwa hii story ilivyo ukitaka itoke vizuri siyo bajeti ya milioni 5 halafu kushuti kwa week moja,atleast 50 million(kibongobongo) bajeti kitatoka kitu cha kueleweka kama kilivyo
 
Hata 50 haitoshi mkuu ,hayo majumba na magari yaliyo tajwa humo sio maskhara,mixa watoto wakali wakinaTunu,inabidi ujipange
 
Ni kweli poti, kuna wakati nilishuhudia akigombana na maprodyuza wa filamu wa Bongo Muvi, hasa Mtitu kwa sababu kila akimwandikia script yeye anakwenda kushuti tofauti na stori inavyotaka kwa sababu ya bajeti na wakati mwingine ujuaji mwingi.
 
Hata 50 haitoshi mkuu ,hayo majumba na magari yaliyo tajwa humo sio maskhara,mixa watoto wakali wakinaTunu,inabidi ujipange
Majumba, magari na watoto wakali inaweza isiwe tatizo, vyote hivi tunavyo. Shida ni je, tunao maprodyuza/ madairekta siriaz watakaoweza kushuti kama vile stori inavyotaka?
 
Kuna nchi nyengine suala la movie wameendelea. Wa korea kama Hollywood. Nimeangalia series moja wako vizuri kweli kwenye technology mpaka soundtrack. Maybe Tanzania hakuna ushirikiano na serikali. Maana sehemu nyengine mpaka uombe vibali. Inakuwa ngumu zinaishia series za mapenzi tu
 
Dah hii noma
 
Series gani taja na jina kabisa, kwa huku bongo ni pa hovyo sana ma director sijui wakwama wapi, unakuta movie eti majambazi wanaenda kuvamia sehemu wakifika mlangoni wanavua viatu, mtu ana ect jini halafu limejipqmba lip stick Kama zote yaani sisi bora tusome hizi riwaya tu kwenye bongo movie hakuna kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom