Stori ya kusisimua - Kizungumkuti!

Stori ya kusisimua - Kizungumkuti!

Hahahahaha.. Ahsante Bishop..

Jacob na Yusuph marafiki, Jacob anataka kukumbushia enzi.. Carlos na kina Kabwe nao kuna chembe za kusalitiana.. Sajenti naye kachukua namba za simu, ya Jacky haiwezi kukosekana... Kweli ni KIZUNGUMKUTI..
Ila no.ya jacky jina tofauti. Na yusuph alivyokuwa muoga atatapika yote
 
Nlitaka kushangaa. Kwa kweli kuna kila sababu speed ya kuweka episodes iongezeke maradufu, sababu upinzani umekua mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23]

the Legend☆
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeona eeenh hivi naanzaje kukuacha mm dear ebu twende kule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom