makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 28,332
- 81,553
Roberto carlosKulikuwa na story mchezaji fulani wa brasil anapiga penalt usawa wa kipa na lazima kipa akwepe maama shuti ni kali sana asipokwepa anaingia nao wavuni.... Nimemsahau jina ila ni no 6