Huna jipya mbu kipeuo cha Tatu wwHaloooooo! Hii kitu kama ni Photoshop wadau nawaomba tuache hii dhihaka kwa Rais Wa Gombe na Mahale mnamharibia bwana!! Ina maana alikuwa kwenye mkutano mzito hivyo halafu suti iko upande? Hata dereva wake kumbe hampendi aiseee! Ina maana kote alikotoka hakuna hata msamaria mmoja Wa kumstua? Sasa ajiangalie kuna siku atatinga kwenye kikao yuko kwenye boxer!! Yaani hata mke?? Wassira kama una mpango Wa kutangaza nia bora uache, UKAWA watakuchafua hakuna mfano!! Namwomba sana MUNGU at my 60s nisiwe na tamaa ya kung'ang'ania ofisini!!
Tatizo la Wabongo wengi wanapuuza na kudharau vitu vinavyoonekana ni vidogo kama hivyo kufunga vifungo, tai nk, Lakini vitu hivyo vinavyoonekana vidogo ndivyo vinavyo akisi maisha yetu kwa ujumla wake
Ujue nilikuwa ninasikiliza xxxl wakawa wanamwambia adam mchomvu kuwa amekosea kufunga vifingo vya koti...kumbe ili kuwa dogo kwa wassira
WENGINE HAWAONI VIZURI MKUU.![]()
Isee nimeliona bhana
Mhhh,amemuona ndio maana na sisi hii picha tumeionaHivi hata mpiga picha hakumuona?
Mambo ya Urais yanaingiaje hapa?S
mleta mada PICHA we Ni mpumbavu kweli na unatumika vibaya kama unga wa ngano
So unataka kutuaminisha Kuwa Membe ndo mwenye sifa ZA Kuwa RAIS ????
Nenda nae Huko kwa kina Remtula . mwache RAIS WANGU Wasira mzalendo wa UKWELI
Chaguo la WANYONGE
WENGINE HAWAONI VIZURI MKUU.![]()
Kweli kabisa, chaguo la wanyonge akaendelee kuwanyonga mpaka mfe kabisa akae peke yake.S
mleta mada PICHA we Ni mpumbavu kweli na unatumika vibaya kama unga wa ngano
So unataka kutuaminisha Kuwa Membe ndo mwenye sifa ZA Kuwa RAIS ????
Nenda nae Huko kwa kina Remtula . mwache RAIS WANGU Wasira mzalendo wa UKWELI
Chaguo la WANYONGE
S

Hii inawezakua ndio picha iliyowekwa mara nyingi zaidi hapa jf,
Baba lako limeaibika konokono wewe!! Liambie litakuja kufia ofisini. Jitu limezeeka lakini bado linang'ang'ania madaraka nyamb.aff!! Ipo siku litatinga baraza la mawaziri na boxer! Baba lako hili hapa! Bwaaaaaahahahahaahah!!Huna jipya mbu kipeuo cha Tatu ww