Duh, majanga!
Wakuu salama!
Tukiwa tunamaliza wiki sasa, ni vizuri tukaona picha hii, na kuanza kuwapima watia nia wetu wa urais kwa style mbalimbali.
Na kuona umhimu wa Top levels officers wa serikari kuwa na watu wa mitindo na nguo.
Asanteni sana, tafakari picha hii.
Haya ni majanga tena makubwaaa.Wakuu salama!
Tukiwa tunamaliza wiki sasa, ni vizuri tukaona picha hii, na kuanza kuwapima watia nia wetu wa urais kwa style mbalimbali.
Na kuona umhimu wa Top levels officers wa serikari kuwa na watu wa mitindo na nguo.
Asanteni sana, tafakari picha hii.
Tatizo la Wabongo wengi wanapuuza na kudharau vitu vinavyoonekana ni vidogo kama hivyo kufunga vifungo, tai nk, Lakini vitu hivyo vinavyoonekana vidogo ndivyo vinavyo akisi maisha yetu kwa ujumla wakekukosea kufunga kifungo si tija kwani hata wewe kama ni me unaweza kujisahau ukaruka lux moja.