Steven Wassira ndani ya fashion

Steven Wassira ndani ya fashion

S
mleta mada PICHA we Ni mpumbavu kweli na unatumika vibaya kama unga wa ngano
So unataka kutuaminisha Kuwa Membe ndo mwenye sifa ZA Kuwa RAIS ????
Nenda nae Huko kwa kina Remtula . mwache RAIS WANGU Wasira mzalendo wa UKWELI
Chaguo la WANYONGE
Nyooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!! chaguo lako mwenyewe anayekunyonga tgoni.
 
Ni kosa mtu yeyote anaweza kufanya - si kitu kikubwa cha kumuhukumu mtu
 
S
mleta mada PICHA we Ni mpumbavu kweli na unatumika vibaya kama unga wa ngano
So unataka kutuaminisha Kuwa Membe ndo mwenye sifa ZA Kuwa RAIS ????
Nenda nae Huko kwa kina Remtula . mwache RAIS WANGU Wasira mzalendo wa UKWELI
Chaguo la WANYONGE
Mkuu kwa kweli hii ni aibu binafsi kwa Wassira , haihtaji utetezi.
Ila tukubli tusikibali inachekesha.
 
huyu mzee akipewa nchi hamalizi miaka kumi... Maana akili isharud ya utotoo..
 
Hii ni full aibu kwa taifa kuwa na Waziri kama huyu asiyejua hata kuweka vizuri mkoti wake.Oooooh ***.
 
Hii ni full aibu kwa taifa kuwa na Waziri kama huyu asiyejua hata kuweka vizuri mkoti wake.Oooooh ***.

Kama hiyo unaiona aibu je kuwa na taifa la watu wezi ni ufahari? Wassira unamwona hivyo ni kwa kuwa ana mawazo mengi ya kuwafikiria watanzania! Muda wake mwingi anafikiria mambo gani ya kuwasaidia watanzania! Ndo maana hajaweza kuwaibia watanzania hata sent I moja! Wassira ni mgombea pekee asiye na kashfa na mwenye mzalendo wa hali ya juu!
 
Acha kuwaza kienyeji
Katika YOTE umeona hili ndio la maana???
Je NA wale wanaoliibia Taifa??
Acha upumbavu ......
Komeo Lachuma ametoa hoja yake akihusianisha muonekano wa mtu na utendaji kazi wake, wewe unamtukana! Una mfahamu vizuri huyo uliyemtukana?

Usije ukalikimbia jukwaa. Nikutaarifu tu kwamba kwenye Utumishi wa Umma Dressing Code inapewa kipaumbele cha kwanza kuliko utendaji wako. Kama huamini nenda ofisi ya yoyote ya Umma ukiwa umevaa bukta na tai uone kitakachokutokea hata kama wewe ni mwajiriwa wa miaka mingi na shahada zako za kutosha.
 
grafani11 nashukuru kwa kumjibu huyu Ras Kisuse, inaonekana hajui alisemalo. kama hajui maadili/ethics/dressing code ya utumishi wa umma hawez elewa hapa tunazungumzia nini. dressing code,dressing and appearance matters a lot kama ni public figure. katika communication pia dressing matters a lot. kisaikolojia mtu ambaye amevaa hivyo, anatembea hajafunga zipi, ameruka vishikio vya shati,amefunga mkanda akaruka vibanio vya suruali. huyu moja moja mentally anakuwa hayupo ok au wakati anavaa hakuwa ok. hii katika public tayar mtu unakuwa discarded .ukimwona mheshimiwa alivyosimama bega limelala chini( si ulemavu) sura au kichwa alivyokifanya unaweza hisi kuwa alikuwa amelewa,au ni zezeta n.k hii si picha nzuri kwa jamii. lakini pia ni kiongozi huyu huyu alipigwa picha analala katika kikao cha bunge. unapoenda bungeni ni dhahiri unajua unaenda kufanya nini unapolala maana yake nyepesi ni kuwa haupo makini. ufisadi upo wa namna nyingi. huyu ras sijui kama ni imani ya kiras au jina tu lakini ningemwambia (fi yu di rastaman yu shuld know dat di babylon system aint giv nuh shit bout i n i. n dis is di sign dem peopl culdn take care of demselves how dem gwan take care bout i n i? ) JF hujui ni akina nani wana mwono gani katika mambo wanayoongelea. ukisema hujali kuhusu mavas umepewa mifano michache na grafan... nenda ofisi za umma umevaa pensi uone kama utaingia.au umevaa mlegezo. huyu anataka kuja kuwa Rais. vifungo vitatu vya suit kashindwa kufunga ataweza kuangalia maslah ya mamilion ya watanzania?moja kwa moja psychologically anaonekana unfit.. akili yake imechoka,amepoteza umakini,msahaulifu n.k
 
Back
Top Bottom