Steven Wassira ndani ya fashion

Steven Wassira ndani ya fashion

mtoa mada huo ni ushamba kwan tatzo nn? mbona kawaida sana .kilimtu huwa anakosea nadhan hata babako alishawahi kusea
 
Du kuna picha ya uyu mgombea Uraisi amepiga na wazungu pamoja na membe alivyovaa iyo suti ni hatari vifungo vimepishana
nyie watu wa Ccm hamna watu wakuwashauri jinsi ya kuvaa? mnatia aibu
najaribu kuweka picha nashindwa ipo kwwnye mitandao uko au mfollow ALBERTmsando uweze kuona iyo picha
 
Last edited by a moderator:
Maoni yangu tu ni kwamba kama kuvaa koti tu ni tatizo namna hii basi bila shaka viatu vya ikulu havita mtosha Namheshimu sana waziri wangu lakini kwa style hii aaa... wapi hapo alipo panamtosha
 
Mapicha yenu ya Photoshop pelekeni huko instagram na facebook.
 
Wenzio wameshatoa uzi huu pamoja na picha.
 
huna lolote hapo hakuna jipya kawaida sana kukosea hata wewe pengine hata babako alishawahi kosea
 
Haituhusu hiyo; Kama anaweza kututoa hapa tulipo basi tutampa rungu; Kuvaa akishaingia Ikulu kuna wapambe wa Kumpamba na kuna fungu la Mavazi la kwenda saloon na kuagiza suti.

Tunafocus kwenye Mtu anayeweza kututoa hapa tulipo...hii kuvaa suti vizuri haitatuongezea kitu kwenye tatizo la "leadership vacum" umbwe la uongozi.
 


Wanasema hata boksa atakuwa amegeuza nje-ndani. (Usiulize mara ya mwisho ilifuliwa lini)
 
CV ya huyu jamaa ikoje wadau??

Yeye na Muhongo nani mkali kishule shule zaidi?
Huyu alisoma
Enzi za mwalimu--form 4
Akaanza kazi
Baadae akadaka diploma nje ya nchi
baada ya hapo
blah bla blah
 
Kuvaa suti tu inamshinda nchi ataiweza!

Yeye hajasema anataka Kuwa Rais wa Fashion Bali RAIS wa Nchi
Nikienda mbali mzee wa WATU sijawahi kumsikia ametangaza URAIS ila Naona Watu wanamtaja Wengi KWENYE URAIS
Na Atashinda
 
Maoni yangu tu ni kwamba kama kuvaa koti tu ni tatizo namna hii basi bila shaka viatu vya ikulu havita mtosha Namheshimu sana waziri wangu lakini kwa style hii aaa... wapi hapo alipo panamtosha

Haya mambo Ni vitu vya kawaida sana. Mtu kujisahau mbona hamsemi mazuri aliyoyasema kwenye hicho Kikao
Usafi wa Membe au Jk Lowassa umelisaidia nn TAIFA?????

Taifa liliko toka NI salama ZAIDI kuliko linakokwenda sasa....

Kumbuka Mara ngapi umepitiwa kwenye mambo madogo madogo kama Haya????
 
Hatari hii.. kama mgombe urais anapishanisha vifungo vya suit namna hii... napata mashaka sana huko kwenye maamuzi yake

Acha kuwaza kienyeji
Katika YOTE umeona hili ndio la maana???
Je NA wale wanaoliibia Taifa??
Acha upumbavu ......
 
Back
Top Bottom