Steven Wassira ndani ya fashion

Steven Wassira ndani ya fashion


attachment.php
WENGINE HAWAONI VIZURI MKUU.
 
Haituhusu hiyo; Kama anaweza kututoa hapa tulipo basi tutampa rungu; Kuvaa akishaingia Ikulu kuna wapambe wa Kumpamba na kuna fungu la Mavazi la kwenda saloon na kuagiza suti.

Tunafocus kwenye Mtu anayeweza kututoa hapa tulipo...hii kuvaa suti vizuri haitatuongezea kitu kwenye tatizo la "leadership vacum" umbwe la uongozi.

Hehe heh wanataka rais aburuzwe kama jk..mara kapelekewa disainia sharia ngowi..ujinga ujinga tu
 
huyu jamaa alikimbiaga ccm
nyumba yake ya msasani ikapigwa
x palee alipokuwa anauza fish
kuona hivyo akarudi ccm
x ikafutwa na ccm
wakampokea....pia masumbuko lamwai alifanya unafki kama wa huyu dingi.....
 
S
attachment.php
WENGINE HAWAONI VIZURI MKUU.
mleta mada PICHA we Ni mpumbavu kweli na unatumika vibaya kama unga wa ngano
So unataka kutuaminisha Kuwa Membe ndo mwenye sifa ZA Kuwa RAIS ????
Nenda nae Huko kwa kina Remtula . mwache RAIS WANGU Wasira mzalendo wa UKWELI
Chaguo la WANYONGE
 
Tyson huyo. Ngumi mkononi na hajali kavaaje bali kaficha kilichoko ndani mpaka wapambe wamwambie.
 
Wakati mwingine wazee wetu hawa wanajidhalilisha!
Badala ya kucheza na wajukuu wao kila siku maofisini huku mwili na mawazo vimechoka.
Mzee Wassira apumzike sasa,siasa basi.
(kama hujaona cheki koti)
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    98.8 KB · Views: 648
  • Thanks
Reactions: SMU
huyu jamaa alikimbiaga ccm
nyumba yake ya msasani ikapigwa
x palee alipokuwa anauza fish
kuona hivyo akarudi ccm
x ikafutwa na ccm
wakampokea....pia masumbuko lamwai alifanya unafki kama wa huyu dingi.....

Nilichogundua unakipaji CHA umbea.....
 
Wenyewe ndo wanamtegemea kuiua CHADEMA... CCM hawana akili hata ya kubebewa ...
 
Back
Top Bottom