Ras Kisuse
JF-Expert Member
- Sep 25, 2012
- 368
- 31
Tyson huyo. Ngumi mkononi na hajali kavaaje bali kaficha kilichoko ndani mpaka wapambe wamwambie.
HANA Historia YA kupiga WATU Hilo Ni jina lake la utani Kama lile lako la zamani
Tyson huyo. Ngumi mkononi na hajali kavaaje bali kaficha kilichoko ndani mpaka wapambe wamwambie.
Mkiambiwa huyu katoroka msitu wa gombe hamsikii leo mmejionea wenyewe
S
mleta mada PICHA we Ni mpumbavu kweli na unatumika vibaya kama unga wa ngano
So unataka kutuaminisha Kuwa Membe ndo mwenye sifa ZA Kuwa RAIS ????
Nenda nae Huko kwa kina Remtula . mwache RAIS WANGU Wasira mzalendo wa UKWELI
Chaguo la WANYONGE
Wakati mwingine wazee wetu hawa wanajidhslilisha!
Badala ya kucheza na wajukuu wao kila siku maofisini huku mwili na mawazo vimechoka.
Mzee Wassira apumzike sasa,suasa basi.
Wasira amelifanyia nini taifa hili teule?Acha upumbavu ww na ujana wako umelifanyia nn Taifa lako???
Tatizo la Wabongo wengi wanapuuza na kudharau vitu vinavyoonekana ni vidogo kama hivyo kufunga vifungo, tai nk, Lakini vitu hivyo vinavyoonekana vidogo ndivyo vinavyo akisi maisha yetu kwa ujumla wake
Acha upumbavu ww na ujana wako umelifanyia nn Taifa lako???
Penye ukweli lazima watu waseme, Mzee Wassira anatakiwa kurudi jimbon kwake Bunda apumzike asaidiane na wazee wenzake katika shughuli za kilimo, siyo kila siku anapakwa kashifa mara anaishi bure kwenye nyumba za sukari, mara anataka uraisi wakati hana sifa, arudi bwana akalime Pamba.
Ur stupid cow ndo maana HATA MAISHA yako yamekushinda Kazi kukalia umbea tuWewe ndo mpu.mb!! Unaona hiyo ni sawa? Badala ya kuwalaumu watu aliokuwa nao Wewe unamtukana mleta mada? Anzia nyumbani, ofisini, kwenye gari, jirani yake kwenye hicho kikao na mpiga picha wote hao ndo wapumb.avu kama Wewe!