Steven Masatu Wassira unakumbuka huyu?

Steven Masatu Wassira unakumbuka huyu?

Bwana Steven Masatu Wassira waziri katika serikali ya rais Kikwete anajinasibu kama mtu ambaye hana kashfa, nataka kumkumbusha baadhi ya mambo yake kwani nimesoma maojiano yake kwenye gazeti la dira ya mtanzania.

Mwaka 2006 Wasira akiwa waziri ama wa maji au wa kilimo alimpatia kijana wake anayeitwa KAMBARAGE zaidi ya sh bilioni 1 kwa ajili ya kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wa Buhemba.

Kijana akajitosa kwenye bihashara lakini akakutana na upinzani mkubwa kwa hiyo ikabidi atafute washirika ambao ni wazoefu na wazaliwa wa Buhemba akajiunga na kijana mmoja aitwae ENOCE KAREGO huyu ni mzaliwa wa Buhemba kwa waliokwishafika Buhemba huyu bwana ndie anayemiliki ukumbi mkubwa unaoitwa KAREGO upo nyuma ya kituo cha polisi Buhemba.

Biashara ilianza vizuri na wakawatikisa wenzao kwani KAMBARAGE alikuwa anapeleka dhahabu hiyo Marekani bei yao ilikuwa nzuri hivyo wakateka soko, kama una jamaa Buhemba ulizia, ilipofika mwaka 2007 mshirika wa mtoto wa Wassira akaingiwa na tamaa baada ya KAMBARAGE kutoka Marekani alikuja na kiasi kikubwa cha fedha na kumkabidhi bwana ENOCE fahamu kuwa pesa ya kununulia dhahabu maeneo ya machimbo haiwekwi benk kutokana na mazingira ya manununzi.

ENOCE akaweka mazingira ya kuwa ametekwa na majambazi maeneo ya Sabasaba alfajiri wakati akimpelekea KAMBARAGE dhahabu aliyokuwa amenunua, ikapigwa yowe eneo ilo na kuanza kufatila kama wanaweza kuwapata majambazi hao.

Katika kufatilia kuna kijana mmoja mzaliwa wa Tanga aliuawa kwani alikuwa mgeni eneo hilo alikuwa amekuja kumsalimia dada yake alieolewa hapo, kwa hiyo yowe ilipopigwa nae alitoka majira ya saa 11 alfajiri alipokutana na wanayowe katika maojiano hawakuelewana kwa hiyo alipigwa hadi kufa, alikuja kutambuliwa baadae na shemeji yake alipokuja kutazama maiti.

Alipopewa taarifa mtoto wa Wassira alikuja Buhemba ili kupata taarifa kamili, ENOCE alimueleza kuwa alfajiri ya siku ya tukio akiwa anaendesha gari lake kuelekea Bunda walitokea watu wenye bunduki na kupiga risasi kioo cha mbele hivyo gari lilikosa mwlekeo na kwenda nje ya barabara, ndipo alipovamiwa na kunyanganywa dhahabu yote aliyokuwa anampelekea, KAMBARAGE alimtaarifu baba yake ambaye aliwasiliana na polisi ili wachunguze suala ilo.Taarifa ya polisi ilipinga madai ya ENOCE kuwa alitekwa na ikaonekena ni tukio la kupangwa.

Wassira alikuja Buhemba na ndege ndogo ya serikali na kutua katika mgodi wa Buhemba akaamuru askari wamkamate ENOCE apelekwe mgodini azungumze nae kweli baada ya nusu saa ENOCE alikuwa kwenye ndege akifanya mazungumzo na Wassira baada ya masaa 2 ENOCE alishuka na kuondoka na polisi ambapo alikuwa ameamriwa ndani ya wiki 1 awe amekabidhi dhahabu yote na pesa iliyokuwa imebaki kwa KAMBARAGE, ENOCE akufanya hivyo kwa hiyo baada ya wiki alikamatwa na kuswekwa ndani.

Amekaa magereza kwa zaidi ya miaka 2 mpaka ndugu zake walipochachamaa kuwa wataweka mambo yote hadharani ilikuwa inaelekea uchaguzi wa 2010 ndipo akaachiwa na kesi kufutwa.

Cha kujiuliza mwaka 2006 Wassira alitoa wapi zaidi ya sh bilioni 1 na kumpatia mwanae tena mmoja, hatujui wengine walipewa kiasi gani, ilo ni moja mengine yaja.
:deadhorse::deadhorse:
 
:deadhorse::deadhorse:

Wasira ndie MTU pekee Mwenye ushawishi mkubwa ndani ya CCM. Ni mwanasiasa anaesifika kwa mahesabu makali ya ushawishi rejea2005 yeye ndo aliekua akimsafishia njia Jk alifanya kazi take vzr iliyopelekea JK kushinda kwa Kishindo
Hivyo hivyo hata sasa utaona kadri siku zinavyozidi kusogea ndivyo Jina lake linaendelea kujaa midomoni mwa Watanzania siasa ya namna hii ni mbaya sana na uwezekano Wa kuwapiku wenzie ni mkubwa sana kulingana na ushindi alioupata 2012 ndani ya Chama chake!
 
Mimi nilimjua kupitia kesi ya rushwa
 
mkuu pasco 1 bilion. Ni milion kumi 100 sio 1000.

Mkuu Mathewa, kwanza asante kuhusu bilioni moja cash, lets asume you are right, kwa kumbukumbu yangu by assumption, ile bundle ya milioni 10, uzito wake ni kilo moja, then then does it make sense kweli, huyo baba alimpa mwanae bulungutu la noti za kilo mia?!.

Thanks.

Pasco
 
[FONT=times new
roman]Bwana Steven Masatu Wassira waziri katika serikali ya rais
Kikwete anajinasibu kama mtu ambaye hana kashfa, nataka kumkumbusha
baadhi ya mambo yake kwani nimesoma maojiano yake kwenye gazeti la dira
ya mtanzania.

Mwaka 2006 Wasira akiwa waziri ama wa maji au wa kilimo alimpatia kijana
wake anayeitwa KAMBARAGE zaidi ya sh bilioni 1 kwa ajili ya kununua
dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wa Buhemba.

Kijana akajitosa kwenye bihashara lakini akakutana na upinzani mkubwa

kwa
hiyo ikabidi atafute washirika ambao ni wazoefu na wazaliwa wa Buhemba
akajiunga na kijana mmoja aitwae ENOCE KAREGO huyu ni mzaliwa wa
Buhemba kwa waliokwishafika Buhemba huyu bwana ndie anayemiliki ukumbi
mkubwa unaoitwa KAREGO upo nyuma ya kituo cha polisi Buhemba.

Biashara ilianza vizuri na wakawatikisa wenzao kwani KAMBARAGE alikuwa
anapeleka dhahabu hiyo Marekani bei yao ilikuwa nzuri hivyo wakateka
soko, kama una jamaa Buhemba ulizia, ilipofika mwaka 2007 mshirika wa
mtoto wa Wassira akaingiwa na tamaa baada ya KAMBARAGE kutoka Marekani
alikuja na kiasi kikubwa cha fedha na kumkabidhi bwana ENOCE fahamu kuwa
pesa ya kununulia dhahabu maeneo ya machimbo haiwekwi benk kutokana na
mazingira ya manununzi.

ENOCE akaweka mazingira ya kuwa ametekwa na majambazi maeneo ya Sabasaba
alfajiri wakati akimpelekea KAMBARAGE dhahabu aliyokuwa amenunua,
ikapigwa yowe eneo ilo na kuanza kufatila kama wanaweza kuwapata
majambazi hao.

Katika kufatilia kuna kijana mmoja mzaliwa wa Tanga aliuawa kwani
alikuwa mgeni eneo hilo alikuwa amekuja kumsalimia dada yake alieolewa
hapo, kwa hiyo yowe ilipopigwa nae alitoka majira ya saa 11 alfajiri
alipokutana na wanayowe katika maojiano hawakuelewana kwa hiyo alipigwa
hadi kufa, alikuja kutambuliwa baadae na shemeji yake alipokuja
kutazama maiti.

Alipopewa taarifa mtoto wa Wassira alikuja Buhemba ili kupata taarifa
kamili, ENOCE alimueleza kuwa alfajiri ya siku ya tukio akiwa anaendesha
gari lake kuelekea Bunda walitokea watu wenye bunduki na kupiga risasi
kioo cha mbele hivyo gari lilikosa mwlekeo na kwenda nje ya barabara,
ndipo alipovamiwa na kunyanganywa dhahabu yote aliyokuwa anampelekea,
KAMBARAGE alimtaarifu baba yake ambaye aliwasiliana na polisi ili
wachunguze suala ilo.Taarifa ya polisi ilipinga madai ya ENOCE kuwa
alitekwa na ikaonekena ni tukio la kupangwa.

Wassira alikuja Buhemba na ndege ndogo ya serikali na kutua katika mgodi
wa Buhemba akaamuru askari wamkamate ENOCE apelekwe mgodini azungumze
nae kweli baada ya nusu saa ENOCE alikuwa kwenye ndege akifanya
mazungumzo na Wassira baada ya masaa 2 ENOCE alishuka na kuondoka na
polisi ambapo alikuwa ameamriwa ndani ya wiki 1 awe amekabidhi dhahabu
yote na pesa iliyokuwa imebaki kwa KAMBARAGE, ENOCE akufanya hivyo kwa
hiyo baada ya wiki alikamatwa na kuswekwa ndani.

Amekaa magereza kwa zaidi ya miaka 2 mpaka ndugu zake walipochachamaa
kuwa wataweka mambo yote hadharani ilikuwa inaelekea uchaguzi wa 2010
ndipo akaachiwa na kesi kufutwa.

Cha
kujiuliza mwaka 2006 Wassira alitoa wapi zaidi ya sh bilioni 1 na
kumpatia mwanae tena mmoja, hatujui wengine walipewa kiasi gani, ilo ni
moja mengine yaja.
[/FONT]

Wasira Mpango mzima,nacho kiona hapo ni majungu tu,weka vielelezo....kama ss tunavyo weka.
 
Mkuu Mathewa, kwanza asante kuhusu bilioni moja cash, lets asume you are right, kwa kumbukumbu yangu by assumption, ile bundle ya milioni 10, uzito wake ni kilo moja, then then does it make sense kweli, huyo baba alimpa mwanae bulungutu la noti za kilo mia?!
Thanks.

Pasco
sio rahisi kubeba bilion moja cash mkuu.
 
Dah,natafakari ni kwa NINI haya yote yaje sasa??!!-Bongo-Politiki yataka Moyo hasaa.

Hujasoma mchezo tu mkuu? connect dot na mawe yaliyorushwa mfululizo humu majuzi utaelewa jinsi siasa za nchi hii zilipofikia ........ laiti IDs za kweli za watu zingekuwa zinaanikwa ....ingekuwa aibu sana ......
 
Mwaka 2006 Wasira akiwa waziri ama wa maji au wa kilimo alimpatia kijana wake anayeitwa KAMBARAGE zaidi ya sh bilioni 1 kwa ajili ya kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wa Buhemba.

fahamu kuwa pesa ya kununulia dhahabu maeneo ya machimbo haiwekwi benk kutokana na mazingira ya manununzi.

Cha kujiuliza mwaka 2006 Wassira alitoa wapi zaidi ya sh bilioni 1 na kumpatia mwanae tena mmoja, hatujui wengine walipewa kiasi gani, ilo ni moja mengine yaja.

sio rahisi kubeba bilion moja cash mkuu.

Mkuu Nchi Yangu, asante tena kwa taarifa hii, please get your facts right, is it bilioni moja cash?, uliihesabu?, aliibebaje?, au ilikuwa milioni 100 tuu wewe ukadhani ni zaidi ya bilioni !, jee unaijua hiyo cash zaidi ya bilioni aliibebaje?.

Naomba usilete asumptions hapa, hiyo 2006 transactions ya kufanywa kwa bilioni, ni transactions ya thahabu nyingi kiasi gani, kwa sababu by then carat moja ilikuwa Shilingi 5,000 tuu, hivyo hiyo bilioni moja ingetosha kununua carats 2,000!, hiyo carats 2000 ya dhahabu nayo ilibebwaje?!.

Thanks.

Pasco
 
10 x 10= 100,000 ni laki.
100,000 x 10=1,000,000
1,000,000 x 10=10,000,000, transaction za cash withdrawers kwenye banks, zinatolewa kwa bundles za million kumi kumi zimefungwa na kuwa sealed na muhuri.

Shilingi bilioni 1 ni hizo bundles za millioni 10 ziwe 1000!, amezibebaje?.

Hebu shuhudia bundle ya dola bilioni moja inafafanaje!, watu wengine humu kazi yao kusema tuu!.

Pasco

Pasco wa jf hayo mahesabu umechomekea mkuu....
Bundle ya milioni 10 ili kupata B 1 ni bundles 100 na siyo 1000 km ulivyoandika.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nchi Yangu, asante tena kwa taarifa hii, please get your facts right, is it bilioni moja cash?, uliihesabu?, aliibebaje?, au ilikuwa milioni 100 tuu wewe ukadhani ni zaidi ya bilioni !, jee unaijua hiyo cash zaidi ya bilioni aliibebaje?.

Naomba usilete asumptions hapa, hiyo 2006 transactions ya kufanywa kwa bilioni, ni transactions ya thahabu nyingi kiasi gani, kwa sababu by then carat moja ilikuwa Shilingi 5,000 tuu, hivyo hiyo bilioni moja ingetosha kununua carats 2,000!, hiyo carats 2000 ya dhahabu nayo ilibebwaje?!.

Thanks.

Pasco

Cha msingi ujumbe umefika,iwe cash au cheki,kwani mtu akiniwekea hela benki zinaitwaje? Cash au? The content matters,just read the story and capture the message,unataka kujenga picha kwamba alijitwika kichwani na akawa anatembea nazo kila pahala?that is a very archaic approach which doesnt take account the hussle life of a business person, The message is,jamaa alikuwa anagawia ndugu zake bilioni ili wanunue dhahabu
 
Hujasoma mchezo tu mkuu? connect dot na mawe yaliyorushwa mfululizo humu majuzi utaelewa jinsi siasa za nchi hii zilipofikia ........ laiti IDs za kweli za watu zingekuwa zinaanikwa ....ingekuwa aibu sana ......
Tangu nimefahamu uwezo wako leo umenifanya nitamani sana Mtazamo wako, umeniwahi tu kuandika jambo hili jukwaani.
Asilimia kubwa ya maneno yaliyoandikwa HAPA JUKWAANI ni UONGO lakini majina yanalandana, wanajaribu kuunganisha majina ya watu,miji na maeneo kutunga story kwani aim kubwa ni " Hakikisheni Wassira anachafuka"

Kwa Mtazamo wangu kama lilivyo jina lako, IDs nyingi hapa ni za watu walewale waliotunga huo uongo nyuma ya keyboad wanai-back-up.
Hii ni kwasababu tu huyu Mheshimiwa ameonyesha kukubalika na kusemekana ameanza harakati za hapa na pale za kuutaka "ukubwa"-Rejea Raia Mwema leo.
Amekuwa Waziri asiyejihusisha na biashara kwa muda mwingi na kwa asilimia kubwa hana biashara za kutiliwa mashaka au zinazoweza kugusika moja kwa moja.

Vita ya siasa ni maneno na skendo, wakati mwingine maneno hayo hata kama ni ya uongo ndiyo yanayofanya siasa inanoga.
Wachambuaji na wananchi Akili mkichwa kwasababu hao wanasiasa wanaishi miongoni mwetu, si tunawaona!!!!
 
Naomba usilete asumptions hapa, hiyo 2006 transactions ya kufanywa kwa bilioni, ni transactions ya thahabu nyingi kiasi gani, kwa sababu by then carat moja ilikuwa Shilingi 5,000 tuu, hivyo hiyo bilioni moja ingetosha kununua carats 2,000!, hiyo carats 2000 ya dhahabu nayo ilibebwaje?!.

Thanks.

Pasco
Naomba nikusahihishe tena mkuu Pasco wa jf dhahabu haipimwi kwa carat ,carat kwenye gold inatumiwa kumesure purity.

Like other precious metals, gold is measured by troy weight and by grams. When it is alloyed with other metals the term carat or karat is used to indicate the purity of gold present, with 24 carats being pure gold and lower ratings proportionally less. The purity of a gold bar or coin can also be expressed as a decimal figure ranging from 0 to 1, known as the millesimal fineness, such as 0.995 being very pure.
 
Last edited by a moderator:
Bwana Steven Masatu Wassira waziri katika serikali ya rais Kikwete anajinasibu kama mtu ambaye hana kashfa, nataka kumkumbusha baadhi ya mambo yake kwani nimesoma maojiano yake kwenye gazeti la dira ya mtanzania.

Mwaka 2006 Wasira akiwa waziri ama wa maji au wa kilimo alimpatia kijana wake anayeitwa KAMBARAGE zaidi ya sh bilioni 1 kwa ajili ya kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wa Buhemba.

Kijana akajitosa kwenye bihashara lakini akakutana na upinzani mkubwa kwa hiyo ikabidi atafute washirika ambao ni wazoefu na wazaliwa wa Buhemba akajiunga na kijana mmoja aitwae ENOCE KAREGO huyu ni mzaliwa wa Buhemba kwa waliokwishafika Buhemba huyu bwana ndie anayemiliki ukumbi mkubwa unaoitwa KAREGO upo nyuma ya kituo cha polisi Buhemba.

Biashara ilianza vizuri na wakawatikisa wenzao kwani KAMBARAGE alikuwa anapeleka dhahabu hiyo Marekani bei yao ilikuwa nzuri hivyo wakateka soko, kama una jamaa Buhemba ulizia, ilipofika mwaka 2007 mshirika wa mtoto wa Wassira akaingiwa na tamaa baada ya KAMBARAGE kutoka Marekani alikuja na kiasi kikubwa cha fedha na kumkabidhi bwana ENOCE fahamu kuwa pesa ya kununulia dhahabu maeneo ya machimbo haiwekwi benk kutokana na mazingira ya manununzi.

ENOCE akaweka mazingira ya kuwa ametekwa na majambazi maeneo ya Sabasaba alfajiri wakati akimpelekea KAMBARAGE dhahabu aliyokuwa amenunua, ikapigwa yowe eneo ilo na kuanza kufatila kama wanaweza kuwapata majambazi hao.

Katika kufatilia kuna kijana mmoja mzaliwa wa Tanga aliuawa kwani alikuwa mgeni eneo hilo alikuwa amekuja kumsalimia dada yake alieolewa hapo, kwa hiyo yowe ilipopigwa nae alitoka majira ya saa 11 alfajiri alipokutana na wanayowe katika maojiano hawakuelewana kwa hiyo alipigwa hadi kufa, alikuja kutambuliwa baadae na shemeji yake alipokuja kutazama maiti.

Alipopewa taarifa mtoto wa Wassira alikuja Buhemba ili kupata taarifa kamili, ENOCE alimueleza kuwa alfajiri ya siku ya tukio akiwa anaendesha gari lake kuelekea Bunda walitokea watu wenye bunduki na kupiga risasi kioo cha mbele hivyo gari lilikosa mwlekeo na kwenda nje ya barabara, ndipo alipovamiwa na kunyanganywa dhahabu yote aliyokuwa anampelekea, KAMBARAGE alimtaarifu baba yake ambaye aliwasiliana na polisi ili wachunguze suala ilo.Taarifa ya polisi ilipinga madai ya ENOCE kuwa alitekwa na ikaonekena ni tukio la kupangwa.

Wassira alikuja Buhemba na ndege ndogo ya serikali na kutua katika mgodi wa Buhemba akaamuru askari wamkamate ENOCE apelekwe mgodini azungumze nae kweli baada ya nusu saa ENOCE alikuwa kwenye ndege akifanya mazungumzo na Wassira baada ya masaa 2 ENOCE alishuka na kuondoka na polisi ambapo alikuwa ameamriwa ndani ya wiki 1 awe amekabidhi dhahabu yote na pesa iliyokuwa imebaki kwa KAMBARAGE, ENOCE akufanya hivyo kwa hiyo baada ya wiki alikamatwa na kuswekwa ndani.

Amekaa magereza kwa zaidi ya miaka 2 mpaka ndugu zake walipochachamaa kuwa wataweka mambo yote hadharani ilikuwa inaelekea uchaguzi wa 2010 ndipo akaachiwa na kesi kufutwa.

Cha kujiuliza mwaka 2006 Wassira alitoa wapi zaidi ya sh bilioni 1 na kumpatia mwanae tena mmoja, hatujui wengine walipewa kiasi gani, ilo ni moja mengine yaja.

nakupongeza sana kwa uchambuzi wako ila ulichosahau ni picha za muhusika na baadhi ya nyaraka za kesi hiyo. kwa Tanzania huyu jamaa bado no msafi ata kama utapandikiza chuki. zenda moja
 
Naomba nikusahihishe tena mkuu Pasco wa jf dhahabu haipimwi kwa carat ,carat kwenye gold inatumiwa kumesure purity.

Like other precious metals, gold is measured by troy weight and by grams. When it is alloyed with other metals the term carat or karat is used to indicate the purity of gold present, with 24 carats being pure gold and lower ratings proportionally less. The purity of a gold bar or coin can also be expressed as a decimal figure ranging from 0 to 1, known as the millesimal fineness, such as 0.995 being very pure.
Mkuu Asakuta Same, kwanza asante kwa kunisahihisha, I meant grams, kwa 2006, gram moja ilikuwa TZS 5000, hiyo bilioni 1, ilitosha kununua 1,000,000,000/5,000=200,000/1000, ilitosha kununua kil0 200 za dhahabu!, hizo kilo 200 nazo kuzibeba ni issue!, halafu akaporwa!.

Japo mimi sio mzuri kimahesabu, ila hizi hesabu za tuhuma za bilioni moja, bado hazijakaa vizuri!.

Thanks.

Pasco
 
kutumia ndege si shida Bali tunaitaji evidence.

sasa unataka ushahidi gani zaidi? wewe umeleta ushahidi gani, mimi naona katika political game ushahidi sio ishu na ndio maana mzee wa mvi alinyimwa hata nafasi ya kuulizwa kilichojiri kwenye richmond japo alikuwa mita chache toka ikulu na hata namba yake ya simu walikuwa nayo. Mzee malecela alimalizwa kwa kuambiwa ana mamilioni toka iran na kabadili dini,toka lini wanasiasa mnataka ushahidi? mbona zitto alimalizwa kwa kutumia fomula ya MM1,MM2, MM3. Hata UKAWA mbona nao wanashambuliwa na watu hawaombi ushahidi? mama Asha Bakari aliombwa ushahidi wakati anamshambulia Jussa? Hata wasira nae alimuomba nani ushahidi pale anaposhambulia UKAWA kwa hoja za uongo wa dhahiri? he is a politician,in politics watertight evidence is of less value otherwise hata wilaya ya bunda anayomalizia kuiongoza mwakani wakimtaka alete evidence ya utekelezaji wa ahadi zake ataficha uso wake kwa aibu
 
Wasira akijibu hii ajiandae na kujibu ufisadi alioufanya mfuko wa pembejeo mwaka 2008/2009.ntaileta.
Kambarage amekuwa akipewa pesa na baba yake kukodi wahuni na kuvamia mashamba ya watu maeneo ya Wazo DSM kawaulize baraza la ardhi wa kata ya Wazo wa mwaka 2011 jinsi alivyoshiriki kumdhulumu mashamba ya watu
 
Mkuu Asakuta Same, kwanza asante kwa kunisahihisha, I meant grams, kwa 2006, gram moja ilikuwa TZS 5000, hiyo bilioni 1, ilitosha kununua 1,000,000,000/5,000=200,000/1000, ilitosha kununua kil0 200 za dhahabu!, hizo kilo 200 nazo kuzibeba ni issue!, halafu akaporwa!.

Japo mimi sio mzuri kimahesabu, ila hizi hesabu za tuhuma za bilioni moja, bado hazijakaa vizuri!.

Thanks.

Pasco

mkuu,unaulizia masuala ya kilo moja ya pamba na ya mawe ipi nzito? au kwa wale wandengereko waliokuwa wanakataa upimaji wa bidhaa zao kwa kuwa jiwe la kilo mia lililopima mpunga wake ni dogo kuliko mpunga aliouza hivyo anadai amepunjwa, Toyota Landcruiser mkonga ina uwezo wa kubeba abiria wangapi watu wazima wenye kilo hamsini? inakuwaje unasema kubeba just 200 kilos ni ishu?
 
Huyu Mzee alishaacha kutelekeza familia na kukimbilia kwa Mjane wa Ndege?
 
Back
Top Bottom