iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,941
Huna jipya! Full umbea
kwa nini mkuu? kwani hiyo kesi si ipo na imekuwa sehemu ya mtaala wa mafunzo kwa wanafunzi wote wa nchi hii na nchi jirani? yaani kila mwaka maelfu ya wanafunzi wa somo la sheria waliomaliza digrii zao,cha kwanza kukijua kabla ya kumuona wasira uso kwa uso wanakutana na finding ya mahakama,he cannot control the damage which has spread and continues to spread in lecture theaters,be it SAUT,UDSM,TUMAINI,MZUMBE, RUAHA,the lecturers are singing his name negatively and issuing warning to students not to follow suit