Kwanza aliyeandika Hii ni moja ya administration wa jamii forum anayetumika na bwana Lowassa .... HUYO WASSIRA ni msafi sana hata mungu anamjua juu ya utumishiwake Kwa taifa hili uliotukuka. Angekuwa mchafu AU amefanya hivyo angekuwa amesha ondoka kawa tulipo wahokuwaona HAPO nyuma. Acheni nchi Hii tumpe MZALENDO aliye bakia ktk wagombea tunaowasikia wengine njaaa Tupu.
wassira mtu safe na pia anasifa zote ZA kuwa RAIS na mwenyekiti wa Ccm. WASSIRA anazijua siasa ZA Chama cha Mapinduzi na ZA NJE ya Ccm.
wassira Kati ya Vijana ambao Julius aliwategemea na kuwafunza Kazi na hasa moyo wa uzalendo