Steven Masatu Wassira unakumbuka huyu?

Steven Masatu Wassira unakumbuka huyu?

Mkuu Pasco wafanyabiashara wakubwa wa Gold huwa wanafanya biashara ya uchuuzi wa gold kwa kiwango kidogo sana.
Mara nyingi watu wenye mitaji mikubwa km hiyo hufungua matanuri yao wenyewe ya kuproduce gold kutoka kwny mchanga wake.
Uzuri wa tanuri kiuzalishaji unategemea na mtaji wako uliowekeza kwenye vifaa na ubora wake.
Ukifika maeneo ya hiyo migodi utajua naongelea nn.
Aksante sana.

Ukitaka kujua kuwa bilioni 1 huwa inapatikana eneo la wachimbaji wadogo nenda sehemu izo ndo utajua mwaka 2011 dhahabu ilitoka buhemba eneo ambalo kwa sasa linamilikiwa na stamiko kuna dhahabu ilinunuliwa kwa milioni 400 na ili lipwa cash sehemu iyo inajulukana kama namba 1 mlanguzi mkuu wa geita wakati huo namkumbuka jina 1 SELEMANI alinunua na bado alibakiwa na pesa nyingi tu. niwafahamishe tu kuwa biashara ya dhahabu sehemu kubwa hawalipi kodi so muda mwingi pesa inakuwa mikononi, kwa wale wanaojua machimbo ya BARAKA Patner wa RIDHWAN JK wanaweza kushuhudia namna machimbo hayo yalivyotoa dhahabu mwaka jana na pesa iliyokuwa ikizunguka kwa siku nimshauri tu PASCO naamini ni mtafiti sana, sasa fatilia kuhusu mzunguko wa pesa kwenye machimbo na hasa pale dhahabu inapokuwa imefoka kwa wingi ndio utanielewa vizuri
 
Mkuu Nchi Yangu, asante tena kwa taarifa hii, please get your facts right, is it bilioni moja cash?, uliihesabu?, aliibebaje?, au ilikuwa milioni 100 tuu wewe ukadhani ni zaidi ya bilioni !, jee unaijua hiyo cash zaidi ya bilioni aliibebaje?.

Naomba usilete asumptions hapa, hiyo 2006 transactions ya kufanywa kwa bilioni, ni transactions ya thahabu nyingi kiasi gani, kwa sababu by then carat moja ilikuwa Shilingi 5,000 tuu, hivyo hiyo bilioni moja ingetosha kununua carats 2,000!, hiyo carats 2000 ya dhahabu nayo ilibebwaje?!.

Thanks.

Pasco

Mkuu PASCO mwaka 2006/2007 BEI YA DHAHABU ilikuwa kati ya milioni 25-30 kwa kilo eneo la buhemba iyo dhahabu unayoisema ya bilion 1 ilikuwa haizidi kilo 35 sasa utasemaje ilibebwaje wakati makota wa dhahabu wana ma VX YA KUTOSHA
 
Pasco wa jf hayo mahesabu umechomekea mkuu....
Bundle ya milioni 10 ili kupata B 1 ni bundles 100 na siyo 1000 km ulivyoandika.

Siamini kama PASCO amewahi kwenda maeneo ya wachimbaji wadogo, namuomba siku akisikia dhahabu imefoka sehemu yoyote ile aende ashuhudie namna watoto wadogo wanavyocheza na pesa yaani makota wakubwa wakiingia wachuuzi wadogo wanajiunga kukabiliana nao BILIONI 1 SITE za wachimbaji hasa buhemba 2005-2007 ilikuwa unajaza mzigo kwa siku 4 tu pole kama hamfamu ilo Niwakumbushe tu yule mfanyabiashara wa GEITA aliye vamiwa na polisi tena kwa mabomu nyumbani kwake hadi kufa mnakumbuka kiasi alichokuwa nacho? usilolijua wewe wenzio wanalijua
 
Hisia zako binafsi Mkuu ole sendeka ni nano kwenye Nchi hii? Ni nani kwenye chama langu???!!!

Siku nyingine ujifunze kusoma mabandiko vizuri sio kurukia kujibu kama uko maliwatoni!!! Mimi bandiko langu limesema WAKINA OLE SENDEKA na sio OLE SENDEKA; kama hujui tofauti ya hayo niliyokufafanulia ni umburula wako!
 
Pole sana rudi LA pili mkuu
 
Ukitaka kujua kuwa bilioni 1 huwa inapatikana eneo la wachimbaji wadogo nenda sehemu izo ndo utajua mwaka 2011 dhahabu ilitoka buhemba eneo ambalo kwa sasa linamilikiwa na stamiko kuna dhahabu ilinunuliwa kwa milioni 400 na ili lipwa cash sehemu iyo inajulukana kama namba 1 mlanguzi mkuu wa geita wakati huo namkumbuka jina 1 SELEMANI alinunua na bado alibakiwa na pesa nyingi tu. niwafahamishe tu kuwa biashara ya dhahabu sehemu kubwa hawalipi kodi so muda mwingi pesa inakuwa mikononi, kwa wale wanaojua machimbo ya BARAKA Patner wa RIDHWAN JK wanaweza kushuhudia namna machimbo hayo yalivyotoa dhahabu mwaka jana na pesa iliyokuwa ikizunguka kwa siku nimshauri tu PASCO naamini ni mtafiti sana, sasa fatilia kuhusu mzunguko wa pesa kwenye machimbo na hasa pale dhahabu inapokuwa imefoka kwa wingi ndio utanielewa vizuri

Baraka alishakuwa mbali siku nyingi ,Ridhiwani ameamua tu kutembelea nyota yake tu....
Mwaka 2012 nilikuwa hapo geita huyo baraka alikuwa na billion 19 bank ,tena kwa uchache hapo.
 
Mkuu Asakuta Same, kwanza asante kwa kunisahihisha, I meant grams, kwa 2006, gram moja ilikuwa TZS 5000, hiyo bilioni 1, ilitosha kununua 1,000,000,000/5,000=200,000/1000, ilitosha kununua kil0 200 za dhahabu!, hizo kilo 200 nazo kuzibeba ni issue!, halafu akaporwa!.

Japo mimi sio mzuri kimahesabu, ila hizi hesabu za tuhuma za bilioni moja, bado hazijakaa vizuri!.

Thanks.

Pasco
Pasco nakushauri siku moja tembelea eneo jipya la dhahabu ikivumbuliwa utaamini maneno ya mtoa mada.
 
Mkuu Pasco wafanyabiashara wakubwa wa Gold huwa wanafanya biashara ya uchuuzi wa gold kwa kiwango kidogo sana.
Mara nyingi watu wenye mitaji mikubwa km hiyo hufungua matanuri yao wenyewe ya kuproduce gold kutoka kwny mchanga wake.
Uzuri wa tanuri kiuzalishaji unategemea na mtaji wako uliowekeza kwenye vifaa na ubora wake.
Ukifika maeneo ya hiyo migodi utajua naongelea nn.
Aksante sana.

kuna tofauti kubwa kati ya matanuru (LEACHING PLANT) unayoyaongelea na ununuzi wa dhahabu dhahabu ikifoka hakuna anaekumbuka cha plant, wote ambao siku zote wanafanya ununuzi ukimbilia huko kwani kuna faida ya haraka kuna maeneo ambayo dhahabu yake haiachi kitu kwenye mchanga VIKORE au ikibaki ni kidogo sana, pia si kweli kuwa walanguzi wa dhahabu wanafanya kwa kiasi au mtji mdogo iyo haipo BUHEMBA 2005-2007 KULIKUWA NA MZUNGUKO WA ZAIDI YA MILIONI 500 kwa siku
 
Ukitaka watu wajue ulikuwa unafanya nn na madudu yako yote jiingize kwenye siasa,yaani utavuliwa nguo kweupeee
 
Pasco nakushauri siku moja tembelea eneo jipya la dhahabu ikivumbuliwa utaamini maneno ya mtoa mada.

kweli kaka pia PASCO atakuwa anachanganya kidogo hesabu zake, mwaka 2005-2008 dhahabu ilikuwa milioni 25-30 kwa kilo kwa eneo la buhemba kwaiyo BILIONI 1 HAIZIDI KILO 35 ulizia kokote, hata sasa dhahabu ni kati ya milioni 50- 70 sasa amepata wapi izo kilo 200?
 
kazi sana yaani habari ulete wewe halafu unatuambia tupande gari tena tukaitafute hiyo habari,kwa hiyo tukifika sabasaba tuulizie tu kifo cha huyo kijana kutoka tanga?hana jina? kweli mpaka 2015 tutaona virojaaaaa vingi

huwezi elewa hata ukielewa bado utatafuta sababu chagua 1 kati ya haya uipuuze au uiangalie tu USHAIDI TANZANIA NI WA AJABU SLAA ALITOA USHAIDI WA EPA LAKINI SITA ALIITA NI MAKARATASI YA KUOKOTA LEO WENGINE WAKO MAHAKAMANI KAFULILA AKATOA WAKASEMA KARATASI ZA KUFUNGIA MAANDAZI LEO HII RIPOTI ILIYOKUWA IPELKWE BUNGENI INATANGATANGA BARABARANI nchi yangu TZ!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Lisemwalo lipo na linamkera mleta mada ambaye naona sio mtaalamu sana katika ufuatiliaji. Ripoti hii itakuwa ipo ila hakuweza kupata ushahidi wa kutosha kutuaminisha kama ni kweli yalitokea. Hiyo bilioni sidhani kama alipewa kwa mara moja akaondoka nazo kwenda Musoma. Atakuwa alipewa kwa mafungu. Na si ajabu hiyo biashara haikuwa ya Wassira peke yake!

KAKA huyo niliye mtaja aliwekwa ndani zaidi ya mwaka na aliachiwa huru baadae baada ya habari kuanza kusambaa HII isue c msingizii ntajaribu kufatilia case namba cku nikiwa maeneo ya buhemba ama musoma ntawaletea hapa.
 
Story yote ukiisoma ubongo unatafsiri kuwa ni ya kweli isipokuwa tu ushahidi wa pesa zaidi ya Bilioni moja inakuwa ni shiiiida. Yawezekana kuwa ilikuwa milioni 100 au 200 au 500, ni Wasira na mwanawe tu wanaofahamu. Ukiibiwa wallet kwenye daladala na ndani yake kulikuwa na elfu 2000 ukiulizwa na watu wallet ilikuwa na shilingi ngapi, kwa personality yako ilivyo waweza kudanganya kuwa wallet ilikuwa na laki moja au mwizi wako akikamatwa utapenda kuongeza pesa uliyo ibiwa pengine ili kumkomoa mwizi wako kwani mahakamani ni wewe pekee ambaye atakuwa shahidi wa kilichokuwemo ndani ya wallet.

Napata shida namna ya kupata ushahidi wa zaidi ya shilingi bilioni moja aliyopewa mtoto, pengine mleta thread atusaidie though mimi si mtetezi wa Wasira, najaribu kudodosa the material facts ili kuondoa mashaka.

biashara ya dhahabu sehemu ya machimbo huwa aina siri ilo la kwanza lazima ufahmu maeneo hayo huwa lazima ujulikane kuwa unapesa ya kutosha ndio uweze kupata mzigo hakuna mchimbaji atakae toka duarani atake kuuza dhahabu yake umueleze naenda kufata hela bank, ili ununue lazima pesa iwepo na ni cash wachimbaji hawataki story hawa jamaa walipoanza biashara waliteka soko kwa bei nzuri na walikuwa na uwezo wakununua dhahabu ya kiasi chochote mpaka ikapelekea walanguzi waliokuwa wanapeleka mwanza kushindwa na kuanza kuwauzia wao ulizia buhemba ya enzi izo utaelewa. machimboni pesa ni mkononi
 
Tangu nimefahamu uwezo wako leo umenifanya nitamani sana Mtazamo wako, umeniwahi tu kuandika jambo hili jukwaani.
Asilimia kubwa ya maneno yaliyoandikwa HAPA JUKWAANI ni UONGO lakini majina yanalandana, wanajaribu kuunganisha majina ya watu,miji na maeneo kutunga story kwani aim kubwa ni " Hakikisheni Wassira anachafuka"

Kwa Mtazamo wangu kama lilivyo jina lako, IDs nyingi hapa ni za watu walewale waliotunga huo uongo nyuma ya keyboad wanai-back-up.
Hii ni kwasababu tu huyu Mheshimiwa ameonyesha kukubalika na kusemekana ameanza harakati za hapa na pale za kuutaka "ukubwa"-Rejea Raia Mwema leo.
Amekuwa Waziri asiyejihusisha na biashara kwa muda mwingi na kwa asilimia kubwa hana biashara za kutiliwa mashaka au zinazoweza kugusika moja kwa moja.

Vita ya siasa ni maneno na skendo, wakati mwingine maneno hayo hata kama ni ya uongo ndiyo yanayofanya siasa inanoga.
Wachambuaji na wananchi Akili mkichwa kwasababu hao wanasiasa wanaishi miongoni mwetu, si tunawaona!!!!

hujui unalolisema wasira biashara zake zinasimamiwa na mtoto wa dada yake anaitwa masatu kwa sasa wana mradi wa maji shinyanga,kama hujui kitu kaa kimya kuna isue ya pembejeo tutawaletea hapa acha kupotosha WASIRA HANA USAFI HUO
 
nakupongeza sana kwa uchambuzi wako ila ulichosahau ni picha za muhusika na baadhi ya nyaraka za kesi hiyo. kwa Tanzania huyu jamaa bado no msafi ata kama utapandikiza chuki. zenda moja

Sina chuki na wasira leo,kesho wala kesho kutwanasema ninachokijua na kukifahamu yapo makubwa zaidi ya haya subiri, unawajua WASAFI
 
hujui unalolisema wasira biashara zake zinasimamiwa na mtoto wa dada yake anaitwa masatu kwa sasa wana mradi wa maji shinyanga,kama hujui kitu kaa kimya kuna isue ya pembejeo tutawaletea hapa acha kupotosha WASIRA HANA USAFI HUO

Mkuu,huyu Pawaga chuki na WA TANGA wanasali ili usimwage data, hebu jipange utuwekee hii kitu,mlioko shinyanga kwenye miradi ya maji tumwagieni hii mambo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,huyu Pawaga chuki na WA TANGA wanasali ili usimwage data, hebu jipange utuwekee hii kitu,mlioko shinyanga kwenye miradi ya maji tumwagieni hii mambo

Tulia kaka mambo yana kuja ila nimepunguza spidi kwa kuwa baada ya hii taarifa hali si shwari mzee ana haha kujua hii taarifa imeibukaje na ni ya kitambo ninacho subiri akipiga simu tu kwa ENOCE yeye au KAMBARAGE nitawanikia hapa, kuna dogo tulikuwa nae buhemba yuko site huko ngoja nimwambie aandae mambo, ila fahamu kuna taharuki MZEE HAJAZOEA KUSIKIA TAARFA ZINAZOUMIZA, PRESSURE hawa watetezi wa humu LAITI WANGEJUA?! ..................
 
Back
Top Bottom