Steven Masatu Wassira unakumbuka huyu?

Steven Masatu Wassira unakumbuka huyu?

Pasco mwaka 2006 huo!
Mkuu Mani, asante kuzungumzia hiyo 1 B, ya 2006!, kiukweli mleta mada hana hata uhakika huyo aliyepewa pesa was 1.B in cash!, kwa noti ya 2006, I B. in cash amezibebaje?!, watu watunge maungo humu halafu watu wanachangia tuu!.

Elfu 10, in a noti 1 ya elfu kumi kumi, then imagine cash noti za 1 B ni ngapi?.
10 x 10= 100,000 ni laki.
100,000 x 10=1,000,000
1,000,000 x 10=10,000,000, transaction za cash withdrawers kwenye banks, zinatolewa kwa bundles za million kumi kumi zimefungwa na kuwa sealed na muhuri.

Shilingi bilioni 1 ni hizo bundles za millioni 10 ziwe 1000!, amezibebaje?.

Hebu shuhudia bundle ya dola bilioni moja inafafanaje!, watu wengine humu kazi yao kusema tuu!.

Pasco
 
Attachments

  • Unknown.jpeg
    Unknown.jpeg
    11.5 KB · Views: 291
Ni ngumu mno kuwa msafi ndani ya CCM, ni ngumu sanaaaaa!!!
 
fikiria alitumia ndege ya serikali kwenye mambo yake binafsi, akatua kwenye mgodi ambao tunaambiwa hawamjui mwenyewe ni wangapi wanaweza kutua na ndege zao mgodini?[/QUOT
me nikisema we ni jambazi sugu utabisha? Watanzania tujifunze kuandika/kuongea vitu kwa evidence...weka nyalaka,kama umekosa picha, weka reference case..etc usiandike tuhuma nzito kama hizi as if unaandika mashairi
 
unapenda kusikia habari nzuri tu, panda gari nenda sabasaba ulizia kuhusu ilo tukio na kifo cha huyo kijana kutoka tanga, mbele kidogo utafika buhemba ulizia kwa karego tafuta iyo habari ukienda mbele kidogo kuna kijiji kinaitwa magunga uko ndo wachimbaji na walanguzi waliopinga kutekwa kwa bwana ENOCE wanapatikana ulizia utapata kila kitu, wakati bwana wasira anakuja mgodini mi nilikuwa mfanyakazi wa BGM

kazi sana yaani habari ulete wewe halafu unatuambia tupande gari tena tukaitafute hiyo habari,kwa hiyo tukifika sabasaba tuulizie tu kifo cha huyo kijana kutoka tanga?hana jina? kweli mpaka 2015 tutaona virojaaaaa vingi
 
Lisemwalo lipo na linamkera mleta mada ambaye naona sio mtaalamu sana katika ufuatiliaji. Ripoti hii itakuwa ipo ila hakuweza kupata ushahidi wa kutosha kutuaminisha kama ni kweli yalitokea. Hiyo bilioni sidhani kama alipewa kwa mara moja akaondoka nazo kwenda Musoma. Atakuwa alipewa kwa mafungu. Na si ajabu hiyo biashara haikuwa ya Wassira peke yake!
 
Mkuu Mani, asante kuzungumzia hiyo 1 B, ya 2006!, kiukweli mleta mada hana hata uhakika huyo aliyepewa pesa was 1.B in cash!, kwa noti ya 2006, I B. in cash amezibebaje?!, watu watunge maungo humu halafu watu wanachangia tuu!.

Elfu 10, in a noti 1 ya elfu kumi kumi, then imagine cash noti za 1 B ni ngapi?.
10 x 10= 100,000 ni laki.
100,000 x 10=1,000,000
1,000,000 x 10=10,000,000, transaction za cash withdrawers kwenye banks, zinatolewa kwa bundles za million kumi kumi zimefungwa na kuwa sealed na muhuri.

Shilingi bilioni 1 ni hizo bundles za millioni 10 ziwe 1000!, amezibebaje?.

Hebu shuhudia bundle ya dola bilioni moja inafafanaje!, watu wengine humu kazi yao kusema tuu!.

Pasco

Aaaaggghhhhh!! Hizo ndizo unasema ni pesa kidogo kumilikiwa na wasira,PICHA UNAYONIPA BAADA YA KUIFUNGUA ATTACHMENT ni kwamba wasira ana pesa ya kujaa chumba kizima au hata nyumba mbili zenye vyumba vitano,asante kwa ufafanuzi mzuri wenye kielelezo,SASA KILA MTU ATAJUA WASIRA NI TAJIRI MNO MNO
 
Wewe Pasco umepandwa na wazimu kichwani hadi kuiita Bilion moja ni hela ya kawaida?

Billion 1 ni sawa na karibia Milion 1 US $ na kwa takwimu zao wenyewe USA ni chini ya 1% ya Wamarekani wote Taifa lenye nguvu zaidi ki uchumi duniani wenye Bilion 1 ya kitz bank!!

Lkn leo hii kapuku mwenzangu huyu anadiriki kuiita tsh Bilion 1 hela ya kawaida!Pasco kapimwe akili

Kwi! Kwi! Kwiiii!!!
 
Last edited by a moderator:
Dah,natafakari ni kwa NINI haya yote yaje sasa??!!-Bongo-Politiki yataka Moyo hasaa.

amejinadi mwenyewe kwamba ni msafi , sasa wadau wamefungua kontena lake la uchafu halafu wametoa kiboksi kimoja tu , tuendelee kusubiri maboksi mengine , hakuna msafi ccm , hata wale wajumbe wa mashina wana kashfa ya kununua shahada za wapiga kura !
 
Story yote ukiisoma ubongo unatafsiri kuwa ni ya kweli isipokuwa tu ushahidi wa pesa zaidi ya Bilioni moja inakuwa ni shiiiida. Yawezekana kuwa ilikuwa milioni 100 au 200 au 500, ni Wasira na mwanawe tu wanaofahamu. Ukiibiwa wallet kwenye daladala na ndani yake kulikuwa na elfu 2000 ukiulizwa na watu wallet ilikuwa na shilingi ngapi, kwa personality yako ilivyo waweza kudanganya kuwa wallet ilikuwa na laki moja au mwizi wako akikamatwa utapenda kuongeza pesa uliyo ibiwa pengine ili kumkomoa mwizi wako kwani mahakamani ni wewe pekee ambaye atakuwa shahidi wa kilichokuwemo ndani ya wallet.

Napata shida namna ya kupata ushahidi wa zaidi ya shilingi bilioni moja aliyopewa mtoto, pengine mleta thread atusaidie though mimi si mtetezi wa Wasira, najaribu kudodosa the material facts ili kuondoa mashaka.
 
huyu jamaa amenifurahisha sana , kwamba 1bil ni pesa ya kawaida sana !

Tumvumilie tu ndugu yetu Pasco
Wakati wa kampeni umeisha anza ndiyo muda wao waandishi wetu hawa kukabidhiwa bahasha za kaki ili waandike vizuri na kuwapamba bila aibu!

Hapa logic ni kuwa Wassira anasafishwa kwa vyovyote vile
 
Last edited by a moderator:
Story yote ukiisoma ubongo unatafsiri kuwa ni ya kweli isipokuwa tu ushahidi wa pesa zaidi ya Bilioni moja inakuwa ni shiiiida. Yawezekana kuwa ilikuwa milioni 100 au 200 au 500, ni Wasira na mwanawe tu wanaofahamu. Ukiibiwa wallet kwenye daladala na ndani yake kulikuwa na elfu 2000 ukiulizwa na watu wallet ilikuwa na shilingi ngapi, kwa personality yako ilivyo waweza kudanganya kuwa wallet ilikuwa na laki moja au mwizi wako akikamatwa utapenda kuongeza pesa uliyo ibiwa pengine ili kumkomoa mwizi wako kwani mahakamani ni wewe pekee ambaye atakuwa shahidi wa kilichokuwemo ndani ya wallet.

Napata shida namna ya kupata ushahidi wa zaidi ya shilingi bilioni moja aliyopewa mtoto, pengine mleta thread atusaidie though mimi si mtetezi wa Wasira, najaribu kudodosa the material facts ili kuondoa mashaka.
Mkuu Ngetele, asante sana kwa hili!, kiukweli watu wenye uwezo wa kufanya logical thinking humu jukwaani ni wachache sana!, wengi wakilishwa tuu chochote kwenye thread, kazi yao ni kumeza tuu mauchafu hivyo hivyo yalivyo kwa kadri yalivyopakuliwa!. Mtu ampe mtoto wake 1 B in cash!, na huyo mtoto aibebe hiyo cashi ya 1 B atembee nayo!, doesn't make sense!.

Tuna mijitu mijinga ajabu humu jf!.

Thanks.

Pasco
 
Mkuu Nchi Yangu, asante kwa taarifa hii, TZS. 1B, ni hela ya kawaida sana kwa baadhi ya watu!, as long as iko bank!, haswa bearing in mind alizipataje!, "the end always justifies the means!", kuna baadhi yetu wana hatred kwa kila mwenye hela!, ushauri wange kwa ma rich haters, ni just "get rich! or die trying!",

Huwezi kumwita kila mwenye utajiri fisadi, kama hujui his source of utajiri!, labda kama una jingine!.
Ila hiyo 1B inapoelezwa imetolewa cash na mtoto kapewa!, leaves more questions than answers!.

Pasco.

afadhali sasa baada ya kufanya editing nakuelewa. ila pale mwanzo, dah!
 
Bado tunasubiri update wandugu,hili ni suala nyeti,yaani mpaka natetemeka kwa jinsi nilivyo na shauku
 
Kwa sasa msimu wa mavuno ndiyo huo unakaribia, na usipopalilia mapema utafuna mabua.
 
Mkuu Mani, asante kuzungumzia hiyo 1 B, ya 2006!, kiukweli mleta mada hana hata uhakika huyo aliyepewa pesa was 1.B in cash!, kwa noti ya 2006, I B. in cash amezibebaje?!, watu watunge maungo humu halafu watu wanachangia tuu!.

Elfu 10, in a noti 1 ya elfu kumi kumi, then imagine cash noti za 1 B ni ngapi?.
10 x 10= 100,000 ni laki.
100,000 x 10=1,000,000
1,000,000 x 10=10,000,000, transaction za cash withdrawers kwenye banks, zinatolewa kwa bundles za million kumi kumi zimefungwa na kuwa sealed na muhuri.

Shilingi bilioni 1 ni hizo bundles za millioni 10 ziwe 1000!, amezibebaje?.

Hebu shuhudia bundle ya dola bilioni moja inafafanaje!, watu wengine humu kazi yao kusema tuu!.

Pasco

mkuu pasco 1 bilion. Ni milion kumi 100 sio 1000.
 
Mada inazidi kufunguka, wadau mtupe hiyo ya maji,pembejeo,na kuhusu wasira kumiliki virian hivyo kushusha bei ya pamba ili wakulima wapate kiduchu wafanyabiashara waneemeke,msisahau na la kuwauzia wakulima mbegu za pamba zisizoota,tunasubiri data wakuu,NA KUNA ILE TETESI YA MGOMBEA WA CHADEMA 2010 pale bunda,mwenye details atupe humu

Acha umbea nyie ndo matapeli Wa siasa f****k
 
Back
Top Bottom