Steven Masatu Wassira unakumbuka huyu?

Steven Masatu Wassira unakumbuka huyu?

NCHI YANGU TZ

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2014
Posts
663
Reaction score
233
Bwana Steven Masatu Wassira waziri katika serikali ya rais Kikwete anajinasibu kama mtu ambaye hana kashfa, nataka kumkumbusha baadhi ya mambo yake kwani nimesoma maojiano yake kwenye gazeti la dira ya mtanzania.

Mwaka 2006 Wasira akiwa waziri ama wa maji au wa kilimo alimpatia kijana wake anayeitwa KAMBARAGE zaidi ya sh bilioni 1 kwa ajili ya kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wa Buhemba.

Kijana akajitosa kwenye bihashara lakini akakutana na upinzani mkubwa kwa hiyo ikabidi atafute washirika ambao ni wazoefu na wazaliwa wa Buhemba akajiunga na kijana mmoja aitwae ENOCE KAREGO huyu ni mzaliwa wa Buhemba kwa waliokwishafika Buhemba huyu bwana ndie anayemiliki ukumbi mkubwa unaoitwa KAREGO upo nyuma ya kituo cha polisi Buhemba.

Biashara ilianza vizuri na wakawatikisa wenzao kwani KAMBARAGE alikuwa anapeleka dhahabu hiyo Marekani bei yao ilikuwa nzuri hivyo wakateka soko, kama una jamaa Buhemba ulizia, ilipofika mwaka 2007 mshirika wa mtoto wa Wassira akaingiwa na tamaa baada ya KAMBARAGE kutoka Marekani alikuja na kiasi kikubwa cha fedha na kumkabidhi bwana ENOCE fahamu kuwa pesa ya kununulia dhahabu maeneo ya machimbo haiwekwi benk kutokana na mazingira ya manununzi.

ENOCE akaweka mazingira ya kuwa ametekwa na majambazi maeneo ya Sabasaba alfajiri wakati akimpelekea KAMBARAGE dhahabu aliyokuwa amenunua, ikapigwa yowe eneo ilo na kuanza kufatila kama wanaweza kuwapata majambazi hao.

Katika kufatilia kuna kijana mmoja mzaliwa wa Tanga aliuawa kwani alikuwa mgeni eneo hilo alikuwa amekuja kumsalimia dada yake alieolewa hapo, kwa hiyo yowe ilipopigwa nae alitoka majira ya saa 11 alfajiri alipokutana na wanayowe katika maojiano hawakuelewana kwa hiyo alipigwa hadi kufa, alikuja kutambuliwa baadae na shemeji yake alipokuja kutazama maiti.

Alipopewa taarifa mtoto wa Wassira alikuja Buhemba ili kupata taarifa kamili, ENOCE alimueleza kuwa alfajiri ya siku ya tukio akiwa anaendesha gari lake kuelekea Bunda walitokea watu wenye bunduki na kupiga risasi kioo cha mbele hivyo gari lilikosa mwlekeo na kwenda nje ya barabara, ndipo alipovamiwa na kunyanganywa dhahabu yote aliyokuwa anampelekea, KAMBARAGE alimtaarifu baba yake ambaye aliwasiliana na polisi ili wachunguze suala ilo.Taarifa ya polisi ilipinga madai ya ENOCE kuwa alitekwa na ikaonekena ni tukio la kupangwa.

Wassira alikuja Buhemba na ndege ndogo ya serikali na kutua katika mgodi wa Buhemba akaamuru askari wamkamate ENOCE apelekwe mgodini azungumze nae kweli baada ya nusu saa ENOCE alikuwa kwenye ndege akifanya mazungumzo na Wassira baada ya masaa 2 ENOCE alishuka na kuondoka na polisi ambapo alikuwa ameamriwa ndani ya wiki 1 awe amekabidhi dhahabu yote na pesa iliyokuwa imebaki kwa KAMBARAGE, ENOCE akufanya hivyo kwa hiyo baada ya wiki alikamatwa na kuswekwa ndani.

Amekaa magereza kwa zaidi ya miaka 2 mpaka ndugu zake walipochachamaa kuwa wataweka mambo yote hadharani ilikuwa inaelekea uchaguzi wa 2010 ndipo akaachiwa na kesi kufutwa.

Cha kujiuliza mwaka 2006 Wassira alitoa wapi zaidi ya sh bilioni 1 na kumpatia mwanae tena mmoja, hatujui wengine walipewa kiasi gani, ilo ni moja mengine yaja.
 
To a evidence acha porojo bana
wewe unaye pinga ndio ungekanusha kwamba si kweli nenda polisi msoma ulizia isue ya karego utaipata, bado isue ya maji bunda nitaileta, kuna isue ya pembejeo akiwa waziri wa kilimo alimpa mtoto wa dada yake tenda ya kusuply pembejeo kanda za ziwa. stay tuned mimi ni mwana CCM zaidi yako, TIJITAMBUE tunaibiwa
 
fikiria alitumia ndege ya serikali kwenye mambo yake binafsi, akatua kwenye mgodi ambao tunaambiwa hawamjui mwenyewe ni wangapi wanaweza kutua na ndege zao mgodini?
 
unapenda kusikia habari nzuri tu, panda gari nenda sabasaba ulizia kuhusu ilo tukio na kifo cha huyo kijana kutoka tanga, mbele kidogo utafika buhemba ulizia kwa karego tafuta iyo habari ukienda mbele kidogo kuna kijiji kinaitwa magunga uko ndo wachimbaji na walanguzi waliopinga kutekwa kwa bwana ENOCE wanapatikana ulizia utapata kila kitu, wakati bwana wasira anakuja mgodini mi nilikuwa mfanyakazi wa BGM
 
Server za jf zijiandae kweli kweli maana yataandikwa mengi humu mpaka kufika huo uchaguzi mkuu.
 
Bwana Steven Masatu Wassira waziri katika serikali ya rais Kikwete anajinasibu kama mtu ambaye hana kashfa, nataka kumkumbusha baadhi ya mambo yake kwani nimesoma maojiano yake kwenye gazeti la dira ya mtanzania.

Mwaka 2006 Wasira akiwa waziri ama wa maji au wa kilimo alimpatia kijana wake anayeitwa KAMBARAGE zaidi ya sh bilioni 1 kwa ajili ya kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wa Buhemba.

Kijana akajitosa kwenye bihashara lakini akakutana na upinzani mkubwa kwa hiyo ikabidi atafute washirika ambao ni wazoefu na wazaliwa wa Buhemba akajiunga na kijana mmoja aitwae ENOCE KAREGO huyu ni mzaliwa wa Buhemba kwa waliokwishafika Buhemba huyu bwana ndie anayemiliki ukumbi mkubwa unaoitwa KAREGO upo nyuma ya kituo cha polisi Buhemba.

Biashara ilianza vizuri na wakawatikisa wenzao kwani KAMBARAGE alikuwa anapeleka dhahabu hiyo Marekani bei yao ilikuwa nzuri hivyo wakateka soko, kama una jamaa Buhemba ulizia, ilipofika mwaka 2007 mshirika wa mtoto wa Wassira akaingiwa na tamaa baada ya KAMBARAGE kutoka Marekani alikuja na kiasi kikubwa cha fedha na kumkabidhi bwana ENOCE fahamu kuwa pesa ya kununulia dhahabu maeneo ya machimbo haiwekwi benk kutokana na mazingira ya manununzi.

ENOCE akaweka mazingira ya kuwa ametekwa na majambazi maeneo ya Sabasaba alfajiri wakati akimpelekea KAMBARAGE dhahabu aliyokuwa amenunua, ikapigwa yowe eneo ilo na kuanza kufatila kama wanaweza kuwapata majambazi hao.

Katika kufatilia kuna kijana mmoja mzaliwa wa Tanga aliuawa kwani alikuwa mgeni eneo hilo alikuwa amekuja kumsalimia dada yake alieolewa hapo, kwa hiyo yowe ilipopigwa nae alitoka majira ya saa 11 alfajiri alipokutana na wanayowe katika maojiano hawakuelewana kwa hiyo alipigwa hadi kufa, alikuja kutambuliwa baadae na shemeji yake alipokuja kutazama maiti.

Alipopewa taarifa mtoto wa Wassira alikuja Buhemba ili kupata taarifa kamili, ENOCE alimueleza kuwa alfajiri ya siku ya tukio akiwa anaendesha gari lake kuelekea Bunda walitokea watu wenye bunduki na kupiga risasi kioo cha mbele hivyo gari lilikosa mwlekeo na kwenda nje ya barabara, ndipo alipovamiwa na kunyanganywa dhahabu yote aliyokuwa anampelekea, KAMBARAGE alimtaarifu baba yake ambaye aliwasiliana na polisi ili wachunguze suala ilo.Taarifa ya polisi ilipinga madai ya ENOCE kuwa alitekwa na ikaonekena ni tukio la kupangwa.

Wassira alikuja Buhemba na ndege ndogo ya serikali na kutua katika mgodi wa Buhemba akaamuru askari wamkamate ENOCE apelekwe mgodini azungumze nae kweli baada ya nusu saa ENOCE alikuwa kwenye ndege akifanya mazungumzo na Wassira baada ya masaa 2 ENOCE alishuka na kuondoka na polisi ambapo alikuwa ameamriwa ndani ya wiki 1 awe amekabidhi dhahabu yote na pesa iliyokuwa imebaki kwa KAMBARAGE, ENOCE akufanya hivyo kwa hiyo baada ya wiki alikamatwa na kuswekwa ndani.

Amekaa magereza kwa zaidi ya miaka 2 mpaka ndugu zake walipochachamaa kuwa wataweka mambo yote hadharani ilikuwa inaelekea uchaguzi wa 2010 ndipo akaachiwa na kesi kufutwa.

Cha kujiuliza mwaka 2006 Wassira alitoa wapi zaidi ya sh bilioni 1 na kumpatia mwanae tena mmoja, hatujui wengine walipewa kiasi gani, ilo ni moja mengine yaja.

Hii ni habari ya kutunga majirani wa wasira wanajua maisha aliyokuwanayo huyu Mzee kipindi chote cha mkapa baada ya kwenda upinzani
 
umeelezw mpaka kesi hutaki kuelewa umeelezwa mpaka tukio lililopelekea mtu kufa umeelezwa hadi muhusika jina na mahali alipo hutaki, ni iv wasira aliishi maisha ya shida sana baada ya mahakama kutengua ubunge wake, alikuwa akisaidiwa na mtoto wa dada yake aitwaye masatu, huyu alikuwa akifanya kazi kwa bwana GIDEON MAZARA aliye kuwa anamiliki kiwanda cha samaiki cha fish pack musoma na hotel ya peninsula, huyu ndie alikuwa msaidizi mkubwa wa wasira, usipinge tu kwasababu una maslai fatilia iyo kesi kituo kikuu cha polisi musoma. hii habari ni ya kutunga kwako ila sisi tunaijua na wengi wanaijua na huyo mtoto wa dada yake ndie anasimamia sehemu kubwa ya miradi ya WASIRA tulia utapata mengi
 
wewe unaye pinga ndio ungekanusha kwamba si kweli nenda polisi msoma ulizia isue ya karego utaipata, bado isue ya maji bunda nitaileta, kuna isue ya pembejeo akiwa waziri wa kilimo alimpa mtoto wa dada yake tenda ya kusuply pembejeo kanda za ziwa. stay tuned mimi ni mwana CCM zaidi yako, TIJITAMBUE tunaibiwa

Nimeipenda hiii naomba isomwe na Simiyu Yetu Lizaboni Chabruma lusungo Ritz Hot Lady na wanazi wengine wa CCM
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom