Steven Masatu Wassira unakumbuka huyu?

Steven Masatu Wassira unakumbuka huyu?

Naomba mkuu usirudie tena kusema Wassira amerithi billioni 1 isiyokuwa na maelezo.

Ukiomba maelezo ya jinsi alivyozipata utapewa mara moja. Kumsema Mzee wa watu kwamba ni fisadi sababu alikuwa na Bil 1 mwaka 2006 bila kujua alivyozipata ni uhayawani wa hali ya juu.
 
Mleta mada kweli ni hayawani. Tshs 1 bilion unaona ni pesa nyingi sana?. Diamond Platinum ana 4 Bilion kwenye akaunti yake. Masanja mkandamizaji ana 8 Bilion, Kigwendu ana 5 bIlion, Wema Sepetu ana 1.5 Bilion sasa unashangaa kwa mtu kama Wasira kuwa na 1 Bilion?.

Wassira ana utajiri wa kurithi toka kwa wazazi wake. Ana mifugo na machimbo ya madini. Jamani acheni kuleta mada ambazo hazina kichwa wala miguu, Wassira kwa sababu ni mwanasiasa hawezi kuwa na pesa kama hiyo?

Wewe mwanadamu akili uliyotumia kuandika hapa niyako au.umeazima WASIRA angekuwa na Pesa za Urithi acngkuwa ananukiwa na Shombo.ya Samaki kule kwenye CORD ROOM yake pale.msasani Amshukuru JK kumkumbuka alikuwa mweusi km ngedere wee unalete blah.blah hz,,,Jiangalie ndg yangu manake hata km ni upambe sasa mmepitiliza,,,,,!!
 
Mkuu naona umekula mbaazi unajamb a tu na huko rivasi umeweka mafla ili watu wasikie pumba zako,

Hapa ni kamusi ya matusi. Nitakuporomoshea mvua ya matusi na mwisho wa siku nitapigwa ban kicheche wewe.
 
Wewe mwanadamu akili uliyotumia kuandika hapa niyako au.umeazima WASIRA angekuwa na Pesa za Urithi acngkuwa ananukiwa na Shombo.ya Samaki kule kwenye CORD ROOM yake pale.msasani Amshukuru JK kumkumbuka alikuwa mweusi km ngedere wee unalete blah.blah hz,,,Jiangalie ndg yangu manake hata km ni upambe sasa mmepitiliza,,,,,!!

Mara mseme ni fisadi, mara ananukiwa na shombo ya samaki kwa ajili ya kujituma kutafuta pesa. Sasa tujue lipi machizi nyie?
 
Hapa ni kamusi ya matusi. Nitakuporomoshea mvua ya matusi na mwisho wa siku nitapigwa ban kicheche wewe.

Haya,baada ya kujamb a tuambie wasira hizo ngombe anafugia wapi na baba yake alikuwa mchimbaji toka lini, hizo ngombe za ukanda huo zilivokaukiana kama chapati za mama lishe ndio zimezaa bilioni? Ulianza mgodi ndio zikaja bilioni au bilioni ndio ukaja mgodi,kama alilirithi mgodi kwa nini tena ajielekeze buhemba na tena mtoto wake sijui mdogo wake akawa hayajui madini ikabidi amtumie mtu mwingine! The question is,familia yenye historia ya uchimbaji kwa nn ikose uzoefu mpaka isake mtu mwingine
 
unapenda kusikia habari nzuri tu, panda gari nenda sabasaba ulizia kuhusu ilo tukio na kifo cha huyo kijana kutoka tanga, mbele kidogo utafika buhemba ulizia kwa karego tafuta iyo habari ukienda mbele kidogo kuna kijiji kinaitwa magunga uko ndo wachimbaji na walanguzi waliopinga kutekwa kwa bwana ENOCE wanapatikana ulizia utapata kila kitu, wakati bwana wasira anakuja mgodini mi nilikuwa mfanyakazi wa BGM

Umenikumbusha mbali sana. Camera za CCTV mgodini BGM nilifunga Mimi nikiwa na kampuni ya Group Four enzi hizo. Kiukweli Karego namfahamu sana , na hiyo issue naifahamu. Ila wanasiasa wetu hawatafsiriki. Huyu Mheshimiwa sometimes yuko frustrated ,kumbukeni kwamba mahakama kuu ya Tanzania iliwahi kumpiga stop kwa miaka kadhaa kugombea ubunge kwa sababu ya RUSHWA, Leo anajitangaza msafi!!!!!!!!!!????????
 
Haya,baada ya kujamb a tuambie wasira hizo ngombe anafugia wapi na baba yake alikuwa mchimbaji toka lini, hizo ngombe za ukanda huo zilivokaukiana kama chapati za mama lishe ndio zimezaa bilioni? Ulianza mgodi ndio zikaja bilioni au bilioni ndio ukaja mgodi,kama alilirithi mgodi kwa nini tena ajielekeze buhemba na tena mtoto wake sijui mdogo wake akawa hayajui madini ikabidi amtumie mtu mwingine! The question is,familia yenye historia ya uchimbaji kwa nn ikose uzoefu mpaka isake mtu mwingine

Usiwe mshamba wewe. Mtoto wa shehe si lazima na yeye awe shehe.. Familia ya Wassira kumiliki migodi ndio hawaruhusiwi kununua madini sehemu nyingine?. Ina maana familia ya R. Mengi hawaruhusiwi kuangalia TV station nyingine zaidi ya IPP?

Mnaleta mada za kipuuzi ambazo mnashindwa hata kuleta ushahidi wa kuzibeba mada zenu. Mmekalia majungu na ushambenga tu mbwa koko nyie.
 
Kumbe ndio maana alipata hela za kutoa rushwa mpaka mahakama ikampiga ban, ndio hivo mzee?
 
Usiwe mshamba wewe. Mtoto wa shehe si lazima na yeye awe shehe.. Familia ya Wassira kumiliki migodi ndio hawaruhusiwi kununua madini sehemu nyingine?. Ina maana familia ya R. Mengi hawaruhusiwi kuangalia TV station nyingine zaidi ya IPP?

Mnaleta mada za kipuuzi ambazo mnashindwa hata kuleta ushahidi wa kuzibeba mada zenu. Mmekalia majungu na ushambenga tu mbwa koko nyie.

Lakini inawezekana alikuwa anachimba madini ya chumvi manake kuna tuhuma kwamba amechepuka na mrs ya mutu
 
Mleta mada kweli ni hayawani. Tshs 1 bilion unaona ni pesa nyingi sana?. Diamond Platinum ana 4 Bilion kwenye akaunti yake. Masanja mkandamizaji ana 8 Bilion, Kigwendu ana 5 bIlion, Wema Sepetu ana 1.5 Bilion sasa unashangaa kwa mtu kama Wasira kuwa na 1 Bilion?.

Wassira ana utajiri wa kurithi toka kwa wazazi wake. Ana mifugo na machimbo ya madini. Jamani acheni kuleta mada ambazo hazina kichwa wala miguu, Wassira kwa sababu ni mwanasiasa hawezi kuwa na pesa kama hiyo?

Ndiyo maana kumbe ibara ya maadili inabishaniwa kuwepo kwenye katiba
 
Bwana Steven Masatu Wassira waziri katika serikali ya rais Kikwete anajinasibu kama mtu ambaye hana kashfa, nataka kumkumbusha baadhi ya mambo yake kwani nimesoma maojiano yake kwenye gazeti la dira ya mtanzania.

Mwaka 2006 Wasira akiwa waziri ama wa maji au wa kilimo alimpatia kijana wake anayeitwa KAMBARAGE zaidi ya sh bilioni 1 kwa ajili ya kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wa Buhemba.

Cha kujiuliza mwaka 2006 Wassira alitoa wapi zaidi ya sh bilioni 1 na kumpatia mwanae tena mmoja, hatujui wengine walipewa kiasi gani, ilo ni moja mengine yaja.
Mkuu Nchi Yangu, asante kwa taarifa hii, TZS. 1B, ni hela ya kawaida sana kwa baadhi ya watu!, as long as iko bank!, haswa bearing in mind alizipataje!, "the end always justifies the means!", kuna baadhi yetu wana hatred kwa kila mwenye hela!, ushauri wange kwa ma rich haters, ni just "get rich! or die trying!",

Huwezi kumwita kila mwenye utajiri fisadi, kama hujui his source of utajiri!, labda kama una jingine!.
Ila hiyo 1B inapoelezwa imetolewa cash na mtoto kapewa!, leaves more questions than answers!.

Pasco.
 
Ukiomba maelezo ya jinsi alivyozipata utapewa mara moja. Kumsema Mzee wa watu kwamba ni fisadi sababu alikuwa na Bil 1 mwaka 2006 bila kujua alivyozipata ni uhayawani wa hali ya juu.

Naona tumeelewana kwa hilo.Je, aliwasililisja hiyo thamani ya mali ya bilioni 1 kwenye sekretarieiti ya maadili ya viongozi wa umma?
 
Yaa! hiyo ndio inaitwa,Ohh you Preacher man let's talk about Heaven on earth. Nyie ambao mnasubiri mpaka mkiingia kaburini imekula kwenu!
 
Huu Ni uzushi ulio tukuka Mimi binafsi ninekuwa askari katika kituo kikuu cha police musoma mjini kwa miaka mingi ila sikuwahi kusikia habari hizi Wala hazipo, acha kutunga habari za kuchafua watu kwa maslahi yako binafsi kaka
Kama ambavyo hukioni kisogo chako, inawezekana kabisa ukawa hujui nini kinaendelea hapo ofisini kwenu.
 
Kama ambavyo hukioni kisogo chako, inawezekana kabisa ukawa hujui nini kinaendelea hapo ofisini kwenu.
Kama kazi yake ni kwenda kulinda bank kila siku na nyumbani kwa RC atayajua wapi haya?
 
Hii ni habari ya kutunga majirani wa wasira wanajua maisha aliyokuwanayo huyu Mzee kipindi chote cha mkapa baada ya kwenda upinzani

Mbona mimi ni jirani yako sijui maisha uliyo nayo? Acha kutetea ujinga umeambiwa kama huamini nenda Polisi Musoma utaambiwa sasa unapiga kelele za nini kutetea upuuzi? mengine mnajiabisha bure hivi jirani yako anaweza kujua pesa zako?
 
Kama ambavyo hukioni kisogo chako, inawezekana kabisa ukawa hujui nini kinaendelea hapo ofisini kwenu.

Ni kweli kaka inawezekana asijue kutokana na udogo wake kwani siyo kila askari anajua kinachoendelea kituoni kwake na kama ilivyo kawaida mkubwa ndiyo mwenye akili, ukweli umeshasemwa hakuna wa kuuficha tena data ulizotoa zinatosha kabisa kutuelewesha kwa wale ambao hatufadhiliwi na mzee huyu lakini waliokula vyake utawajua tuwatapiga kelele mpaka asubuhi, kwani hata Hittler na Idd Amini wapo waliosema kuwa hawakuuwa mtu hata mmoja juu ya hili sishangai kuona watu wakishuka kupinga kwa hoja dhaifu, angalizo polisi hawawezitoa taarifa za waziri kama hizo je, na mwenye ndugu yake kuuawa nako ni uzushi?
 
Mkuu Nchi Yangu, asante kwa taarifa hii, TZS. 1B, ni hela ya kawaida sana!, labda kama una jingine!.

Pasco.

dah! pasco mambo yako yako supa sana.

unaposema ni hela ya "kawaida sana" ni asilimia ngapi ya watanzania wanaweza ipata hiyo pesa kwa "chapcap"? ungesema hiyo pesa ni ya kawaida sana kwa "baadhi ya watu" labda ndio ingekuwa sawa.
 
Back
Top Bottom