Steven Masatu Wassira unakumbuka huyu?

Steven Masatu Wassira unakumbuka huyu?

umeelezw mpaka kesi hutaki kuelewa umeelezwa mpaka tukio lililopelekea mtu kufa umeelezwa hadi muhusika jina na mahali alipo hutaki, ni iv wasira aliishi maisha ya shida sana baada ya mahakama kutengua ubunge wake, alikuwa akisaidiwa na mtoto wa dada yake aitwaye masatu, huyu alikuwa akifanya kazi kwa bwana GIDEON MAZARA aliye kuwa anamiliki kiwanda cha samaiki cha fish pack musoma na hotel ya peninsula, huyu ndie alikuwa msaidizi mkubwa wa wasira, usipinge tu kwasababu una maslai fatilia iyo kesi kituo kikuu cha polisi musoma. hii habari ni ya kutunga kwako ila sisi tunaijua na wengi wanaijua na huyo mtoto wa dada yake ndie anasimamia sehemu kubwa ya miradi ya WASIRA tulia utapata mengi

Lol hii habari nzito
 
Bwana Steven Masatu Wassira waziri katika serikali ya rais Kikwete anajinasibu kama mtu ambaye hana kashfa, nataka kumkumbusha baadhi ya mambo yake kwani nimesoma maojiano yake kwenye gazeti la dira ya mtanzania.

Mwaka 2006 Wasira akiwa waziri ama wa maji au wa kilimo alimpatia kijana wake anayeitwa KAMBARAGE zaidi ya sh bilioni 1 kwa ajili ya kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wa Buhemba.

Kijana akajitosa kwenye bihashara lakini akakutana na upinzani mkubwa kwa hiyo ikabidi atafute washirika ambao ni wazoefu na wazaliwa wa Buhemba akajiunga na kijana mmoja aitwae ENOCE KAREGO huyu ni mzaliwa wa Buhemba kwa waliokwishafika Buhemba huyu bwana ndie anayemiliki ukumbi mkubwa unaoitwa KAREGO upo nyuma ya kituo cha polisi Buhemba.

Biashara ilianza vizuri na wakawatikisa wenzao kwani KAMBARAGE alikuwa anapeleka dhahabu hiyo Marekani bei yao ilikuwa nzuri hivyo wakateka soko, kama una jamaa Buhemba ulizia, ilipofika mwaka 2007 mshirika wa mtoto wa Wassira akaingiwa na tamaa baada ya KAMBARAGE kutoka Marekani alikuja na kiasi kikubwa cha fedha na kumkabidhi bwana ENOCE fahamu kuwa pesa ya kununulia dhahabu maeneo ya machimbo haiwekwi benk kutokana na mazingira ya manununzi.

ENOCE akaweka mazingira ya kuwa ametekwa na majambazi maeneo ya Sabasaba alfajiri wakati akimpelekea KAMBARAGE dhahabu aliyokuwa amenunua, ikapigwa yowe eneo ilo na kuanza kufatila kama wanaweza kuwapata majambazi hao.

Katika kufatilia kuna kijana mmoja mzaliwa wa Tanga aliuawa kwani alikuwa mgeni eneo hilo alikuwa amekuja kumsalimia dada yake alieolewa hapo, kwa hiyo yowe ilipopigwa nae alitoka majira ya saa 11 alfajiri alipokutana na wanayowe katika maojiano hawakuelewana kwa hiyo alipigwa hadi kufa, alikuja kutambuliwa baadae na shemeji yake alipokuja kutazama maiti.

Alipopewa taarifa mtoto wa Wassira alikuja Buhemba ili kupata taarifa kamili, ENOCE alimueleza kuwa alfajiri ya siku ya tukio akiwa anaendesha gari lake kuelekea Bunda walitokea watu wenye bunduki na kupiga risasi kioo cha mbele hivyo gari lilikosa mwlekeo na kwenda nje ya barabara, ndipo alipovamiwa na kunyanganywa dhahabu yote aliyokuwa anampelekea, KAMBARAGE alimtaarifu baba yake ambaye aliwasiliana na polisi ili wachunguze suala ilo.Taarifa ya polisi ilipinga madai ya ENOCE kuwa alitekwa na ikaonekena ni tukio la kupangwa.

Wassira alikuja Buhemba na ndege ndogo ya serikali na kutua katika mgodi wa Buhemba akaamuru askari wamkamate ENOCE apelekwe mgodini azungumze nae kweli baada ya nusu saa ENOCE alikuwa kwenye ndege akifanya mazungumzo na Wassira baada ya masaa 2 ENOCE alishuka na kuondoka na polisi ambapo alikuwa ameamriwa ndani ya wiki 1 awe amekabidhi dhahabu yote na pesa iliyokuwa imebaki kwa KAMBARAGE, ENOCE akufanya hivyo kwa hiyo baada ya wiki alikamatwa na kuswekwa ndani.

Amekaa magereza kwa zaidi ya miaka 2 mpaka ndugu zake walipochachamaa kuwa wataweka mambo yote hadharani ilikuwa inaelekea uchaguzi wa 2010 ndipo akaachiwa na kesi kufutwa.

Cha kujiuliza mwaka 2006 Wassira alitoa wapi zaidi ya sh bilioni 1 na kumpatia mwanae tena mmoja, hatujui wengine walipewa kiasi gani, ilo ni moja mengine yaja.

Ha ha ha ha sasa we ulikua kama nano mpaka ukahusika
Kote huko. Umbea mtupu stupid!
 
wewe unaye pinga ndio ungekanusha kwamba si kweli nenda polisi msoma ulizia isue ya karego utaipata, bado isue ya maji bunda nitaileta, kuna isue ya pembejeo akiwa waziri wa kilimo alimpa mtoto wa dada yake tenda ya kusuply pembejeo kanda za ziwa. stay tuned mimi ni mwana CCM zaidi yako, TIJITAMBUE tunaibiwa

Mkuu kuna mfanyakazi wa taasisi ya kifedha iitwayo BLUE FINANCIAL SERVICES alinitonya kwamba hiyo kitu ni mali ya wasira na inafanya biashara ya kukopesha mamilioni kwa wafanyakazi na wafanyabiashara,ni moja kati ya taasisi zinazowatoa machozi waalimu kwa jinsi zinavyowakata bila huruma mishahara yao,kama ifanyavyo BAYPORT,sintashangaa kama wengine wafanyavyo kumsikia anagawa mabilioni kwa watu wamnunulie dhahabu,na dhahabu iko makumi ya maeneo ya nchi hii,just assume amegawa bilioni kwa watu hamsini wamnunulie dhahabu geita,mara,shinyanga,mbeya,tanga,singida nk
 
Huu Ni uzushi ulio tukuka Mimi binafsi ninekuwa askari katika kituo kikuu cha police musoma mjini kwa miaka mingi ila sikuwahi kusikia habari hizi Wala hazipo, acha kutunga habari za kuchafua watu kwa maslahi yako binafsi kaka
 
Nimeamini ndani ya CCM hakuna alie Msafi....

Naomba mleta mada aongezea kama anaifahamu vizuri issue ya Wassira kumiliki kampuni na jineri ya VILLIAN ya kununua pamba , kwa kushinikiza serikali ipange bei ya chini kabisa na kuuzia wakulima mbegu ambazo hazikuota. Nilisikia fununu hiyo nilipokwenda Bunda, hebu tupe ukweli na kama wanamsingizia tujue.
 
Bwana Steven Masatu Wassira waziri katika serikali ya rais Kikwete anajinasibu kama mtu ambaye hana kashfa, nataka kumkumbusha baadhi ya mambo yake kwani nimesoma maojiano yake kwenye gazeti la dira ya mtanzania.

Mwaka 2006 Wasira akiwa waziri ama wa maji au wa kilimo alimpatia kijana wake anayeitwa KAMBARAGE zaidi ya sh bilioni 1 kwa ajili ya kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wa Buhemba.

Kijana akajitosa kwenye bihashara lakini akakutana na upinzani mkubwa kwa hiyo ikabidi atafute washirika ambao ni wazoefu na wazaliwa wa Buhemba akajiunga na kijana mmoja aitwae ENOCE KAREGO huyu ni mzaliwa wa Buhemba kwa waliokwishafika Buhemba huyu bwana ndie anayemiliki ukumbi mkubwa unaoitwa KAREGO upo nyuma ya kituo cha polisi Buhemba.

Biashara ilianza vizuri na wakawatikisa wenzao kwani KAMBARAGE alikuwa anapeleka dhahabu hiyo Marekani bei yao ilikuwa nzuri hivyo wakateka soko, kama una jamaa Buhemba ulizia, ilipofika mwaka 2007 mshirika wa mtoto wa Wassira akaingiwa na tamaa baada ya KAMBARAGE kutoka Marekani alikuja na kiasi kikubwa cha fedha na kumkabidhi bwana ENOCE fahamu kuwa pesa ya kununulia dhahabu maeneo ya machimbo haiwekwi benk kutokana na mazingira ya manununzi.

ENOCE akaweka mazingira ya kuwa ametekwa na majambazi maeneo ya Sabasaba alfajiri wakati akimpelekea KAMBARAGE dhahabu aliyokuwa amenunua, ikapigwa yowe eneo ilo na kuanza kufatila kama wanaweza kuwapata majambazi hao.

Katika kufatilia kuna kijana mmoja mzaliwa wa Tanga aliuawa kwani alikuwa mgeni eneo hilo alikuwa amekuja kumsalimia dada yake alieolewa hapo, kwa hiyo yowe ilipopigwa nae alitoka majira ya saa 11 alfajiri alipokutana na wanayowe katika maojiano hawakuelewana kwa hiyo alipigwa hadi kufa, alikuja kutambuliwa baadae na shemeji yake alipokuja kutazama maiti.

Alipopewa taarifa mtoto wa Wassira alikuja Buhemba ili kupata taarifa kamili, ENOCE alimueleza kuwa alfajiri ya siku ya tukio akiwa anaendesha gari lake kuelekea Bunda walitokea watu wenye bunduki na kupiga risasi kioo cha mbele hivyo gari lilikosa mwlekeo na kwenda nje ya barabara, ndipo alipovamiwa na kunyanganywa dhahabu yote aliyokuwa anampelekea, KAMBARAGE alimtaarifu baba yake ambaye aliwasiliana na polisi ili wachunguze suala ilo.Taarifa ya polisi ilipinga madai ya ENOCE kuwa alitekwa na ikaonekena ni tukio la kupangwa.

Wassira alikuja Buhemba na ndege ndogo ya serikali na kutua katika mgodi wa Buhemba akaamuru askari wamkamate ENOCE apelekwe mgodini azungumze nae kweli baada ya nusu saa ENOCE alikuwa kwenye ndege akifanya mazungumzo na Wassira baada ya masaa 2 ENOCE alishuka na kuondoka na polisi ambapo alikuwa ameamriwa ndani ya wiki 1 awe amekabidhi dhahabu yote na pesa iliyokuwa imebaki kwa KAMBARAGE, ENOCE akufanya hivyo kwa hiyo baada ya wiki alikamatwa na kuswekwa ndani.

Amekaa magereza kwa zaidi ya miaka 2 mpaka ndugu zake walipochachamaa kuwa wataweka mambo yote hadharani ilikuwa inaelekea uchaguzi wa 2010 ndipo akaachiwa na kesi kufutwa.

Cha kujiuliza mwaka 2006 Wassira alitoa wapi zaidi ya sh bilioni 1 na kumpatia mwanae tena mmoja, hatujui wengine walipewa kiasi gani, ilo ni moja mengine yaja.
Hakuna ukweli wowote katika uzi huu, made from Ukawa
 
Huu Ni uzushi ulio tukuka Mimi binafsi ninekuwa askari katika kituo kikuu cha police musoma mjini kwa miaka mingi ila sikuwahi kusikia habari hizi Wala hazipo, acha kutunga habari za kuchafua watu kwa maslahi yako binafsi kaka
Jambo usipolijuwa.. does not neccessarilly mean halipo. Unaweza usilijuwe na likawepo vile vile.
 
wale team wassira wapo wapi?

Waje kufanya nini? Hawashughuliki na umbea weka hoja wakujibu, muda wa kushughulika na Majungu,Umbea na Uongo uliokubuhu haupo.

Wassira is innocent and Mr.Clean.
Anawapa shida sana mwaka huu hazuiliki.
 
Wasira akijibu hii ajiandae na kujibu ufisadi alioufanya mfuko wa pembejeo mwaka 2008/2009.ntaileta.
Nikuhakikishie WASIRA akisoma hii kitu itamuumiza sana kwani siku zote anaamini watu hawajui isue zake madhari ameyataka mwenyewe wacha tuyamwge hadharani,hawezi jibu hii kitu, tutamtafuta hadi ROY aliekuwa general meneger wa BUHEMBA GOLD atueleze WASIRA alifata nini MGODINI,Iyo isue ya pembejeo ndg itamaliza kabisa, bado tenda alizotoa kwa mpwa wake kujenga miundombinu ya maji songea na shinyanga, mradi wa kukopesha wafanyakazi bunda kwa kuchukua kadi zao za bank ataelewa tu
 
Ha ha ha mwaka huu lazima uliwe ha ha ha ukirupuka na vipost vya kishoga nakula yako kiboga ha ha ha

Ras wewe ni Punga Mwandamizi,nenda MMU kwa mabasha zako,sisi hapa mapenzi yetu na siasa tu.Unajichekesha mbele ya mashababi ili iweje?
 
wasira alijiona msafi sasa uchafu ndo unajitenga ccm na usafi WAP na WAP
 
Back
Top Bottom