Stephen Wasira: CCM tuna matatizo ya kupata mbadala

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,464
Reaction score
6,775
Wakuu,

Akizungumza leo kwenye tukio la kuaga mwili wa William Lukuvi Stephen Wasira alisema kwamba tatizo kubwa linaloikumbwa CCM ni kwamba haina viongozi mbadala

"CCM tuna matatizo kweli ya kumpata mbadala. Kwa sababu kupata mbadala wa mtu ambaye ameandaliwa na ameongoza kwa miaka zaidi ya 30, 30 ni ya Ubunge lakini ya uongozi wa chama ni karibuni ya miaka 40 au zaidi, sio kazi rahisi. Kwa hiyo na sisi tuna matatizo hayo

Hawa wazee wabinafsi sana unakaa madarakani miaka 40+ halafu unataka upate mbadala, kivipi ??? na hutaki kustaafu ....kwa akili hizi ndio maana CCM ipo teyari kumwaga damu kwa kupiga risasi,kufir.a watu na kukupa kesi za kutunga ili kukukomoa kabisa ili wasipate mbadala.
 
Gari Siyo Body Ni Engine
Naona Amenyanyuka Tena
Watch You Wasira Apumzike Vinginevyo
 
HATUNA CCM TUNA JESHI LA POLISI MBADALA WA CCM.CCM WAMESHACHOKA KIAFYA NA KIAKILI.HUWEZI KUONGOZA NCHI KWA AKILI YA UZEE KM WASIRA
 
Wakuu,

Akizungumza leo kwenye tukio la kuaga mwili wa William Lukuvi Stephen Wasira alisema kwamba tatizo kubwa linaloikumbwa CCM ni kwamba haina viongozi mbadala

"CCM tuna matatizo kweli ya kumpata mbadala. Kwa sababu kupata mbadala wa mtu ambaye ameandaliwa na ameongoza kwa miaka zaidi ya 30, 30 ni ya Ubunge lakini ya uongozi wa chama ni karibuni ya miaka 40 au zaidi, sio kazi rahisi. Kwa hiyo na sisi tuna matatizo hayo

Utapata mbadala vipi kwa chaguzi kiinimacho? Hapo ni kama anajisemea yeye.
 
Wakuu,

Akizungumza leo kwenye tukio la kuaga mwili wa William Lukuvi Stephen Wasira alisema kwamba tatizo kubwa linaloikumbwa CCM ni kwamba haina viongozi mbadala

"CCM tuna matatizo kweli ya kumpata mbadala. Kwa sababu kupata mbadala wa mtu ambaye ameandaliwa na ameongoza kwa miaka zaidi ya 30, 30 ni ya Ubunge lakini ya uongozi wa chama ni karibuni ya miaka 40 au zaidi, sio kazi rahisi. Kwa hiyo na sisi tuna matatizo hayo

Oooh ccm unasahau kwamba uongozi ni generational... Muda ukifika umefika! Wapishe wengine!
 
Wakuu,

Akizungumza leo kwenye tukio la kuaga mwili wa William Lukuvi Stephen Wasira alisema kwamba tatizo kubwa linaloikumbwa CCM ni kwamba haina viongozi mbadala

"CCM tuna matatizo kweli ya kumpata mbadala. Kwa sababu kupata mbadala wa mtu ambaye ameandaliwa na ameongoza kwa miaka zaidi ya 30, 30 ni ya Ubunge lakini ya uongozi wa chama ni karibuni ya miaka 40 au zaidi, sio kazi rahisi. Kwa hiyo na sisi tuna matatizo hayo

Screenshot_20260329-072939~2.png
 
Huyu Ana taka kuwa kama nzi anataka kufia kidondani
 
Wakuu,

Akizungumza leo kwenye tukio la kuaga mwili wa William Lukuvi Stephen Wasira alisema kwamba tatizo kubwa linaloikumbwa CCM ni kwamba haina viongozi mbadala

"CCM tuna matatizo kweli ya kumpata mbadala. Kwa sababu kupata mbadala wa mtu ambaye ameandaliwa na ameongoza kwa miaka zaidi ya 30, 30 ni ya Ubunge lakini ya uongozi wa chama ni karibuni ya miaka 40 au zaidi, sio kazi rahisi. Kwa hiyo na sisi tuna matatizo hayo

Huyu Mzee atafukuzwa
 
WAHEHE HUU UTAMADUNI WA KUKATIA VIUNO JENEZA MUMEUTOA WAPI??? AU HISTORIA YA MKWAWA INAFICHWA
 
Amesema ukweli ila ameshindwa kusema kwanini hilo tatizo limetokea.
Wameacha kuwafundisha vijana siasa na kuwaandaa badala yake machawa ndio wanapata nafasi.
Wamefanya uongozi uwe wa kurithishana
 
Back
Top Bottom