Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuwa mfano wa demokrasia nchini, kikisisitiza kuwa misingi hiyo inaanza ndani ya Chama chenyewe.
CCM imesema imekuwa ikizingatia misingi ya demokrasia katika uendeshaji wa shughuli zake, ikiwemo katika mchakato wa uchaguzi wa viongozi wake.
Hayo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), amesema:
"Kwa sababu dialogue katika ujenzi wa nchi haiwezi kuwa jambo... it's...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, amesema mjadala wa Katiba Mpya haupaswi kufikia hatua ya kuunda nchi mpya, akisisitiza umuhimu wa Katiba kuendeleza historia ya Taifa. Wasira amesema hata wakati wa mchakato wa Katiba mwaka 2014, alikataa wazo la kubadilisha bendera na nembo kwa...
Akizungumza leo Septemba 8, 2026 kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira amesema:
"Huwezi kusema Zanzibar kuna problem ambayo haihusu bara, au bara kuna matatizo ambayo Zanzibar...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mzee Stephen Wasira, akihojiwa leo Agosti 19, 2026, katika kipindi cha UTV amesema Serikali haiwezi kuomba radhi kwani ilitimiza wajibu wake wa kulinda amani.
Mzee Wasira ameongeza kuwa kile kilichotokea Oktoba 29, 2025 haikuwa...
Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.
Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na...
Nimekusikia ukisema kuwa Mandela na Nyerere huwezi kuwalingamisha na wanaharakati wa Tanganyika. Kumbuka Tanganyika ilikuwa inatawwliwa na waingereza, Cartel ya wazungu. Hivyo hivyo Africa Kusiní ilikuwa inatawwliwa na kakundi kadogo ie Cartel ka Wazungu. Ndio hao Nyerere na Mandela walipambana...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewataka vijana nchini kufuata sera ya ustahimilivu ya Rais Samia badala ya kutumia vurugu na uharibifu kudai haki zao.
Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa na NIjuze Julai 22, 2026, Wasira amesisitiza kuwa vijana ni...
Akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa na Nijuze Julai 22, 2026, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema mchakato wa maridhiano ya kitaifa hauhusu CHADEMA pekee bali unalenga jamii nzima ya Watanzania na makundi mbalimbali
Ameongeza kuwa vyama vya siasa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza umuhimu wa kuheshimu misingi ya katiba na uhuru wa mihimili ya dola, akibainisha kuwa mahakama ni mhimili huru unaopaswa kuachwa utekeleze majukumu yake bila kuingiliwa au kujadiliwa kisheria.
Akizungumza...
Akizungumza katika mahojiano na shirika la habari la DW yaliyochapishwa leo Julai 22, 2026, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kwa sasa Tanzania kuna mporomoko wa maadili na uzalendo akitolea mfano tabia inayozidi kuenea ya watu kushangilia na kutukana pindi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ametetea uhalali wa serikali iliyopo madarakani na matokeo ya uchaguzi mkuu, akieleza kuwa vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi zilianza tarehe 29 usiku baada ya wananchi wengi kote nchini kuwa tayari wameshapiga kura...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amepuuza madai yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba vijana wameichoka CCM na kwamba chama hicho kinaendesha nchi kwa mazoea.
Akizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na ITV...
DAKIKA 45, ITV
"CCM hatujachoka, tumechoka na nini?"
Mabadiliko hayaletwi na miaka ya kuwepo madarakani, kama ni miaka hata CHADEMA imechoka maana yenyewe ina miaka 30, tena haijatawala..."- Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira akizungumza katika mahojiano na TBC leo
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa hakuna njia ya mkato ya kupata amani ya kudumu nchini isipokuwa kwa njia ya mazungumzo. Akizungumza katika...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, Stephen Wasira, amesema ujamaa bado ni msingi mkuu unaoendesha sera na mipango ya maendeleo nchini.
Akizungumza na wanachama wa CCM mjini Moshi, leo Juni 6 2026, Wasira alisema alikana madai kuwa mfumo huo umepitwa na wakati.
"Wale...
Ndugu zangu Watanzania,
Soma hapa ujumbe wa Mheshimiwa Stephen Wasira Makamu Mwenyekiti wa CCM
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kabla ya kuanza kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa, ni vyema kuwabaini kuwachukulia hatua za kisheria kupitia...
Mzee amenena maneno ya makufuru dhidi ya mpigania haki Lisu ambaye wmezuiliwa gerezani bila kosa lolote.
Leo mzee Wasira ameropoka na kusema wanamzuia kwakuwa hataki maridhiano.
Soma mwenyewe hapa chini.
"Tunapozungumzia maridhiani tunamaanisha Makubaliano ya kitaifa, kiutendaji na amani ya...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema mawazo ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere akiwa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda aliandika kitabu cha kutetea wanawake ingawa kitabu hicho hakijachapishwa hadi amefariki.
Wasira ameyasema hayo leo Februari...
Wakuu,
Akizungumza leo kwenye tukio la kuaga mwili wa William Lukuvi Stephen Wasira alisema kwamba tatizo kubwa linaloikumbwa CCM ni kwamba haina viongozi mbadala
"CCM tuna matatizo kweli ya kumpata mbadala. Kwa sababu kupata mbadala wa mtu ambaye ameandaliwa na ameongoza kwa miaka zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.