Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 3,897
- 5,354
Aliyesema tozo iwepo,wewe ndiyo hamnazo kabisaHuyu Maselle, hafahamiki sana uwezo wake kwa siasa za ndani. Kwa nini wasimpe tu Bwana Zungu?
Hakika huyu jamaa wampe tu,naona kama anaweza kufuata nyayo za mzee wa "standard and speed''Kabisa Steven Masele anatufaa Sana
Hakwepeshi haki na ukweli
Aliyemmiminia Lissu risasi utadhan mnyama kumnyima hela za matibabu na stahihiki na kwenda mbali hadi kuratibu na kupanga msiba na mazishi yake kabla hajafa yuko wapi?Alipangalo Mola huwa ni swala la muda tu.
Tusitukane wakunga na uzazi ungalipo.
Usimchezee Mamba kabla ya kuvuka mto.
Ngoja tuone karata za Maselle atakavyozichanga!
Ngoja tuone!Ebu kua serious basi
Habari ya kweli hii?
Mkuu mbona unateseka sana, what if ni Lema na Mbowe ndio walihusika kumpiga lissu risasi nilishakuambia wewe ni panya tu unabweka ukiwa nje fisi akitokea unatoka baru 😅😅😅
Wewe ni Mungu kwa Kua unajua Kesho yako na yake ? Atakushangaza hizi sio enzi za JPM mama anaangalia utendaji
Hapo hakuna cha Mama ni kamati inafanya kazi. Vituko alivyofanya South Africa vinamuondolea sifa huyo! Wapo akina Tulia Ackson wanasubiri kipenga kipulizwe, na yeye pamoja na akina Zungu wameshanyaka fomu, tutauona mtanange mwisho wa siku!Wewe ni Mungu kwa Kua unajua Kesho yako na yake ? Atakushangaza hizi sio enzi za JPM mama anaangalia utendaji
Mkuu, utapewa kesi ya ugaidiHatujali Spika mpya ila tunachotaka ni Katiba mpya.
Umempa makavu kenge huyu.Mkuu mbona unateseka sana, what if ni Lema na Mbowe ndio walihusika kumpiga lissu risasi nilishakuambia wewe ni panya tu unabweka ukiwa nje fisi akitokea unatoka baru 😅😅😅
Kuvimba koote huku lengo lako ni kumtetea mwenda kuzimu yaani unajaribu kumuondoa hatiani kwamba hakuhusika na mipango ya mauaji pamoja na kutayarisha hotuba ya marehemu na mazishi yake! Mungu si Athumani kibao kikageuka na hivi sasa kawekewa gogo la moto kwenye ushuzi.Mkuu mbona unateseka sana, what if ni Lema na Mbowe ndio walihusika kumpiga lissu risasi nilishakuambia wewe ni panya tu unabweka ukiwa nje fisi akitokea unatoka baru 😅😅😅
Tazama hili shetani la burigi sijui limetokea wapi?Umempa makavu kenge huyu.
Are you insane?Tazama hili shetani la burigi sijui limetokea wapi?
Weka ushahidi hapa kudhibitisha hayo madai yako, Kama huna ushahidi kaa kimya!!!Kuvimba koote huku lengo lako ni kumtetea mwenda kuzimu yaani unajaribu kumuondoa hatiani kwamba hakuhusika na mipango ya mauaji pamoja na kutayarisha hotuba ya marehemu na mazishi yake! Mungu si Athumani kibao kikageuka na hivi sasa kawekewa gogo la moto kwenye ushuzi.
Masele alikuwa waziri aliyeamini Sana na Msoga kwenye Nishati na madini .Ebu kua serious basi
Habari ya kweli hii?
Jiwe alihusika, jamaa alikuwa mwongo sana na muuaji, bila Mungu kuingilia kati tungepata tabu sanaWeka ushahidi hapa kudhibitisha hayo madai yako, Kama huna ushahidi kaa kimya!!!
So what?
Mkuu mbona unateseka sana, what if ni Lema na Mbowe ndio walihusika kumpiga lissu risasi nilishakuambia wewe ni panya tu unabweka ukiwa nje fisi akitokea unatoka baru
Umempa makavu kenge huyu.