Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

Habari nilizozipata, mda mfupi ulio pita ni kuwa mwanasheria wa continental ametuma barua ya kuitaarifu startimes kujitoa kwa startv rasmi startimes, na mda simrefu Itv nao wanatuma rasmi barua kama hiyohiyo, huk startimes mashop yote ya dar ya startimes yameambiwa yawataarifu wateja kuhusu kutoka kwa hizo channel mbili.

NTAENDELEA KUWA UPDATE.....

Source mimi mwenyewe toka maeneo ya hapa bamaga startimes, nimepata habari hizi nikiwa ndani ya duka lao mda huu..wakijadiliana watafanyaje???
kama ni kwel startm mjiandae kurudi kwenu mlipotoka
 
Hizo habari ni uongo na uzushi wa vijiweni!

Sheria ya mawasiliano kupitia TCRA inazitamka ITV, TBC, STAR TV, CHANNEL 10 na EATV kama ni FTA yaani Free To Air channels na sio Pay TV.

Sheria inawataka wamiliki wote wa visimbuzi vyenye local license kuziweka kwenye list hizo channels bure bila walaji kulipia!

Wakuu endeleeni kuumiza macho kupitia visimbuzi vyenu!

Kama ni hivyo, mbona DStv inaonyesha TBC1 na Star TV pekee?
 
Si walituambia kuwa ving'amuzi vyote vitakua vinaonyesha 5 local channels bure including itv, star tv, tbc 1,chanel 5 na channel 10?
. Sheria ya TCRA ndio inatakiwa ionekane ina nguvu hapa. Kila decoder itakayouzwa Tanzania inatakiwa lazima iwe inaonyesha local chanels zote bila malipo ya mwezi,na ndio ilikuwa ahadi yao wakati wanatulazimisha kuingia digital!. Sasa naona kama madudu yanaanza. Kila mwenye Tv station anaongea na wachina wanamtengenezea decoder yake anauza mitaani hata kama inarusha channel mbili tu. . Ina maana mtu atatakiwa kununua decoder zaidi ya kumi ili kuweza kuona local channel tu!. This is absurd! TCRA mkilala kwa hili mtakuwa hamuwatendei haki walaji/watazamaji na mtaleta confusion kubwa.
 
Kama kuna suala lililofanywa kwa pupa bila maandaliz na kujal maslah mapana ya upatikanaj wa habar kwa jamii ya Tanzania, bas ni hil la kukimbilia kuzima mitambo ya analog.. ona hii text kutoka moja ya kingamuz cha walalahoi hapa tzania...'kutokana na matakwa ya Startv, tumeamua kuitoa kwenye channel zetu, kwa maelezo zaid wasiliana na star tv kwa namba 02825XXX.,,' naomba kuuliza, sasa inabid mtu uwe na vingamuz vingap ndan il uweze kuangalia habari walau kwa channel za nyumbani? vip ITV, Channel ten nao wajitoe? kila channel hapa tz na kingamuz chake, then? alaf mkiambiwa mtasema kuna mkono kutoka nje, n.k. mnashindwa kutunga sheria za kuwalazmisha watoa huduma kuweka channel za nyumbani hata kama nyingine zitalipiwa? mh. makamba tulikuaminia sana, au na wewe wamekuweka kwenye angleQ ?? fikiria sasa hiv nina vingamuz v2 cioni channel zote za hapa nchini.....vp huko mbele itakuwaje?? sa iv tunasubir mfunge line za cm!!!
 
Nchi ya kitu kidogo ni nchi ya watu wadogooo...açiimba msanii mmoja toka Kenya.
 
Hizo habari ni uongo na uzushi wa vijiweni!

Sheria ya mawasiliano kupitia TCRA inazitamka ITV, TBC, STAR TV, CHANNEL 10 na EATV kama ni FTA yaani Free To Air channels na sio Pay TV.

Sheria inawataka wamiliki wote wa visimbuzi vyenye local license kuziweka kwenye list hizo channels bure bila walaji kulipia!

Wakuu endeleeni kuumiza macho kupitia visimbuzi vyenu!

Ni kweli kabisa na tangazo linaoneshwa mara kwa mara na startimes kuhusu kukatazwa kuonesha channel hiyo na mmiriki wa startv.
 
Hizo habari ni uongo na uzushi wa vijiweni!

Sheria ya mawasiliano kupitia TCRA inazitamka ITV, TBC, STAR TV, CHANNEL 10 na EATV kama ni FTA yaani Free To Air channels na sio Pay TV.

Sheria inawataka wamiliki wote wa visimbuzi vyenye local license kuziweka kwenye list hizo channels bure bila walaji kulipia!

Wakuu endeleeni kuumiza macho kupitia visimbuzi vyenu! mkuu star tv wameshatoka kwenye list ya chanels za startimes! hii habari ni ya kweli na ndo maana mara zote huwa sichoki kuwashauri mfunge FREE TO AIR DISH! kwanza hakuna malipo ya mwezi, pili haina haja ya bomba reeefu, tatu picture clear! na la mwisho niwafumbue macho mtu mwenye dish anaona picha kabla ya mwenye king'amuzi! yaani km ni taarifa ya habari au tamthilia mwenye dish anakuwa wa kwanza kuona tukio after few second hilo tukio ndo linaamia kwenye ving'amuzi!

Ss ww unabisha nn wakati kweli hatuoni hyo channel since yesterday?na wanasema kwa maelezo zaidi contact them(*tym)
 
UPDATE: Hali mbaya startimes kimapato toka jana. TETESI..
 
. Sheria ya TCRA ndio inatakiwa ionekane ina nguvu hapa. Kila decoder itakayouzwa Tanzania inatakiwa lazima iwe inaonyesha local chanels zote bila malipo ya mwezi,na ndio ilikuwa ahadi yao wakati wanatulazimisha kuingia digital!. Sasa naona kama madudu yanaanza. Kila mwenye Tv station anaongea na wachina wanamtengenezea decoder yake anauza mitaani hata kama inarusha channel mbili tu. . Ina maana mtu atatakiwa kununua decoder zaidi ya kumi ili kuweza kuona local channel tu!. This is absurd! TCRA mkilala kwa hili mtakuwa hamuwatendei haki walaji/watazamaji na mtaleta confusion kubwa.

Nadhani itakuwa sio busara kwa ku-force mwenye Station (e.g. Star TV, Super Sport, Mnet au yoyote utakayoanzisha kesho au siku yoyote) kwamba ionyeshwe bure (free to air) INGAWA ni kosa kubwa kwa mwenye Decoder (station sio zake) kulazimisha au kuzifanyia biashara watu wampe pesa ili yeye aonyeshe kitu/vitu ambavyo ni vya bure..

Hivyo basi hata kesho ITV wakiamua kwamba wao sio Free to Air tena ni nani wa kuwalazimisha ?, Na wakilazimishwa haki ipo wapi ?, kwanini tusiwalazimishe pia yeyote anayerusha matangazo yake from within our boundaries afanye bure ?. Nadhani Star TV mwenyewe atakapokosa matangazo due to low coverage ndio ataona ubaya wa kujitoa
 
AU kwa vile king'amuz cha CONTINENTAL kinachomilikiwa na sahara communication inayomiliki star tv, redio free na kiss fm. Na kwa upande wa IPP wanamiliki king'amuzi cha DIGTEK. Lakini sizani kama hii itakuwa sababu tosha
 
Back
Top Bottom