Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,144
- 5,007
kwa mazingira hayo wadanganyika itabidi wanunue vidubuasha vingine hii ni kuwaonea na wizi mtupu tume inabidi warejeshe fedha za wadanganyika kwa usumbufu inaowapa kwa kuanza kazi bila mipango ya maana na kuwaingiza gharama zisizo za msingi
mbaya sana
mbaya sana