King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,838
- 95,014
Taarifa itatafsiriwa tafadhali.
TCRA ungejibu hiyo hoja hapo ya STAR TV.Star Times inachukua vituo vya TV ikiwemo Star TV bila idhini yao na kuviweka kwenye kingamuzi chake kwa kisingizio kwamba wanaruhusiwa na sheria ya EPOCA na Kanuni zake. Sheria hiyo inasisitiza juu ya kuwepo kwa mkataba wa makubaliano (SLA) kati ya pande mbili husika.

Kiunganishi cha taarifa tuliyotoa, bofya hapa: ​#85​