Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

Niliitafutasana ckuipata Hakuna raha ya Kisimbusi tena
 
Hizo habari ni uongo na uzushi wa vijiweni!

Sheria ya mawasiliano kupitia TCRA inazitamka ITV, TBC, STAR TV, CHANNEL 10 na EATV kama ni FTA yaani Free To Air channels na sio Pay TV.

Sheria inawataka wamiliki wote wa visimbuzi vyenye local license kuziweka kwenye list hizo channels bure bila walaji kulipia!

Wakuu endeleeni kuumiza macho kupitia visimbuzi vyenu!

STARTV washatoka startimes......
 
Kwa masikitiko ni kwamba watu wote wenye ving'amuzi vya startimes hawataona tena matangazo ya star tv, sababu hazijatangazwa! Ila star times walitangaza kuwa star tv haitaonekana kwenye startimes je tatizo ni ni tunamuomba Yahaya Mohammed aje kutujuza kulikoni? Wamejitoa au wametolewa? Na kwa nini?
Hao wanaojidai TCRA wapo wapi?????MAANA hata TBC1 haipatikani kwenye ungo kwa wiki ya nne sasa na hakuna king'amuzi kinachoshika..but me nipo wilaya ya rombo sijui huko mlipo wandugu kama tbc1 mnaipata kwa kutumia ungo
 
Startimes ni wababaishaji kupita maelezo ndio maana tv nyingi zinaingia na kutoka.
 
Hebu jaribuni manual search, frequency 530mhz.
 
Hawa TBC1 hawataki wenye madishi ft 6 ambao ndo wengi TZ wasiangalie bunge.Hiyo ni kwa mtazamo wangu.
 
Hao wanaojidai TCRA wapo wapi?????MAANA hata TBC1 haipatikani kwenye ungo kwa wiki ya nne sasa na hakuna king'amuzi kinachoshika..but me nipo wilaya ya rombo sijui huko mlipo wandugu kama tbc1 mnaipata kwa kutumia ungo

Mi nimeshanhaa asubuhi nakazana kuelekeze antena sijui kisarawe manake siooni kumbe duh wameshajitoa? Ina maana wanapatokana dstv tu? Sasa wanaangaliwa na akina nani manake mo.nilioiwa naangalia futuhi na kipindi cha magazeti tu
 
Hivi hawa startv wanaringia futuhi au nini hasa.
pika bomu,ripoti nzuri sana ya habari za kimataifa inayotolewa na mwanahabari mkongwe SEMADU HASSAN.Kujiunga na BBC idhaa ya kiswahili kila baada ya taarifa ya habari pamoja na kuonyesha baadhi ya mechi za soka kama za azam
 
Hivi mna habari kuwa ukinunua kingamuzi aina ya T2 cha startimes unaweza kukamata channel za mengi zote pamoja na ting?
 
Hivi mna habari kuwa ukinunua kingamuzi aina ya T2 cha startimes unaweza kukamata channel za mengi zote pamoja na ting?

Na wewe ovyo kabisa, una maana tkanunue king'amuzi kingine aina ya T2??
kwa iyo wataka tuvijaze masebuleni kwetu???? ovyoooo
 
Hizo habari ni uongo na uzushi wa vijiweni!

Sheria ya mawasiliano kupitia TCRA inazitamka ITV, TBC, STAR TV, CHANNEL 10 na EATV kama ni FTA yaani Free To Air channels na sio Pay TV.

Sheria inawataka wamiliki wote wa visimbuzi vyenye local license kuziweka kwenye list hizo channels bure bila walaji kulipia!

Wakuu endeleeni kuumiza macho kupitia visimbuzi vyenu!
Utasema vp habari za kizushi na uongo wakati yameshatokea tayari?Star tv toka jana hawapo hewani,labda useme haikubaliki kwa mjibu wa sheria za tcra hapo tutakuelewa
 
Hivi mna habari kuwa ukinunua kingamuzi aina ya T2 cha startimes unaweza kukamata channel za mengi zote pamoja na ting?
hebu fahamisha vizuri hapo ninacho T2 ,niko zenji, nasimbuka vp na mengi/ting?au kwa dasalame tu?
 
Nimeliona hilo tangazo...ntatafuta king'amuzi kingine...startimes wanazingua na channl zisizo na viwango
Msipende kujibujibu tu ,tuambie hicho kingine kitakacho kuwa na "free channels" zote za star times na zaidi ni kipi! labda ujirushe ki dish dish na ki diesitivi ndugu yangu!na hapo si mudundo wa buku kumi wala ishirini-fat wallet!
 
aaaah da starttimes janga la taifa maana antena hadi ugeuze geuze kama vile ni enzi zile za miaka ya 95 wakati ITV ndo inaanza maana ilikuwa lazima ugeuzegeuze ili upate chanells bana bora hata wainyime licence kabisa..........
 
Kuna mgongano wa kimaslahi tusikimbilie kuhukumu
 
nadhani hutumii king'amuzi cha startimes. jana yote walikuwa wanapitisha mkanda wa hiyo habari na ni kweli startv iliondelewa mida ya saa 11 jioni
 
Back
Top Bottom