Star link tayari imeshaingia nchini kimagendo

political monger senior

JF-Expert Member
Nov 26, 2020
1,801
5,788
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na kikosi kazi maalum cha kuzuia na kupambana na matumizi ya makosa ya kimtandao limewakamata Claudian Makaranga (28) mkazi Kawe na Hongliang Yang (35) Mchina, mkazi wa Kigamboni, kwa tuhuma za kuingiza vifaa vya mawasiliano ya intaneti nchini bila kufuata utaratibu wa kisheria vyenye jina la STARLINK KIT/DEVICE.

Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum SACP Jumanne Muliro anasema Watuhumiwa hao wamekuwa wakijitangaza kuuza vifaa na kutoa huduma ya internet nchini kupitia mtandao ya kijamii wa Instagram kwa akaunti yenye jina la STARLINK.

Baadhi ya vifaa vilivyoingizwa nchini imebanika vilishauzwa na kutumika katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kitendo ambacho ni kosa na kinyume na sheria kwani havijaidhinishwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Kwa taarifa nilizopata ni kuwa apo Kariakoo tayari watu wengi walishavinunua kama njugu nje watu wamefunga ZUKU ROOTER kama bosheni ndani watu wana Star link MB 350 kwa sekunde kwa mwezi elf80 nani ambae hataki..Hii nchi kama tumerogwa watu wanauziwa MB kwa gharama kubwa anakuja mshindani anatoa MB na SPEED kubwa kwa cheap price lakini watu bado awataki..View attachment 2942367
IMG-20240323-WA0003.jpg

View attachment 2942375
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na kikosi kazi maalum cha kuzuia na kupambana na matumizi ya makosa ya kimtandao limewakamata Claudian Makaranga (28) mkazi Kawe na Hongliang Yang (35) Mchina, mkazi wa Kigamboni, kwa tuhuma za kuingiza vifaa vya mawasiliano ya intaneti nchini bila kufuata utaratibu wa kisheria vyenye jina la STARLINK KIT/DEVICE.

Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum SACP Jumanne Muliro anasema Watuhumiwa hao wamekuwa wakijitangaza kuuza vifaa na kutoa huduma ya internet nchini kupitia mtandao ya kijamii wa Instagram kwa akaunti yenye jina la STARLINK.

Baadhi ya vifaa vilivyoingizwa nchini imebanika vilishauzwa na kutumika katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kitendo ambacho ni kosa na kinyume na sheria kwani havijaidhinishwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Kwa taarifa nilizopata ni kuwa apo Kariakoo tayari watu wengi walishavinunua kama njugu nje watu wamefunga ZUKU ROOTER kama bosheni ndani watu wana Star link MB 350 kwa sekunde kwa mwezi elf80 nani ambae hataki..Hii nchi kama tumerogwa watu wanauziwa MB kwa gharama kubwa anakuja mshindani anatoa MB na SPEED kubwa kwa cheap price lakini watu bado awataki..View attachment 2942367View attachment 2942368
View attachment 2942375

Starlink ni transmission kupitia satellite juu kwa juu. TCRA ubavu wa kuzuia siginali za satellite anaupata wapi? Hii si ni sawa na kuzuia Azam TV isiangaliwe Kenya?

Tutabakia kukimbizana na watu wenye ving'amuzi vyao eti kuwa haviruhusiwi hapa lakini, ila ukweli wa mambo ni kuwa nikiwa na ki dish changu nyumbani kwangu ukaja unakitaka nakubebea japo nshale!
 
Back
Top Bottom