Hizo habari ni uongo na uzushi wa vijiweni!
Sheria ya mawasiliano kupitia TCRA inazitamka ITV, TBC, STAR TV, CHANNEL 10 na EATV kama ni FTA yaani Free To Air channels na sio Pay TV.
Sheria inawataka wamiliki wote wa visimbuzi vyenye local license kuziweka kwenye list hizo channels bure bila walaji kulipia!
Wakuu endeleeni kuumiza macho kupitia visimbuzi vyenu! mkuu star tv wameshatoka kwenye list ya chanels za startimes! hii habari ni ya kweli na ndo maana mara zote huwa sichoki kuwashauri mfunge FREE TO AIR DISH! kwanza hakuna malipo ya mwezi, pili haina haja ya bomba reeefu, tatu picture clear! na la mwisho niwafumbue macho mtu mwenye dish anaona picha kabla ya mwenye king'amuzi! yaani km ni taarifa ya habari au tamthilia mwenye dish anakuwa wa kwanza kuona tukio after few second hilo tukio ndo linaamia kwenye ving'amuzi!