bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,697
- 4,107
Habari nilizozipata, mda mfupi ulio pita ni kuwa mwanasheria wa continental ametuma barua ya kuitaarifu startimes kujitoa kwa startv rasmi startimes, na mda simrefu Itv nao wanatuma rasmi barua kama hiyohiyo, huk startimes mashop yote ya dar ya startimes yameambiwa yawataarifu wateja kuhusu kutoka kwa hizo channel mbili.
NTAENDELEA KUWA UPDATE.....
Source mimi mwenyewe toka maeneo ya hapa bamaga startimes, nimepata habari hizi nikiwa ndani ya duka lao mda huu..wakijadiliana watafanyaje???
NTAENDELEA KUWA UPDATE.....
Source mimi mwenyewe toka maeneo ya hapa bamaga startimes, nimepata habari hizi nikiwa ndani ya duka lao mda huu..wakijadiliana watafanyaje???
Kwa masikitiko ni kwamba watu wote wenye ving'amuzi vya startimes hawataona tena matangazo ya star tv, sababu hazijatangazwa! Ila star times walitangaza kuwa star tv haitaonekana kwenye startimes je tatizo ni ni tunamuomba Yahaya Mohammed aje kutujuza kulikoni? Wamejitoa au wametolewa? Na kwa nini?
Ikumbukwe kuwa Dr.Nkoma alitoka povu akisistiza mabadiliko ya kutoka analogia kwenda digitali ni lazima yawepo kwa nguvu zote hata kama kuna changamoto nyingi.Kiasi waendeshaji vyombo vya habari walilalamika kupata hasara ya matangazo ya biashara; sababu watazamaji wamepungua kiasi kikubwa baadaya kuhamia digitali.Dr.nkoma alizidi kuuthibitishia umma wa kitanzania kuwa Tvs tano zikiwemo start tv, ITV, EATV,channel ten na TBC1 zitaonekana kwenye ving'amuzi vyote bila kujali mmiliki wake.Kuanzia jana STAR TV wamejitoa kingamuzi cha startimes huku kiongozi mkuu akitoka puvu kuwa haitatoka .kwahiyo TCRA watujuze, je tuwe na ving'amuzi vingapi kupata Tv zote.Na ,je watanzania wote wanaweza kununua vingamuzi vyote kama sasa ilivyojitokeza kupata star tv mpaka uwe na kinga'muzi cha continental?
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) itatoa Taarifa na Tamko la Kidhibiti (Regulatory Order) saa saba mchana Kwa saa za Africa Mashariki.
Aidha hakuna ukweli kwamba ITV na Watoa huduma wengine Wa Maudhui wanakusudia kujitoa katika Platform ya Star Media Tanzania Limited.
Hivi sasa kikao kinaendelea Kati ya Mamlaka na Watoa Huduma hao wawil na Maamuzi ya TCRA yatatangazwa saa saba mchana mbele ya vyombo vya Habari Mawasiliano Towers.
Msemaji Wa Mamlaka
Ni vizuri kuuelewa mfumo mpya Wa Utangazaji, Sheria na Kanuni zake badala ya kutoa kauli ambazo sio za ukweli na zenye nia ya kupotosha umma. Free to Air Channel zote ni Must Carry Kwa Multplex Operator Wote, yaani Agape Associates, Basic Transmission na Star Media Tanzania Limited Kwa mujibu Wa Sheria ya EPOCA, 2010 na Kanuni zake za 2011 kama ilivyoainishwa.
Kwa taarifa na Maelezo zaidi soma Sheia hiyo na Kanuni zake katika website ya TCRA www.tcra.go.tz.