Inakuaje TV moja ikaonyesha channel za visimbuzi tofauti?

kevin strootman

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
1,069
1,716
Katika harakati zangu za kutembea sehem tofauti hapa tanzania nilipita moshi mwezi uliopita, nikalala kwenye lodge moja nzuri sana, palikua na tv pale ndani, ile tv sikuielewa mchanganyiko wa channel zake.

Kuna canal+ inaonyesha mpira
Kuna azam sports 1
Kuna channel za startimes
*Kuna wwe channel hii inakuaga kwenye dstv
*Kuna ITV, WASAFI,TANZANIA SAFARI

NA CHANNEL NYINGINE ZA KENYA NYINGNE ZA ULAYA

huu mchanganyiko kutoka ving'amuzi mbalimbali sijauelewa wamefanyaje, na kubadilisha channel sio Kwa kutumia remote ya king'amuzi chochote unatumia remote ya TV kama zamani ulivyokua tunatumia antenna za kawaida, na channel nyingne kama azam sports 1 mda mwingne inaonyesha na mchele mchele haipo clear.

Anaejua hii anifumbue macho.
 
Kuna startimes Swahili

Hapo kuna mtu ametumia dish kubwa ameiba channel zote hizo na kuzitumia kwenye receiver moja jpo wahusika wakijua hilo mwenye hotel watamlamba fine

Kuna mmoja pia alidakwa mwananyamala yeye alikuwa anaunganishia mtaa mzma channel za dst,azam,na startimes then mnamlipa kwa mwezi 10k unapata channel zote
 
Hatamimi nmehisi sio ile wanaita cable tv?
 
Hapo kuna mtu ametumia dish kubwa ameiba channel zote hizo na kuzitumia kwenye receiver moja jpo wahusika wakijua hilo mwenye hotel watamlamba fine

Kuna mmoja pia alidakwa mwananyamala yeye alikuwa anaunganishia mtaa mzma channel za dst,azam,na startimes then mnamlipa kwa mwezi 10k unapata channel zote
Mbona kuna taasisi kubwa naifahamu nao wanatumia huu mfumo! Siamini kama wanaiba pia au wanafanya Kwa vificho, make wanapokea wangeni wengi na wanalala humo.
 
Mimi niko na shida ya kuangalia mpira ligi ya bongo nina smartphone ina bando mchawi ni account ya azamTv max yangu kifurushi kimeisha sasa hapa usawa haukabi kwa mwenyewe azamTv decoder ambae hatumii kweny cm au hata anaetumia anisaidie ni angalie hata kwa leo tu wajameni.. Au aje tubadilishane anipe ya azamTv mimi nimpe ya Dstv.. Asante, Dm tafadhari.
 
Hiyo ni cable mkuu.... Wengine ndo tumekulia na huduma hizo since utoto na still IPO mpaka Leo hiii😂😂😂🙌🙌
 
Katika harakati zangu za kutembea sehem tofauti hapa tanzania nilipita moshi mwezi uliopita, nikalala kwenye lodge moja nzuri sana, palikua na tv pale ndani, ile tv sikuielewa mchanganyiko wa channel zake.

Kuna canal+ inaonyesha mpira
Kuna azam sports 1
Kuna channel za startimes
*Kuna wwe channel hii inakuaga kwenye dstv
*Kuna ITV, WASAFI,TANZANIA SAFARI

NA CHANNEL NYINGINE ZA KENYA NYINGNE ZA ULAYA

huu mchanganyiko kutoka ving'amuzi mbalimbali sijauelewa wamefanyaje, na kubadilisha channel sio Kwa kutumia remote ya king'amuzi chochote unatumia remote ya TV kama zamani ulivyokua tunatumia antenna za kawaida, na channel nyingne kama azam sports 1 mda mwingne inaonyesha na mchele mchele haipo clear.

Anaejua hii anifumbue macho.
Ni analog most of time ndio inatumika.

Unanunua splitter ambayo ina input inayopokea vingamuzi vyote halafu inatoka output moja kwenda TV.
 
Katika harakati zangu za kutembea sehem tofauti hapa tanzania nilipita moshi mwezi uliopita, nikalala kwenye lodge moja nzuri sana, palikua na tv pale ndani, ile tv sikuielewa mchanganyiko wa channel zake.

Kuna canal+ inaonyesha mpira
Kuna azam sports 1
Kuna channel za startimes
*Kuna wwe channel hii inakuaga kwenye dstv
*Kuna ITV, WASAFI,TANZANIA SAFARI

NA CHANNEL NYINGINE ZA KENYA NYINGNE ZA ULAYA

huu mchanganyiko kutoka ving'amuzi mbalimbali sijauelewa wamefanyaje, na kubadilisha channel sio Kwa kutumia remote ya king'amuzi chochote unatumia remote ya TV kama zamani ulivyokua tunatumia antenna za kawaida, na channel nyingne kama azam sports 1 mda mwingne inaonyesha na mchele mchele haipo clear.

Anaejua hii anifumbue macho.
Hakuna maajabu hapo, ni techical setting tu.

Mmiliki ana ving'amuzi vyote husika, na anapokea matangazo kwenye madishi/antenna tofauti tofauti, kisha zote anaziingiza (inputs) tofauti tofauti kuja kwenye kifaa kimoja (splitter) na kuitoa kwenye waya mmoja (output) ambao utakwenda kwenye TV zote za lodge yake lakini katika mfumo wa analog (antenna input), ana set mode ya Tv channel (AV?) kwenye Tv, baada ya hapo yeye ana scan TV kusearch all channel.

Akizima king'amuzi cha Azam, channel za Azam nazo zinapotea, akibadilisha Channel kwenye Azam, na Tv za wateja nazo zinabadilika.
 
Safi sana, mteja achague aangalie nini
 
Wanaotafuta jibu ni hili hapa. .
 
Njia iliyotumika wamechanganya picha za vingamuzi katika transmiter ya VHF na kugawa katika tv mbali mbali kwa kutumia mfumo wa analogy VHF , THEN KWENYE TV WANASEARCH CHANNEL , Na unakuwa nanuwezo wa kubadili channel tofauti kwa kutumia Remote ya Tv , hii kwa wazee wa cable tv si ngeni sana
Katika harakati zangu za kutembea sehem tofauti hapa tanzania nilipita moshi mwezi uliopita, nikalala kwenye lodge moja nzuri sana, palikua na tv pale ndani, ile tv sikuielewa mchanganyiko wa channel zake.

Kuna canal+ inaonyesha mpira
Kuna azam sports 1
Kuna channel za startimes
*Kuna wwe channel hii inakuaga kwenye dstv
*Kuna ITV, WASAFI,TANZANIA SAFARI

NA CHANNEL NYINGINE ZA KENYA NYINGNE ZA ULAYA

huu mchanganyiko kutoka ving'amuzi mbalimbali sijauelewa wamefanyaje, na kubadilisha channel sio Kwa kutumia remote ya king'amuzi chochote unatumia remote ya TV kama zamani ulivyokua tunatumia antenna za kawaida, na channel nyingne kama azam sports 1 mda mwingne inaonyesha na mchele mchele haipo clear.
 
Hakuna maajabu hapo, ni techical setting tu.

Mmiliki ana ving'amuzi vyote husika, na anapokea matangazo kwenye madishi/antenna tofauti tofauti, kisha zote anaziingiza (inputs) tofauti tofauti kuja kwenye kifaa kimoja (splitter) na kuitoa kwenye waya mmoja (output) ambao utakwenda kwenye TV zote za lodge yake lakini katika mfumo wa analog (antenna input), ana set mode ya Tv channel (AV?) kwenye Tv, baada ya hapo yeye ana scan TV kusearch all channel.

Akizima king'amuzi cha Azam, channel za Azam nazo zinapotea, akibadilisha Channel kwenye Azam, na Tv za wateja nazo zinabadilika.
Jibu sahii ni hili hapa alioandika kiongozi hapa.
Ni mfumo rasmi kabisa akuna Cha wizi Wala Nini Kuna controo room inayokuwa na ving'amuzi mbalimbali input yake yote inachukuliwa kwenye Busta Moja itakayotoa analog mode unaenda iscan tv yako analog itakusanya Channel zote Kulingana na wingi wa ving'amuzi vyako ukiona unapata lamda azam sports 1 Hadi 3 mfano means control room inaving'amuzi vitatu vya Azam kama Kuna channel aipatikan chumban watu wanaitaka mtu atalazimika kuenda badili number control room
 
kinachoniuzi ni decoder moja chanel moja
 
Back
Top Bottom