MZALENDOWAKWELIKWELI
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 330
- 210
Binafsi nasubiria kwa hamu kubwa ving'amuz quality vya HD hapa Arusha....yeyote anayejua ni kwa nn haviuzwi mikoani!
na bado...kutokana na utitili wa hizi Television tutajikuta tunalundika utitili wa vingamuzi majumbani mwetu: ata kama ni biashara ya ushindani hii ya vingamuzi imezidi,,,,ni kuwachanganya wateja tu.
......ni bora kuzamia DsTV, huu uzao wa ki-China Nchini ni vurugu tuou.dah hali ngumu ya maisha bt kama pesa iko DSTV mwisho wa matatizo
Hizo habari ni uongo na uzushi wa vijiweni!
Sheria ya mawasiliano kupitia TCRA inazitamka ITV, TBC, STAR TV, CHANNEL 10 na EATV kama ni FTA yaani Free To Air channels na sio Pay TV.
Sheria inawataka wamiliki wote wa visimbuzi vyenye local license kuziweka kwenye list hizo channels bure bila walaji kulipia!
Wakuu endeleeni kuumiza macho kupitia visimbuzi vyenu!
Sabayi, nami nimeona hicho unachokisema....au ndio sheria imepewa ufizi nini?Mkuu hata mie nilikua nafikiri hivyo lakini ni kweli star times wanatangaza kuitia star tv kwa ombi la star tv wenyewe
Hii nchi iz noman's land kwakweli,,kila mtu anaamua anavyojiskia hakuna cha kufuata sheria na hakuna wakuwahoji!! Maajabu hayaishi nchini Tanganyika..
Kwani kabla ya kurusha matangazo kupitia visimbuzi walikua wanapataje mapato? Waache roho mbaya kutuweka roho juu.ni ngumu sana,TCRA inawalazimisha watoa huduma kuonesha ITV, TBC, STAR TV, CHANNEL 10 na EATV bila malipo
Habari nilizozipata, mda mfupi ulio pita ni kuwa mwanasheria wa continental ametuma barua ya kuitaarifu startimes kujitoa kwa startv rasmi startimes, na mda simrefu Itv nao wanatuma rasmi barua kama hiyohiyo, huk startimes mashop yote ya dar ya startimes yameambiwa yawataarifu wateja kuhusu kutoka kwa hizo channel mbili.
NTAENDELEA KUWA UPDATE.....
Source mimi mwenyewe toka maeneo ya hapa bamaga startimes, nimepata habari hizi nikiwa ndani ya duka lao mda huu..wakijadiliana watafanyaje???