Star TV: Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, azungumzia wajibu wa vyombo vya habari kuripoti janga la Corona

Huyo wa mwisho kwenye hiyo list ndio ilikuwa lengo lako, ndio maana umemsifia hapo studio. Paskali una tatizo na rangi nyeupe hivyo unajiwekea mazingira vizuri. Anyway, ngoja tumuone hiyo msemaji mkuu wa serikali kama ana jipya, maana naye ana tabia ya kuongea kwa mikwara ile mbaya.
Duh Mkuu Tindo, ni kweli mimi kama binadamu nina madhaifu yangu na kuusema ukweli kabinti ninakapenda kweli, na kumpenda mtu sio kosa, pia it's true nina udhaifu na sio na rangi nyeupe tuu, hata zile nywele, hata kale kapua, hata kale kamdomo, na macho ndio usiseme, angalia tarehe ya bandiko hili uone nilianza lini kumzimikia

Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015! - JamiiForums

Hapa unaweza kufuatilia baadhi ya fagilia zangu
Mwanajf, Naibu Waziri, Ahudhuria Birthday Wema Sepetu, Mlimani City, Avalia Gauni la Rangi ya Chanikiwiti, Apendeza!, Atokelezea! - JamiiForums

Kuna ubaya wowote mtu kumpenda mke wa mtu? Mbona Daudi alimpenda mke wa Uria na akabarikiwa? - JamiiForums

P
 
Tofauti ya mijadala serious kama huu na mazungumzo ya vijiweni ndipo hapa inapoanzia, sisi waandishi tunaambiwa to report nothing but the truth, you can not say, write anything about anyone unless you're absolutely sure about it. Are you sure ni yeye anaua watu au ni hisia tu?.
Kwenye hili, naomba tukubaliane kutokukubaliana.

Kuna story ya rais mmoja wa nchi fulani alikuwa mkali, anaogopwa sana. Akawa kila akiitisha press conference kuna mwandishi mmoja makini, anambananisha kwenye kona.

One day rais akasema huyu mwandishi anikera sana kwa maswali yake. Basi wale jamaa wakaingia kazini.

Next press conference ya rais, kumbe japo alikuwa na maswali ya kuudhi, he was the only one who ask president swali. Rais alipoingia ukumbini kabla hajahutubia hiyo press conference, aka angaza hamuoni jamaa. Akamuulizi kwa sauti, where is my friend so and so?.

Rais akasema ingawa huyu jamaa ana maswali ya kuudhi, but I have grown to be found of him, na maswali yake, yamenifanya niwe well prepared before meeting the press, hivyo sianzi hii press conference mpaka fulani aje, akatoa amri gari ya rais ikamfuate imlete ndipo press conference iendelee.

Head wake wa wale jamaa zake akamnongoza rais kuwa huyo jamaa hayupo tena, he has already been taken care of a day before ili asije kukukera tena!.

President was surprised asked who ordered that and who did that and why?. The president broke into tears na press conference haikufanyika tena!.

Ujumbe ni kuwa, sio kila kitu kinachofanyika ni amri kutoka juu, au yeye anajua. Hata mimi tenda zangu serikali zilipofutwa, na kuzuiwa kutangaza maonyesho ya Saba Saba, nimeelezwa ni amri tuu kutoka juu, but kuna mtu wa huko huko amenihakikishia hakuna kitu kama hicho wala usikute hata jamaa hajui chochote kinachonikuta.

Hivyo usikute hata Ben Saanane, Azory Gwanda au wale wasiojulikana wa Lissu, the man doesn't know a thing, hivyo usituhumu kwa hisia tuu.
P
Narration yako makes a big sense! BUT look: Mr, Pascal, usizidi kunipa mashaka! Mauaji, upoteaji, uteswaji, kesi za 'kipuuzi" wanazokutana nazo watu... Rais fulani hajawahi kuzikemea. Yoooooooooooooooooooooooooooooooooote yaliyotokea kwa Lisu sanasana alichojibu ni kuwa yule jamaa amelitelekeza jimbo! Wadau woooooooooooooooooooooote walisema ruhusu uchunguzi huru toka nje watampata aliyempiga risasi Lisu.. he never commented anything! Watu wamekutuhumu, kujibu tuhuma unafanyaje? Unasema Njoo mchunguze then ukweli utapatikana.
Pascal nambie yaliyotokea kwa Lisu kama angalikuwa hana mkono wake asingeruhusu kuona watu wanapoteza CCTV, wanaondoa walinzi, angelisema nataka kujua leo leo nani aliwaondoa walinzi! He never did that..... Maswali ni mengi yanayomwelemea.. irresisitible inference kuwa anahusika...
Ngoja niachie hapa......
 
Hili ni vizuri kuachia hapa kwasababu whoever who was behind shooting ya Tundu Lissu ni shetani kabisa, the devil in human flesh, mimi siamini tunaye shetani wa aina hii, ila kwa vile sio kila kinachofanywa na serikali lazima kiripotiwe kwenye media hivyo mimi ninaamini 100% chini ya 100% serikali imechunguza, zile CCTV ni nyumba ya Kalemani ila sio CCTV za serikali, naamini hadi Mzee atakuwa ameulizia, na uchunguzi umekwama kutokana na kukosekana mashahidi wawili wakuu ambao ni muhimu sana. Endapo kugetokea fatality kazi ingekuwa well done, by now file lingeisha fungwa, lakini kwasababu mashahidi wapo, wanasubiriwa wahojiwe ndipo uchunguzi uendelee.
P
 
Sio kila kinachofanywa na serikali lazima kiripotiwe kwenye media hivyo mimi ninaamini 100% chini ya 100% serikali imechunguza, zile CCTV ni nyumba ya Kalemani ila sio CCTV za serikali, naamini hadi Mzee atakuwa ameulizia, na uchunguzi umekwama kutokana na kukosekana mashahidi wawili wakuu ambao ni muhimu sana. Endapo kugetokea fatality kazi ingekuwa well done, by now file lingeisha fungwa, lakini kwasababu mashahidi wapo, wanasubiriwa wahojiwe ndipo uchunguzi uendelee.
P
Mkuu P, Serikali ina dhima ya kueleza wananchi nini kimetokea. Hiyo ni haki ya wananchi

Pili, Camera ni ushahidi bila kujali ni wa nani. Ukitokea uhalifu kitakachopatikana katika crime scene ni admissible mahakamani.

Tatu, kuhusu mashahidi: Kwa nchi masikini kama zetu ambazo hatujui uchunguzi ni nini ni rahisi tu kusema mashahidi hawapo. Kwa wenzetu dunia mashahidi na ushahidi ni mkusanyiko wa vitu vingi sana.

Ukiishi katika nchi zinazoendelea kila kitu kipo kipo tu! Tuache haya

Corona, nilikuambia kwamba ikifika wiki 2 tutaona madhara ya Incubation period na hatua dhaifu ,mbovu na zinazotia aibu zinazochukuliwa na serikali. Wiki iliyopita '' Naibu'' alisema '' Watu watoke wakachape kazi''

Ngojeni baada ya wiki 4 maambukizi yatakpokuwa exponential, mtaona madhara kwa macho yenu mkilia.
Hakuna kutoka kuchapa kazi bali kutoka kwenye maziko, mungu aepushe balaa hili mbali.

Wakati tunamuomba Mungu nasi tunawajibu wa kukemea watu wanaopotosha umma

mmoja wa hao ni MsemajiUkweli ambaye sasa amejificha akijua watu watapukutika , akina RC na Gwajimi n.k.
 
...wewe ndg nilikua nakukubali Sana kwenye uchambuzi na kuusema ukweli bila kumungunya maneno lakini tokea uende kwenye kamati ya job umekua muoga balaa....simama katika ukweli itetee nchi yako washauri watawala bila kuogopa Kama watanuna hii taifa ni lakwetu sote mlipuko ukizidi tutaumia sote....waandishi nguri Kama wewe ndio wakati wenu wakupaza sauti mliponye taifa Kama mnashindwa kukemea muonapo kusua sua kwa wenye dhamana basi toeni elimu kwa jamii namna ya kujikinga na maambukizi
Mkuu Michael Makene, asante nimekisikia, na karibu mitaa hii.
P
 
Mkuu P, Serikali ina dhima ya kueleza wananchi nini kimetokea. Hiyo ni haki ya wananchi

Corona, nilikuambia kwamba ikifika wiki 2 tutaona madhara ya Incubation period na hatua dhaifu ,mbovu na zinazotia aibu zinazochukuliwa na serikali. Wiki iliyopita '' Naibu'' alisema '' Watu watoke wakachape kazi''

Ngojeni baada ya wiki 4 maambukizi yatakpokuwa exponential, mtaona madhara kwa macho yenu mkilia.
Hakuna kutoka kuchapa kazi bali kutoka kwenye maziko, mungu aepushe balaa hili mbali.

Wakati tunamuomba Mungu nasi tunawajibu wa kukemea watu wanaopotosha umma

mmoja wa hao ni MsemajiUkweli ambaye sasa amejificha akijua watu watapukutika , akina RC na Gwajimi n.k.
Mkuu Nguruvi3, hii ndio naiona leo, is there any how you can help out kwa ku suggest what is the right thing to do ili kuzuia hiyo exponential?.
P
 
Rejea za Mandiko ya The Same Author Kuhusu Janga la Corona
  1. Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani? - JamiiForums
  2. Corona: Japo ni janga, pia ni fursa. Tanzania bado hakuna maambukizi, tupunguze panic, tuongeze Elimu. WB kumwaga mihela, tuchangamkie fursa - JamiiForums
  3. Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums
  4. RC Makonda, Dar ni jiji la wote, vyama vyote. Mbowe sio mwanasiasa uchwara aliyefilisika, Zitto sio mshirikina. Tunakupenda, heshimu wote uheshimiwe - JamiiForums
  5. Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out! - JamiiForums
  6. Star TV: Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, azungumzia wajibu wa vyombo vya habari kuripoti janga la Corona - JamiiForums
  7. Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani!. Je Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika - JamiiForums
  8. Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV - JamiiForums
  9. Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona - JamiiForums
  10. Mungu ni Omnipresent. Kufuatia Local Transmission ya Corona. Je, Sasa Tushinikize Watu Wasalie Majumbani Mwao, ila Sadaka Ndio Itumwe Kwa M-Pesa? - JamiiForums
  11. Nabii Malisa: Mungu ameniambia Corona ni April tu, May hakuna Corona na hakuna atakayekufa!. - JamiiForums
  12. Kwa Kasi Sasa, Jee Tuendelee Ushujaa wa Ka-Corona, Tusitishane, Tuchape Kazi Tukiteketea, Au Sasa Tubadili Msimamo Tusitisishe Mikusanyiko Tuokoke? - JamiiForums
  13. TBC - Mjadala wa Role of The Media kwenye mapambano ya Corona, Je, Media Inatimiza Wajibu Wake Ipasavyo? - JamiiForums
  14. Live on Star TV: Corona Kushika Kasi Ndio Habari Kubwa Tanzania, Jee Media ya Tanzania, Inatimiza Wajibu Wake Ipasavyo? - JamiiForums
  15. Corona: Tusinyoosheane vidole. Kama unaweza kusaidia, please do. Usisubiri uombwe - jitokeze saidia, vinginevyo nyamaza! - JamiiForums
P
 
Wanabodi
Wale wenye nafasi, fuatilieni Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho kiko Live on Star TV. Kipindi cha leo, Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, Anazungumzia Wajibu wa Vyombo Vya Habari Kwenye Kuripoti Janga la Ugonjwa wa Corona.

Kipindi kinaongozwa na Nguli Dotto Emmanuel Bulendo kutokea Mwanza, Dr. Hassan Abbas atazungumza kutokea Dodoma, na kwa upande wa Dar es Salaam, nitakuwepo mimi.

Kipindi hiki ni interactive, wana jf wenye hoja muhimu za kumuuliza Dr. Abbas, unaoweza kuuliza humu na mimi nikamuuliza.

Karibuni sana.
Paskali
Up Date.
Awamu ya pili ya Kipindi hiki kitakuwa live kesho asubuhi, hivyo maswali ambayo hayakujibiwa last week, nimeya foward kwa Dr. Abbas yatajibiwa kesho.
Karibu.
Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV. - JamiiForums
P

Rejea za Mandiko ya The Same Author Kuhusu Janga la Corona
  1. Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani? - JamiiForums
  2. Corona: Japo ni janga, pia ni fursa. Tanzania bado hakuna maambukizi, tupunguze panic, tuongeze Elimu. WB kumwaga mihela, tuchangamkie fursa - JamiiForums
  3. Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums
  4. RC Makonda, Dar ni jiji la wote, vyama vyote. Mbowe sio mwanasiasa uchwara aliyefilisika, Zitto sio mshirikina. Tunakupenda, heshimu wote uheshimiwe - JamiiForums
  5. Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out! - JamiiForums
  6. Star TV: Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, azungumzia wajibu wa vyombo vya habari kuripoti janga la Corona - JamiiForums
  7. Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani!. Je Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika - JamiiForums
  8. Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV - JamiiForums
  9. Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona - JamiiForums
  10. Mungu ni Omnipresent. Kufuatia Local Transmission ya Corona. Je, Sasa Tushinikize Watu Wasalie Majumbani Mwao, ila Sadaka Ndio Itumwe Kwa M-Pesa? - JamiiForums
  11. Nabii Malisa: Mungu ameniambia Corona ni April tu, May hakuna Corona na hakuna atakayekufa!. - JamiiForums
  12. Kwa Kasi Sasa, Jee Tuendelee Ushujaa wa Ka-Corona, Tusitishane, Tuchape Kazi Tukiteketea, Au Sasa Tubadili Msimamo Tusitisishe Mikusanyiko Tuokoke? - JamiiForums
  13. TBC - Mjadala wa Role of The Media kwenye mapambano ya Corona, Je, Media Inatimiza Wajibu Wake Ipasavyo? - JamiiForums
  14. Live on Star TV: Corona Kushika Kasi Ndio Habari Kubwa Tanzania, Jee Media ya Tanzania, Inatimiza Wajibu Wake Ipasavyo? - JamiiForums
  15. Corona: Tusinyoosheane vidole. Kama unaweza kusaidia, please do. Usisubiri uombwe - jitokeze saidia, vinginevyo nyamaza! - JamiiForums
Wandugu, hapa nafanya tuu follow up ya Corona nikipitia kujikumbusha niliwahi kuandika nini au kusema nini kuhusu Corona na hiki kinacho endelea sasa. Corona is real tusifanye masihara, tujilinde kwa kufuata ushauri wa kitaalamu.

Kila Jumamosi asubuhi kuanzia saa 1:30 hadi saa 3:00 asubuhi , Star TV, huwa ninakuwa live kwenye kipindi cha TV cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho huwa kinatangwa live na Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi, kwa Jumamosi ya kesho, mgeni wetu ni Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe tukijadili kuhusu athari za Corona kwenye sekta ya Habari, nini kifanyike.

Ukipata nafasi karibu utufuatilie.

P
 
Back
Top Bottom