PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,211
- 4,170
mkuu tanzania tunaserikali ya kushughulikia wapinzani tu si kulinda maslahi mapana ya umma.sema tu watanzania tunamoyo otherwise kingekuwa kishanuka
ndio sifa iliyo tukuka ya chama cha mapinduzi na sera zake za shugulikia wapinzani.ipotayari kukodi elkopta kumsafirisha shekh ponda dar to moro au shekh faridi dar to znz kusambaza magari ya kuwasha na mapolisi nchi nzima kuishugulikia chadema isiandamane.lakini kushugulikia mafisadi intelejensia yake haina meno.hivi ni vichekesho tena vya abunwasi vinavyofanywa na ihi serikali ya ccm kulinda wezi wa rathilimali za taifa.