Hivi source ya taarifa yako ni nini? Mbona unapiga porojo kama uko kijiweni? Nani kakwambia kuwa Stanbic Benki wamegoma? Unajua sheria inayoongoza mabenki inasemaje kuhusu disclosure ya taarifa za kijinai kwa vyombo vya uchunguzi? PatheticNi maajabu sana eti wamegomea CAG, PCCB .?haya Ndio maajabu mengine Ya tanzania
. Ikiwa bank zote zinaoperate chini Ya BOT watagoma je