Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 1,058
- 1,037
mmmm u apokua na mawazri wahni mkuu mhuni wabunge wahuni yule mama wa mbagala unategemea nn
Wewe TUTUSA hapa ulitaka kusema je? unakurupukaga mno kama uharo!
hili jamaa sijui ni SENGErema la wapi
Mtu anaye husika na uchotwaji wa hizopesa na anayejua siri zote ni mfanyakazi wa benki hiyo LILIAN KITOMARI cha ajabu Paul Mmara raia wa Uganda ametolewa kafara wakati lilian analindwa.
Iko siku ukweli utajulikana....." kila mtu abebe msalaba wake" mh mwigulu mchemba.
Anza mwanzo tulipoanzia na kasinge!Some comment yako vizuri
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
Nakushukuru sana mkuu kwa ufikirivu!! ni kweli lazima kuna jamboKwa kuwa Stanbic wamegoma, na Inaonekana wana baraka za wakubwa flani kutoitoa orodha, je Hakuna sheria za nchi zinazoweza kuwalazimisha kutoa hiyo list? Japo majaji wetu nao walikula cha juu lakini nahisi kutakuwa na taratibu kama sio za hapa basi hata kimataifa.
Hakuna sehemu tunaweza kuishtaki stanbic wakatoa ile list?
Na akili yangu inanituma kwamba ujio wa Zuma ulikuwa na kitu flan kuhusu Escrow kwa sababu stanbic ni member wa standard bank ambao ni South Africa based.
Ebu tuchangamshe akili hapa.
Ivi Kweli Wadau Hawa Jamaa Ndo Wamegoma Kuyatoa Haya Majina? Isijekua Kua Kina MUHONGO Nao Wamo Kule Sio Kujisafisha Kua Hajatajwa Popote Na Report Ya CAG Kua Nae Kapata Mgao. Wananchi Tutaaminije Maneno Yake Endapo Miamala Ya Malipo Iliyofanyika Stanbik Bank Haijulikani? Au Kapatia Mgao Kule Sisi Hatujui Chochote Tu?

Utapata majina Kiwete akitoka madarakan!