St. Francis Mbeya kuna siri gani?

Ni ile hofu ya siku ya kutangazwa matokeo tu, nimekwambia toka kafika St Fransis mpaka anaondoka alikua anashika namba moja tu na kila mwaka St Francis inaingiza kumi bora hivyo tulijua lazima aingie na hata mock Kanda alikua wa kwanza. Mama yake alimuahidi kitu fulani akiingia kumi bora. Na kwenye familia yeye sio wa kwanza kuingia 10 bora, wapo waliomtangulia na walisoma shule za serikali. Mama yake alichukua zawadi ya mwanafunzi bora Udsm na wamemsomesha mpaka PHD. Niamini nakwambia Conso alikua anasomea 10 bora
Nimelipenda jibu lako🙏🏽
 
Binti anataka kutuaminisha kakulia mummy this daddy that families kumbe mmatumbi🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Upo so negative maskini mimi sipo kukuaminisha
Inaonekana ni mtu una roho ya kwaniniimagine hatujuani ila unatema nyingi sipati picha ungekuwa unanijua si ungefunguka sana.
Anyway pole nilicomment kwenye uzi ambao wanatakiwa watu wa aina flani tu ndio wajibu wengine wote ni kamba,tuseme sijasoma huko kama itakufanya ujisikie vizuri
 
Ham
Hivi pale St. Francis Girls Mbeya pana siri gani wazee? Mwaka huu licha ya kwamba imekuwa ya pili kitaifa lakini ufaulu wake ni wa ajabu na kuogofya sana.

Picha linaanza darasa lina watahiniwa 92 ambao wote wamepata div 1, hii si ajabu sana ajabu ni hili hapa kati ya hizo 1- 92, div 1.7 ambazo ndo ufaulu wa juu kabisa nchi hii kwa upande wa olevel zipo 79 yani 1.7 pale St Francis Girls zipo 79 kama utapata shida kuelewa na maanisha hivi wanafunzi waliopta A saba kwenye jumla la masomo yao wapo 79.

Mwanafunzi wa mwisho pale yani mwenye ufaulu dhaifu au unaweza kuuita goigoi ama kilaza, mmoja ana div 1.14 na mwingine ana div 1.13 na wapo wawili pekee.

Mabinti wamejua kukung'uta aisee div 1.10 ipo moja, 1.9 zipo 6 na 1.8 zipo 4

Kama unadhani maajabu yao mwaka huu ni hayo tu basi Pole mabinti hawa wameendeleza maajabu mpaka kwenye Wanafunzi bora ambapo kumi bora imepambwa na wao.Hatari sana hii mwanafunzi 1-5 kwenye kumi bora anatoka kwao afu wanajichomeka others kwenye 6,kisha namba 7 wanarudi wao afu 8,9 wanajikongoja fedha na ilboru kisha kumi kitabe kabisa wanamaliza wao. Kifupi 10 bora wanafunzi 7 wote wametoka St FRANCIS.

1. Consolata Prosper Luguva - St. Francis Mbeya🔴

2. Butoi Ernest Kangaza - St. Francis🔴

3. Wllhemia Steven - St. Francis 🔴

4. Cronel John - St Francis🔴

5. Merry George Ngoso - St Francis🔴

6. Holly Beda Lyimo - Bright Future
Girls🔴

7. Brandina - St. Francis🔴

8. Imamu Suleiman - Feza Boys

9. Mfalme Hamis Madili - Ilboru

10. Clara Straton - St. Francis🔴

Huu ufaulu si wa kitoto, sasa nauliza siri yao hasa ni ipi maana tangu miaka hiyo hawa mabinti wamekuwa moto ina maana shule zingine wameshindwa kabisa kujifunza?

View attachment 2082037

View attachment 2082038

Hamna maajabu yoyote ni kwamba form 1 wana admit vichwa vitupu
 
Upo so negative maskini mimi sipo kukuaminisha
Inaonekana ni mtu una roho ya kwaniniimagine hatujuani ila unatema nyingi sipati picha ungekuwa unanijua si ungefunguka sana.
Anyway pole nilicomment kwenye uzi ambao wanatakiwa watu wa aina flani tu ndio wajibu wengine wote ni kamba,tuseme sijasoma huko kama itakufanya ujisikie vizuri
Kuniambia "I'm so negative" hiyo nayo ni kamba ila mm nimekupata bi.Maya
 
Hilo la maswali ya practical lilikuwepo Sana, maana mwalimu alikua anapewa barua mwezi mmoja kabla ya kuandaa vitu na barua ya masaa 24 kabla na hiyo ndio inaweza kumsaidia mwalimu kubashir maswali na kuwasaidia watoto. Shule nyingi hata za serikali walimu huwasaidia watoto na ndio maana mwaka huu, serikali imefuta barua ya 24 hours, Sasa ni masaa matatu kabla. Mwalimu hawez kupata muda wa kuandaa na kuonana na watoto
Hiyo kawaida,ni kwa shule zote,hata za Serikali lazima waambiwe kuhusu kuandaa vifaa vya practical.
 
Hivi pale St. Francis Girls Mbeya pana siri gani wazee? Mwaka huu licha ya kwamba imekuwa ya pili kitaifa lakini ufaulu wake ni wa ajabu na kuogofya sana.

Picha linaanza darasa lina watahiniwa 92 ambao wote wamepata div 1, hii si ajabu sana ajabu ni hili hapa kati ya hizo 1- 92, div 1.7 ambazo ndo ufaulu wa juu kabisa nchi hii kwa upande wa olevel zipo 79 yani 1.7 pale St Francis Girls zipo 79 kama utapata shida kuelewa na maanisha hivi wanafunzi waliopta A saba kwenye jumla la masomo yao wapo 79.

Mwanafunzi wa mwisho pale yani mwenye ufaulu dhaifu au unaweza kuuita goigoi ama kilaza, mmoja ana div 1.14 na mwingine ana div 1.13 na wapo wawili pekee.

Mabinti wamejua kukung'uta aisee div 1.10 ipo moja, 1.9 zipo 6 na 1.8 zipo 4

Kama unadhani maajabu yao mwaka huu ni hayo tu basi Pole mabinti hawa wameendeleza maajabu mpaka kwenye Wanafunzi bora ambapo kumi bora imepambwa na wao.Hatari sana hii mwanafunzi 1-5 kwenye kumi bora anatoka kwao afu wanajichomeka others kwenye 6,kisha namba 7 wanarudi wao afu 8,9 wanajikongoja fedha na ilboru kisha kumi kitabe kabisa wanamaliza wao. Kifupi 10 bora wanafunzi 7 wote wametoka St FRANCIS.

1. Consolata Prosper Luguva - St. Francis Mbeya🔴

2. Butoi Ernest Kangaza - St. Francis🔴

3. Wllhemia Steven - St. Francis 🔴

4. Cronel John - St Francis🔴

5. Merry George Ngoso - St Francis🔴

6. Holly Beda Lyimo - Bright Future
Girls🔴

7. Brandina - St. Francis🔴

8. Imamu Suleiman - Feza Boys

9. Mfalme Hamis Madili - Ilboru

10. Clara Straton - St. Francis🔴

Huu ufaulu si wa kitoto, sasa nauliza siri yao hasa ni ipi maana tangu miaka hiyo hawa mabinti wamekuwa moto ina maana shule zingine wameshindwa kabisa kujifunza?

View attachment 2082037

View attachment 2082038
Ngoja nifatilie hapa wanyakyusa wanachangiaje huu uzi...
 
Sasa mbona wakati anahojiwa na mwananchi alisema hakutegemea kuingia top 10 ila mapenzi ya Mungu.Ama kweli huko alipo baba wa taifa anaona adui wa nne wa taifa ambaye ni unafki.
Hiyo ni lugha tu Mzee,hata km mtu una uhakika na jambo fulani,lkn huwezi kuweka uhakika wa asilimia mia moja.Kwasababu Mwisho wa Siku Mwamuzi ni MUNGU.
 
NAKAZIA!!!
Shule bora ni ile inayomfanya mwanafunzi kutoka F kwenda D,C,B au A na sio kama hao St.Francis na shule nyingine za binafsi ambazo zinafanya interview kuchukua wanafunzi ambao tayari ni wazuri.Kwa hapo tusifie wanafunzi na sio shule.
NAKAZIA TENA!!!!!
Siku hizi elimu imerahisishwa sana!!! tena mwaka huu.Eti sisi pale Marian Boys tuna div1.7 tisini na moja na watu wenye A flat ni 7 na hakuna hata mmoja aliyeingia top 10 kitaifa hata shule haijaingia wakati mwaka jana tu div1.7 zilikua thelasini na ushee na A flat zilikua mbili ambapo moja iliingia top 10 boys na nyingine top 10 kitaifa na shule ikawa top 10 sasa jaribu kulinganisha ufaulu ndani ya mwaka mmoja.
Tunapoelekea hiyo div1.7 itapoteza thamani tutaanza kutazama A level au chuo
Anzisha shule yako halafu ufanye kazi hiyo tuone km utafanikiwa.
 
Back
Top Bottom