Squid Game imesukwa haswa

Squid Game imesukwa haswa

Tuache unafiki wabongo, kuna matumizi gani ya akili yaliyokuwa yanatumiwa na wale wacheza game?

Ni series ambayo imepata umaarufu ila ina story simple sana.

Kwa upande wangu hii series haina hadhi ya kushindanishwa na Money heist
Hata money heist pia ni ya ajabu

We mtu mpaka plan iwe poa eti wafall in love
Je mmama yule angekataa ingekuaje?
 
sijui kwa nn mpaka leo sijawah taman kuiona.....daahhh
 
Niliona watu wanaifagilia sana hii series wengine wanaishindanisha na money heist Ukweli ni kwamba tuache ushabiki hii series ni bora kuliko money heist

Hii series inaonyesha namna gani mtu yuko radhi kwa lolote ilimradi apate pesa Ukiingalia hii series kuna watu wanamadeni hatari kuna watu wanafanya kazi lakini hawalipwi mishahara kama kijana ali

Lakini baada ya kila mtu kuingia kwenye mchezo kuna matumizi ya akili sana humu hii series inaonyesha roho zetu zilivyo mbele ya pesa watu wanauana humu usipaime

Mchezo ulianza kama utani lakini waligundua eliminated is death watu wakadata hasa

Nipo episode ya 05 Naipa rate 9/10
Huwa sielewi mlinganisho wa hii series na money heist unaanzia wapi.Hii series sio kali kivile,imeandaliwa vizuri,inavutia sana kufuatilia lakini story yake ni ya kawaida mno.
 
Hata money heist pia ni ya ajabu

We mtu mpaka plan iwe poa eti wafall in love
Je mmama yule angekataa ingekuaje?

Rudia tena kuangalia kiongozi,

Prof ku-fall in love na yule Raquel it wasn’t part of the plan, alisema mwenyewe.
 
duh! we kamcheki tu professor

kwa upande wangu naona main character kaipatia na anaendana na uhalisia
sababu sehemu nyingine inaonekana anabahatika tu, sio mtu anaejua kila tukio linalo kuja mbele
( sio lazima main character awe na minguvu mingi na miakili mingi kama ilivo zoeleka)

ile ndo michezo yao waliokua wanacheza utotoni
usihofu season 2 wataweka kombolela na kidali ili uelewe vizuri

we hujawai piga simu wakati unaharaka ya kitu alafu mtu anakuletea story nyingine?
sasa ndo pale mwamba anapiga simu alaf jamaa anamwambia tulikua tunakutafuta

we huoni pale zile video nyingine alizo tuma zimegoma
( kunatofauti kati ya kupiga simu na kutuma video kimtandao)

hujaitendea haki kabisa hii series 10/10 inastahili bila ubishi
9/10
 
Alimwambia asijali wamechaguliwa ili wawe timu moja ko wasubiri wasicheze kwanza mpaka muda uishe. Muda ukiisha na wakiwa hawajacheza au hakuna alochukua golori za mwenzie basi itaamriwa wacheze timu yao na hizo nyingine ambazo pia mahindi hajapatikana. Alii akaingia kingi then mchizi akamwambia basi we shika hizi golori( akamwekea mawe ), uende ukatafute timu dhaifu yenye wazee wazee ili iwe rahisi sisi kupita.

Alii akaenda kweli bna, huku nyuma jamaa akaonesha golori zakd 10 akisema.
"Si mlisema kanuni ya mchezo ni kuchukua golori zote za mpinzani wako kwa njia yoyote bila violence, basi hizi apa".

Akapita huku nyuma Alii mbumbumbu akala ya kichwa.
jamaa alifanya sio jombi anakuja kutazama kapigwa supa kawekewa mawe
 
jamaa alifanya sio jombi anakuja kutazama kapigwa supa kawekewa mawe
😂😂😂 Jamaa nilimhurumia lakini pia alinichekesha at the same time, usimuamini mtu kiasi hicho aisee.

Yule jamaa ni true definition ya nice guy, dunia ya sasa haihitaji sana nice guys. Ukiwa hivo lazma utoweke mchezoni mapema.
 
Tuache unafiki wabongo, kuna matumizi gani ya akili yaliyokuwa yanatumiwa na wale wacheza game?

Ni series ambayo imepata umaarufu ila ina story simple sana.

Kwa upande wangu hii series haina hadhi ya kushindanishwa na Money heist
hukuona walivyokuwa wanalamba sukari guru
 
Alimwambia asijali wamechaguliwa ili wawe timu moja ko wasubiri wasicheze kwanza mpaka muda uishe. Muda ukiisha na wakiwa hawajacheza au hakuna alochukua golori za mwenzie basi itaamriwa wacheze timu yao na hizo nyingine ambazo pia mahindi hajapatikana. Alii akaingia kingi then mchizi akamwambia basi we shika hizi golori( akamwekea mawe ), uende ukatafute timu dhaifu yenye wazee wazee ili iwe rahisi sisi kupita.

Alii akaenda kweli bna, huku nyuma jamaa akaonesha golori zakd 10 akisema.
"Si mlisema kanuni ya mchezo ni kuchukua golori zote za mpinzani wako kwa njia yoyote bila violence, basi hizi apa".

Akapita huku nyuma Alii mbumbumbu akala ya kichwa.
Walicheza ila jamaa baada ya kubakiwa na gololi 1 ndio akaanza kumdanganya.
 
Tuache unafiki wabongo, kuna matumizi gani ya akili yaliyokuwa yanatumiwa na wale wacheza game?

Ni series ambayo imepata umaarufu ila ina story simple sana.

Kwa upande wangu hii series haina hadhi ya kushindanishwa na Money heist
Daah yani watu wanaifananisha money heist na series wale walamba kashata za sukari pamoja na kucheza goroli???

Squid Game imepewa ujiko usioendana nayo aseee
 
kuna scene unatakiwa uchaguwe shape lakin ujui nini kinafuata baada ya uchaguzi huo sasa gi hun akachagua shape ya mwamvuli alafu akapewa kikake na sindano yaan achonge itoke iyo shape ya mwamvuli ukikosea unatwanga risasi alafu unakuja unapiga kelele money echi echi
Linganisha hiyo scene na ile ya kwenye money heist inayohusisha kumtorosha demu wa professa kutoka mahakamani na kumuingiza kwenye museum ajiunge na wenzie,,,,, hapo ndo utajua kwamba umefananisha Hennessy na Kitoko
 
Naipa 3/10
Imechorwa kinadharia mno, haikuenda kwenye uhalisia, main character, hakuwa ameandaliwa vzr, haendani na matukio, ukiangalia washiriki wote wakiomo wanakufa tu Tena ktk mchezo ambao hata hauleweki,

Ufundi pia haukutumika vzr, yaan police anakuja mpka anaingia ndani kwenye jumba, pamoja na technology wanashindwa kubaini, bado police katuma ujumbe toka anakwenda mpka anafika, halafu mtu aliepigiwa simu anamuuliza eti tumekuwa tunakutafuta...

Kibaya zaidi, jamaa mwishoni anamkamata, halafu anakwambia hakuna network wakati mda mchache ametoka kuongea na sim..

Kimsing, hii series ipo chin ya kiwango maana inamauaji ambayo hayana uhalisia, kwangu mm Ni poor... 3/10
Yani wanauliwa watu zaidi ya 100 kwa mara moja lkn mtazamaji hata husisimki kuona kwamba scene inatisha,,,,, yani ipo kama katuni za watoto vile
 
255676114504_status_83f2485f538f4b07bf4b9634cf3de11e.jpg
 
Mkuu yuke main character hana ujuzi wowote wa kijasusi wala kupigana yani ni jamaa tu street guy wa kawaida kabis. Unaposema hakuandaliwa vizuri unakossa yani vile kuonekana kutoandaliwa ndo kuandaliwa kwenyewe sasa. Anapita kwa bahati tu na sometines kilichokua kinambeba ni namba yake, mahusiano yake mazuri na watu( yule mzee).

Na yule askari angejulikanaje mkuu wakati uingiaji wake , aliingia kama wale masupervisor wengine. Na ni rahisi kucope up coz mko wengi ni kuwafata tu wenzio wanachofanya na wewe unafanya.

Tatizo wengi mshazoea main character(s) anakua na maajabu, anakua na miguvu isiyomithirika, jasusi la hatari.
Nadhani season 2 itakua hivo unavotaka mkuu.
season two bado haijatoka eeh

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom