Spika Ndugai atatizwa na tafsiri ya Katiba, aamua kumruhusu Dkt. Mpango kuwaaga wabunge wenzake kabla ya kuthibitishwa na Bunge

Kwa hali hii kuna umuhimu wa kuurudisha Bungeni ule mchakato wa Katiba Mpya ya Wananchi ili kuondokana na hii ya ccm iliyojaa viraka.
Nikweli kabisa naamini wakikubali kuijadili katiba amahakika kuna baadhi ya mambo itakuwa rahisi sana kuihoji Serekeli bila kufungana mdomo kwa nguvu.
 
Hili bunge linasikitisha sana na linadhalilisha wananchi wa nchi hii. Imagine jambo dogo kama hilo limeleta utata bungeni! Imagine hata hawakujianda kabla ya tukio lenyewe kuhusu utaratibu utakavyokuwa!
Kwa hali hii kuna umuhimu wa kuurudisha Bungeni ule mchakato wa Katiba Mpya ya Wananchi ili kuondokana na hii ya ccm iliyojaa viraka.
 
Hii inaonyesha bunge linavyo kaa na kutunga sheria butu. Ndio maana walikuwa kila mmoja anataka urais. Yaani hata kanuni tuu za kumpitisha Makamu wa Rais hawana
 
Makamu wa rais hatashika maharaja mpaka baada ya kiapo, hapo spika katatizwa na nn sasa?
 
Back
Top Bottom