Spika Ndugai ataka Walimu waongezewe kazi wafundishe masomo kuanzia matatu ili kupunguza uhaba wa Walimu

Hivi huyu mtu ana elimu gani(amesomea nini??) ningependa kujua maana katika empty set ninazozijua huyu ni wa kwanza yaan katika sector ya poor reasoning nampa cheo cha brigedia general
Ilibidi atuambie yeye Chuo kikuu alisoma masomo mangapi,labda tuanzie hapo.Baadae atakuja na ugolo mwingine,daktari moja atibu mgonjwa kuanzia matano
 
Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Spika ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa Wanafunzi.
Bunge linaongozwa na mgonjwa wa akili, sasa wewe Dkt Gwajima kwanini usifanye juhudi umpe tiba jobu apone uchizi.
 
Uhaba wa walimu umetokana na nini wakati mtaani walimu tumejaa hatuna hata kazi.
 
Akitolea mfano wa Balozi Mbelwa Kairuki alichomsimulia kule China mwaka jana, Ndugai amesema kuwa kule China vijana wanajua mambo mengi sio kama hapa Tanzania ambapo kijana anajua kazi moja tu kama ni fundi ujenzi ni ujenzi tu na kama ni kuchomelea ni kuchomelea tu.
Huyu naye hamnazo, haoni na yeye ni miongoni mwa chanzo cha kudidimiza elimu yetu. Mbona anajishtaki bila kujua!
 
Hata mbunge mmoja anaweza kuwakilisha majimbo matano, kwani kuna kazi gani zaidi ya kuongea tu. Kuna vitu ili uviongelee yapasa uwasiliane na wataalamu wa taaluma husika, ili kujua kwa undani taaluma na kazi husika kabla ya kusema hadharani.
 
Back
Top Bottom