johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Kuwa jali wananchi kunahitaji moyo wa ujasiri sawa na chuma, kwani wengi wameshindwa hata kutokuwajali kiasi cha kuwageuza wanyonge.Spika wa bunge mh Ndugai amesema anakerwa sana na kitendo cha serikali kuchukua fedha za halmashauri bila taarifa na kwenda kuzitumia huku miradi ikidorora...
Kwani pamoja na hasira kuna uwezekano wa kutumia bakora.Safi Job kuambiwa unademka ilikua dharau asee. Sasa waombe poo wao. Hasira za mgogo sio mchezo
Jamani naw Ndugai unamkana rafiki kipenzi Jiwe. Mabilioni yote aliyokupa ya kwenda India umeyasahau kweli? Kweli watu hamuaminiki.Spika wa bunge mh Ndugai amesema anakerwa sana na kitendo cha serikali kuchukua fedha za halmashauri bila taarifa na kwenda kuzitumia huku miradi ikidorora...
Maajabu eti siku hizi kiti cha spika nacho kinalalamikia serikali!!!kweli nchi hii bila unafiki mambo hayaendi kabisa!!Tangu mwendazake aondoke job anaweweseka hovyo hovyo
Yeye anawalipa covic-19 kutoka Taratibu, katiba na sheria ipi?..
HuhuhuKwani pamoja na hasira kuna uwezekano wa kutumia bakora.
Mother naye aliharibu kuwaambia wanademka. Yeye angesafisha tu nyumba yake basi nyumba ya jirani angeiacha hivohivo.Maajabu eti siku hizi kiti cha spika nacho kinalalamikia serikali!!!kweli nchi hii bila unafiki mambo hayaendi kabisa!!
Ila Jiwe sijui alikuwa ana akili kichwani ama matopeTangu mwendazake aondoke job anaweweseka hovyo hovyo
Yeye anawalipa covic-19 kutoka Taratibu, katiba na sheria ipi?
Huo upuuzi si yeye ndio alikuwa anakubaliana na mwendazake kwa madudu yote.
Job atakuwa na matatizo makubwa.
Anakuaga na mtindo wa kuitisha serikali toka kitambo enzi za Mwendazake Kisha anaitwa na kueka Mambo sawa. Maza Hana iyo mimambo ye anadili nae mdogo mdogo ashamuondolea Yule katibu wa bunge Kigaigai kamueka wake. Anamnyoosha tuBwashe sasa ni wazi Ndugai ameamua kuziba ombwe la kukosekana kwa wabunge wa upinzani bungeni, amekuwa mpinzani wa waziwazi wa Serikali ya Rais SSH. Ilikuwaje akawa mtiifu full kwa meko na sasa mpinzani underground wa SSH? Full utapeli.
Au ndio mwisho unakaribiaaa???!!Maajabu eti siku hizi kiti cha spika nacho kinalalamikia serikali!!!kweli nchi hii bila unafiki mambo hayaendi kabisa!!
Kumbe! Ukute ndo maana amekuwa bitter sana baada ya Katibu wake aliyepewa na meko kuondolewaAnakuaga na mtindo wa kuitisha serikali toka kitambo enzi za Mwendazake Kisha anaitwa na kueka Mambo sawa. Maza Hana iyo mimambo ye anadili nae mdogo mdogo ashamuondolea Yule katibu wa bunge Kigaigai kamueka wake. Anamnyoosha tu
Mwisho wa nini?Au ndio mwisho unakaribiaaa???!!