Mtandao wa upigaji fedha za umma ni hazina tamisemi na halmashauri kwanini fedha zitolewe bila maelezo?

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Hakika inashangaza na kusikitisha sana kuona fedha za umma ambazo ni kodi na tozo wanazolipa masikini watanzania na pia mikopo kutoka nje zinapigwa na watendaji wa serikali kama fedha zao bila woga wowote.

Fedha hizo zimekuwa zikitolewa hazina kwenda tamisemi kisha halmashauri kwa ajili ya miradi mbalimbali na nyingine hazina maelezo yoyote .Kutokana na kutokuwa na maelezo kuwa fedha hizo ni za nini watendaji wa halmashauri kwa kushirikiana na tamisemi na hazina wamekuwa wanagawa fedha hizo huo ni wizi mkubwa.

Swali la kujiuliza

Kwanini hazina watoe fedha bila maelezo?

Kwanini tamisemi wasiulize hazina hizi fedha kwanini hazina maelezo?

Na halmashauri kwanini itumie fedha zisizo na maelezo?

Ndio maana tunasema huo ni mtandao wa wizi kati ya hazina tamisemi na halmashauri zote.Ni halmashauri zote zinapokea fedha zisizo na maelezo toka hazina na tamisemi.

Hakika ule usemi wa kila mtu ale kwa urefu wa kama yake sasa unatekelezwa kwa nguvu kubwa.
1438657277.jpg
669208885.jpg
 
Hakika inashangaza na Kusikitisha sana kuona Fedha za Umma ambazo ni KODI na TOZO wanazolipa Masikini Watanzania na pia MIKOPO kutoka Nje zinapigwa na Watendaji wa Serikali kama Fedha zao bila WOGA wowote.FEDHA hizo zimekuwa zikitolewa HAZINA kwenda TAMISEMI kisha HALMASHAURI kwa Ajili ya MIRADI mbalimbali na nyingine Hazina Maelezo yoyote .Kutokana na KUTOKUWA na MAELEZO kuwa Fedha hizo ni za nini Watendaji wa HALMASHAURI kwa kushirikiana na TAMISEMI na HAZINA wamekuwa WANAGAWA FEDHA hizo huo ni WIZI MKUBWA.
Swali la kujiuliza
Kwanini HAZINA watoe FEDHA bila MAELEZO?
Kwanini TAMISEMI wasiulize HAZINA hizi FEDHA kwanini HAZINA Maelezo?
Na HALMASHAURI kwanini itumie FEDHA zisizo na MAELEZO?
Ndio maana Tunasema huo ni MTANDAO wa WIZI kati ya HAZINA TAMISEMI na HALMASHAURI ZOTE.Ni Halmashauri zote zinapokea FEDHA zisizo na MAELEZO toka HAZINA na TAMISEMI.
Hakika Ule Usemi wa KILA MTU ALE kwa Urefu wa Kama yake Sasa Unatekelezwa kwa Nguvu kubwa.
View attachment 2759106View attachment 2759107
Wanataka kumchafua Mama tu.
 
Nchi imeoza kila kona upigaji,hao wakina pm wanaojifanya kufunua madudu ndio wapigaji pro. Kamwe usimwamini mwana siasa hasa wa kijani.
 
Back
Top Bottom