Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
Kiukweli kwa takribani wiki moja na nusu hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa sana tunapozungumzia kasi ya internet kwa hawa tigo, yani zamani spidi ya kudownload kawaida mchana 60 kb/s ila kwa sasa nmeshangaa sana spidi average ya kudownload inaenda 320 kb/s.
Kiukweli wamejitahidi sana yani jana nmedownload movie ya gb 1 at a satisfying speed hongereni sana tigo.
Kiukweli wamejitahidi sana yani jana nmedownload movie ya gb 1 at a satisfying speed hongereni sana tigo.