Spidi ya internet tigo imeongezeka sana

Spidi ya internet tigo imeongezeka sana

its no reward its a curse,we unakaa mars au hadi udownload 1 gb/sec ha haha ha

Mbona hapa hapa duniani speed hiyo ipo !

Any way we komaa na Tigo mi ntakomaa na Smile mpaka watakapo shtuka !
 
Mbona hapa hapa duniani speed hiyo ipo !

Any way we komaa na Tigo mi ntakomaa na Smile mpaka watakapo shtuka !

hahahahaaha!Ndo smile wanakupa speed ya 1GB/s na hiyo mobile partner uloweka ni pale ni ya nn?
Na hilo neno "Limited" ni la nini mbele ya speed?

Na unajua kwamba speed kwenye IDM huwa haina Comma(,) yaani kama ni 1MB/s ikitokea ikaandika 1000KB/s hamna koma kama ulivyoweka yaani picha yako haina Reality na hiyo kitu tukiifanyia forensics utakuta ni edited image
 
Hivi kati ya Tigo na Voda mtandao upi upo faster kwenye internet???

Tigo wanayo 4G yenye kasi ya 42Mbps i.e DC-HSPA+ lakini naona wako kimeo sana voda wenye HSPA+ ya 21Mbps speed yao iko poa mda wote hawa Tigo kwangu speed inakua poa usiku tu
 
hahahahaaha!Ndo smile wanakupa speed ya 1GB/s na hiyo mobile partner uloweka ni pale ni ya nn?
Na hilo neno "Limited" ni la nini mbele ya speed?

Na unajua kwamba speed kwenye IDM huwa haina Comma(,) yaani kama ni 1MB/s ikitokea ikaandika 1000KB/s hamna koma kama ulivyoweka yaani picha yako haina Reality na hiyo kitu tukiifanyia forensics utakuta ni edited image

Nani kasema natumia hiyo speed kwa smile ?
Elewa kwanza nilichokuwa namaanisha ! Hiyo speed iitumii mimi !

Na smile hawawezi kuleta speed kama hiyo labda after a decade !

Na hizo habari za comma na limited speed ni shits nani kakudanganya ?

Umekurupuka usingizini Au ulitaka kuonekana nawe nimjuaji ?
 
imekua vita ghafla tumia lugha nyepesi picha yako haina uhai kaiweke photoshop upya afu uirudishe hapa...

Pia kajifunze kusoma vizuri maana yale yalikua maswali ambayo ilibidi uyajibu kuondoa sentesi tata uliyokua umeandika rudi nyuma soma comment tena
 
Nimemwambia shin c hiyo speed ipo hapa hapa duniani ! Na sijamaanisha naitumia mimi !

At the end nikamwambia akomae na Tigo nami nakomaa na smile !

We umekuja kuelezea na habari za commas na limit !

Sahizi unakimbia swali
Hapana usikimbie swali !

Ulitaka kuonekana nawe nimjuaji au ?
 
Mimi ni mjuaji ndio niko hapa kutumia ujuaji wangu kuwafungua macho wasio jua
mfano soma comment yako hapo chini

Usingeweka na IDM kidogo hiyo speed ya Dashboard 10MBps ingetishia !

Ila kama Downloading speed ya IDM ni 1.34MBps basi ni speed ya kawaida sana !

Ni differ sana na 4G ya smile ! Hiyo speed ya Tigo ina ---- !

Kajifunze upya speed calibration
 
Mimi ni mjuaji ndio niko hapa kutumia ujuaji wangu kuwafungua macho wasio jua
mfano soma comment yako hapo chini

Kajifunze upya speed calibration

Sasa we mjuaji mbona unatoa shits hapa ?

Huo ujuaji ndo unaokudanganya IDM haitumii commas na limit ?

Usielezee vitu ambavyo hauko pretty sure with !
Naukaonekana damn shit na huo ujuaji wako !
 
Sasa we mjuaji mbona unatoa shits hapa ?

Huo ujuaji ndo unaokudanganya IDM haitumii commas na limit ?

Usielezee vitu ambavyo hauko pretty sure with !
Naukaonekana damn shit na huo ujuaji wako !

unaonekana ni newbie kajifunze upya speed calibration kwenye dashboard na kajifunze calibrations zinazotumika kwenye IDM i.e 10MBps vs 10Mbps afu urudi hapa uje kubishana na mimi

I cant sit down with my 2 balls and argue with a fool
-----------END-----------
 
unaonekana ni newbie kajifunze upya speed calibration kwenye dashboard na kajifunze calibrations zinazotumika kwenye IDM afu urudi hapa uje kubishana na mimi

I cant sit down with my 2 balls and argue with a fool
-----------END-----------==>(unakimbia maelekezo)

Wewe wakunifunza mimi speed calibration mbona yatakuwa masyala haya !

Kaangalie kwenye comment ile nimeweka kote MBps ningeweka dashboard speed Mbps na IDM speed MBps

ningeonekana bonge moja la fool !
Ila wewe unaejifanya mjuaji hapa unasema IDM haina speed limit !

idm-file-downloading-speed-limiter.png

Na wala haitumii commas !
Rudi tena google ulikotoka afu uje kuelezea huo uongo hapa !

Na ufanye calibration ya ile speed na uonyeshe wapi imekosewa !

Ukiendelea kubisha utakuwa ---- sana !

Lmfao
 
Hivi kati ya Tigo na Voda mtandao upi upo faster kwenye internet???
  • Kwa hii swali lazima utapata majibu yanayo changanya
  • Mahala ulipo ndio ina_determine speed ya mtandao husika
  • Na kila mmoja mahala alipo kuna mtandao mmoja ambao upo na speed nzuli na mwingine hauna ingawa mitandao yote yaweza kuwa ikisoma HSPA katika modem yako.
  • Kumbuka kuna factors nyingi tofauti zinazopelekea kutofautiana hiku kwa speed.
 
Achana na huyu muongo tuendeleze makamuzi hapa mpaka asubuhi yaani 2hrs zilizopita nshashusha 7GB naendelea na 7GB maana PC yangu haina Drivers za sauti kucheza kwenye Microphone hivo nashusha Driver pack solution v14

wnkf.png

mkuumodem hiyo ni ya aina gani, nibei gani, je tz zipo
 
Ungejiunga Kifurushi cha siku ! Usingepata speed ndogo !

Ukijiunga unlimited baada ya Kufikia limit flani

! ISP huwa wanafanya speed throttling kwa hapa TZ ndivyo wananchi tulivyolidhika na uonezi huu !

Ila kuna njia zaku bypass nyingi ni ---- tu !

Ngoja tuwasikilizie Airtel Jamaa ! Wanafikisha 8GB mpaka sasa bila speed kushuka !

Mkuu unatumia njia gani ku-bypass speed throttling ya ISP?
 
Tigo ni NOMA! Hii ni TOP speed ninayopata kwa kutumia modem zao mpya!
bbb_zps487464ad.jpg

Na hapa ni kwenye bitcomet
bb_zps009d0009.jpg
 
mi natumia simu lakn spidi take ni hatar kwa kweli iinanipa shangwe voda na air tel wanajikokota sana kwenye internet
 
Kiukweli kwa takribani wiki moja na nusu hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa sana tunapozungumzia kasi ya internet kwa hawa tigo, yani zamani spidi ya kudownload kawaida mchana 60 kb/s ila kwa sasa nmeshangaa sana spidi average ya kudownload inaenda 320 kb/s.

Kiukweli wamejitahidi sana yani jana nmedownload movie ya gb 1 at a satisfying speed hongereni sana tigo.

Omba uzi uhamishiwe matangazo madogomadogo
 
Back
Top Bottom